Huyu jamaa ana kauongo flani hivi
1. Magufuli mwenyewe anapata muda kupiga simu kwa shilawadu
Itakuwa yeye bwana
2. Jamani tujiulize mtu akose muda kwa maelezo yake hata kuwasha komputa
Bize hadi saa nane usiku 24 7 akifanya kazi na nani usiku huo ambao siku zote uwa hawapumziki tanzania hii?
3. Anasemaga narusha sasa hivi halafu anakuja sema nilikuwa bize ndo nini sasa
Huyu jamaa anazichukuaga kazi hizi mahali nadhani ni kwa masharti hawi muwazi
Awe tu muwazi asisingozie ubize sisi sii watoto
Tena huu uzi ufutwe kuondoa usumbufu
UP DATE2.1.
Niliwaambiaje?
Eti baada ya swala, huyu jamaa sijui
Hapo kashakuwa bize tena
Ngojeni muone swala itaisha lini
UP DATE .2.
Niliwaambia nini alisema saa sita anaenda msikitini
Anadanganya hadi na kuingiza mambo ya Mungu na nyumba yake ya ibada
Mtaona wenyewe hapo atasema nilibanwa
Haha haaa haaaa
Tangu saa sita mchana yupo msikitini
UP DATE 3
Huyu jamaa hakuna kitu mi nawaambia
Ibada ya usiku ishaisha na alinijibu kuwa anamaliza ibada ya mchana
Bora asilete tu hizo stori za nini kwanza muumini wa kislamu muongo muongo
Apeleke zake huko