Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama, nakuona tu. Huku na kule......shukran lege mambo yanaanza kunoga
hahaha wapi na wapiMama, nakuona tu. Huku na kule......
David sio kwa gia hii asee M270,000/- bila kuona ndani! halafu bado wazazi wa Monica sijui watalialia kwa dau gani!?mambo yanazidi kunoga, David Zumo hataki masiala, amekolea kwelu kweli, ameingia kwa miguu yote, patamu hapo!!
LEGEhaina shida mkuu inabidi speed ya week end iwe kubwa zaidi ya siku za kawaida dozi ya week end iwe inawalaza jf unaamka jf unashinda jf na kulala jf. harafu shemeji akikuuliza unachart na nani unampa tuu naye anogewe
hata mimi sidhani kama atampata Monica kwa njia hiyo anayoitumia, ila najua hatakubali kushindwa kirahisi, ataua mtu kama sio watuDavid sio kwa gia hii asee M270,000/- bila kuona ndani! halafu bado wazazi wa Monica sijui watalialia kwa dau gani!?
uhongaji wa kinguvu namna hii huishia patupu ndege mzuri lazima apeperuke na bado Mama Monica hajafanya VETTING yake!!
mpangaji mwenzanguLEGE kamu endi meki mai wikiend, kabla sijasaliti sms yangu
Naona mko huku wewe na Bold .Wakati tunasubiri jumanne, Kipepeo mweusi tumeona tupite huku pia!Kwani ni lazima usome mkuu?[emoji15]
Mi naona kama Monica ataangukia Mikononi kwa Rais David na ndipo nchi ya Kongo itabadilishwa na kuwa taifa la kifalme na David kuwa Mfalme huku Monica akiwa Malkia na patakua chimbuko la jina Queen Monica.David sio kwa gia hii asee M270,000/- bila kuona ndani! halafu bado wazazi wa Monica sijui watalialia kwa dau gani!?
uhongaji wa kinguvu namna hii huishia patupu ndege mzuri lazima apeperuke na bado Mama Monica hajafanya VETTING yake!!
Kina Bold na Nifah.Wanakwenda mwendo wa kinyonga una nafuu!LEGE is back!..uwiiiii uwiiii..usije ukaishia njian km waleeeeeee
inawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!Mi naona kama Monica ataangukia Mikononi kwa Rais David na ndipo nchi ya Kongo itabadilishwa na kuwa taifa la kifalme na David kuwa Mfalme huku Monica akiwa Malkia na patakua chimbuko la jina Queen Monica.
Kutokana na hali ilivyokua, huenda Bernadetha asimruhusu Monica kuwa na mahusiano na Dr Marcelo. Japo Monica kavutiwa sana na Dr lakini naona ushawishi wa mamake pamoja na ugonjwa alionao Dr vikiwa vikwazo kumkwaa mtoto mrembo.inawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!
Wewe ushakua mkusanya kodimpangaji mwenzangu
Wewe ushakua mkusanya kodimpangaji mwenzangu
Asipokubali Monica hii hadithi itakua haijasadiki kwa mabinti wa Kitanzaniinawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!
Kah bonge la storykaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.
ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania