QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Ashushe tu, ukichoka unapumzika wengne wanaendelea.
Au vp successor?
 
Mweee! Nilijifanya kuacha kwanza kuisoma hii story ili ifike mbali kwanza lakini yamenikuta ya kusubiri!

By the way hakuna shida maana Austin ndo kaanza kazi na ofcoz ye ndo master wa hii story
 
Lazima Monica aliwe na Austin
 
Wapenzi wenzangu wa stories za kijasusi mimi kwa upande wangu nikiwa namsubiri lege nataka nisome story nyingine ya kupotezea mda so plz nichagulieni mojawapo ila peniela nshaisoma na ilinitesa sana kwakweli , vipepeo weusi nayo tupo tunaisubiri , mke wa rais nishalamba au nisome baradhuki mwenye mikono ya chuma ? Je ni nzuri kama peniela au kama hii?
 
Luge
Wakuu samahani sana mambo yamekuwa mengi mno
Ila Leo ntawarushia ya kuanzia wiki.
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Hahahaha, halafu yupo online anatuchora tu!! LEGE noma sana.
 
Wapenzi wenzangu wa stories za kijasusi mimi kwa upande wangu nikiwa namsubiri lege nataka nisome story nyingine ya kupotezea mda so plz nichagulieni mojawapo ila peniela nshaisoma na ilinitesa sana kwakweli , vipepeo weusi nayo tupo tunaisubiri , mke wa rais nishalamba au nisome baradhuki mwenye mikono ya chuma ? Je ni nzuri kama peniela au kama hii?
Baradhuli ni ya kiboya sana, haina kiwango. Huo ni mtazamo wangu, ila unaweza ukaijaribu na wewe, mimi nimeishindwa.
 
Duh kama ni hivo basi mkuu maana mi naamini kama kitu kikali kinakuaga kikali kwa wote
 
Luge
Unajua mnashindwa kunielewa bure tu, ndio mnaniona online but ni maybeib ndo anaitumia hii simu Leo.
Ngoja Leo nijitaidi msijali wakuu, ni haya mambo tu ndo yamebana
 
Duh kama ni hivo basi mkuu maana mi naamini kama kitu kikali kinakuaga kikali kwa wote
Kama Peniela, ile ni habari nyingine, hadi sasa ndio story namba moja kwa ubora kwenye list ya story zote nilizowahi kusoma. Ngoja nione hii ya Monny kama itafikia ubora wa Penny.
 
Back
Top Bottom