QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

mambo yanazidi kunoga, David Zumo hataki masiala, amekolea kwelu kweli, ameingia kwa miguu yote, patamu hapo!!
 
David sio kwa gia hii asee M270,000/- bila kuona ndani! halafu bado wazazi wa Monica sijui watalialia kwa dau gani!?
uhongaji wa kinguvu namna hii huishia patupu ndege mzuri lazima apeperuke na bado Mama Monica hajafanya VETTING yake!!
 
haina shida mkuu inabidi speed ya week end iwe kubwa zaidi ya siku za kawaida dozi ya week end iwe inawalaza jf unaamka jf unashinda jf na kulala jf. harafu shemeji akikuuliza unachart na nani unampa tuu naye anogewe
LEGE

Nakuona,[emoji15] [emoji15] [emoji15] tuleteeeeeeee[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nishamtumia sms katekista
 
David sio kwa gia hii asee M270,000/- bila kuona ndani! halafu bado wazazi wa Monica sijui watalialia kwa dau gani!?
uhongaji wa kinguvu namna hii huishia patupu ndege mzuri lazima apeperuke na bado Mama Monica hajafanya VETTING yake!!
hata mimi sidhani kama atampata Monica kwa njia hiyo anayoitumia, ila najua hatakubali kushindwa kirahisi, ataua mtu kama sio watu
 
Hii story inaenda ikinoga, ngoja nione kama itafika level za Peniela
 
David sio kwa gia hii asee M270,000/- bila kuona ndani! halafu bado wazazi wa Monica sijui watalialia kwa dau gani!?
uhongaji wa kinguvu namna hii huishia patupu ndege mzuri lazima apeperuke na bado Mama Monica hajafanya VETTING yake!!
Mi naona kama Monica ataangukia Mikononi kwa Rais David na ndipo nchi ya Kongo itabadilishwa na kuwa taifa la kifalme na David kuwa Mfalme huku Monica akiwa Malkia na patakua chimbuko la jina Queen Monica.
 
inawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!
 
Kutokana na hali ilivyokua, huenda Bernadetha asimruhusu Monica kuwa na mahusiano na Dr Marcelo. Japo Monica kavutiwa sana na Dr lakini naona ushawishi wa mamake pamoja na ugonjwa alionao Dr vikiwa vikwazo kumkwaa mtoto mrembo.
 
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
Kah bonge la story
 
Back
Top Bottom