QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Huyu jamaa ana kauongo flani hivi
1. Magufuli mwenyewe anapata muda kupiga simu kwa shilawadu
Itakuwa yeye bwana
2. Jamani tujiulize mtu akose muda kwa maelezo yake hata kuwasha komputa
Bize hadi saa nane usiku 24 7 akifanya kazi na nani usiku huo ambao siku zote uwa hawapumziki tanzania hii?
3. Anasemaga narusha sasa hivi halafu anakuja sema nilikuwa bize ndo nini sasa

Huyu jamaa anazichukuaga kazi hizi mahali nadhani ni kwa masharti hawi muwazi
Awe tu muwazi asisingozie ubize sisi sii watoto
Tena huu uzi ufutwe kuondoa usumbufu
Hahahaha mkuu vipi swalama lakini.nilikuwa mbali sanaaaa na vitendea kazi.so now sio mda nafanya mambo mkuu ngoja watu waswali kwanza
 
Hahaha, we jamaa bhanah;..... Aya karibu Mkuu. Shusha mambo
 
Hahahaha mkuu vipi swalama lakini.nilikuwa mbali sanaaaa na vitendea kazi.so now sio mda nafanya mambo mkuu ngoja watu waswali kwanza
Huna lolote chaja ya laptop hutaikuta au utabanwa au ukute una vijisehemu kumi tu hapa
Ahh!!! Usiweke leo bwana jipange kwanza
 
Hahahaha mkuu vipi swalama lakini.nilikuwa mbali sanaaaa na vitendea kazi.so now sio mda nafanya mambo mkuu ngoja watu waswali kwanza
Pole sana na majukumu mkuu karibu japo mateja wameteseka kwa kumiss kaulevi ka sinulizi zako
 
Hahahaha mkuu vipi swalama lakini.nilikuwa mbali sanaaaa na vitendea kazi.so now sio mda nafanya mambo mkuu ngoja watu waswali kwanza
Hatimae Lege kapatikana[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Huyoooo km makelele YA watoto wanavyoshangilia kirudi kwa umeme Baada YA kukatika
 
Screenshot_20170421-162122.png
 
Back
Top Bottom