Huyu jamaa ana kauongo flani hivi
1. Magufuli mwenyewe anapata muda kupiga simu kwa shilawadu
Itakuwa yeye bwana
2. Jamani tujiulize mtu akose muda kwa maelezo yake hata kuwasha komputa
Bize hadi saa nane usiku 24 7 akifanya kazi na nani usiku huo ambao siku zote uwa hawapumziki tanzania hii?
3. Anasemaga narusha sasa hivi halafu anakuja sema nilikuwa bize ndo nini sasa
Huyu jamaa anazichukuaga kazi hizi mahali nadhani ni kwa masharti hawi muwazi
Awe tu muwazi asisingozie ubize sisi sii watoto
Tena huu uzi ufutwe kuondoa usumbufu