successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,083
- 6,139
Subiri kwanzame naona ashushe kazi kesho leo tupumzike jamaaaa....!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri kwanzame naona ashushe kazi kesho leo tupumzike jamaaaa....!!!
Kweli kaka, ashushe tu aisee, aliyechoka apumzikeAshushe tu, ukichoka unapumzika wengne wanaendelea.
Au vp successor?
Umeita kimahaba adi raha ebu mwiite tena unaweza mtoa nyoka pangoniLegee njoo bana
Lazima Monica aliwe na AustinMweee! Nilijifanya kuacha kwanza kuisoma hii story ili ifike mbali kwanza lakini yamenikuta ya kusubiri!
By the way hakuna shida maana Austin ndo kaanza kazi na ofcoz ye ndo master wa hii story
Baradhuli ni ya kiboya sana, haina kiwango. Huo ni mtazamo wangu, ila unaweza ukaijaribu na wewe, mimi nimeishindwa.Wapenzi wenzangu wa stories za kijasusi mimi kwa upande wangu nikiwa namsubiri lege nataka nisome story nyingine ya kupotezea mda so plz nichagulieni mojawapo ila peniela nshaisoma na ilinitesa sana kwakweli , vipepeo weusi nayo tupo tunaisubiri , mke wa rais nishalamba au nisome baradhuki mwenye mikono ya chuma ? Je ni nzuri kama peniela au kama hii?
Duh kama ni hivo basi mkuu maana mi naamini kama kitu kikali kinakuaga kikali kwa woteBaradhuli ni ya kiboya sana, haina kiwango. Huo ni mtazamo wangu, ila unaweza ukaijaribu na wewe, mimi nimeishindwa.
Kama Peniela, ile ni habari nyingine, hadi sasa ndio story namba moja kwa ubora kwenye list ya story zote nilizowahi kusoma. Ngoja nione hii ya Monny kama itafikia ubora wa Penny.Duh kama ni hivo basi mkuu maana mi naamini kama kitu kikali kinakuaga kikali kwa wote