chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
Utamu kolea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactHuyu lege huyu dawa yake ni kumtafutia dem ambae anaeipenda hii riwaya(ref : the bold&nifah) otherwise tutateseka sana
HaswaaaHuyu lege huyu dawa yake ni kumtafutia dem ambae anaeipenda hii riwaya(ref : the bold&nifah) otherwise tutateseka sana
Asiwe mpenda pesa kama Nifah vinginevyo tutaanza kuuziwa huko whatsap!Huyu lege huyu dawa yake ni kumtafutia dem ambae anaeipenda hii riwaya(ref : the bold&nifah) otherwise tutateseka sana
Nimejikuta naikumbuka hii postnow hakuna breki ni mbio zenu tuu mm nabwaga mzigo mwanzo mwisho then nyie ndio mkeshe mkitumbua macho
Mkuu wala usijali sisi tutakua kama albertos i.e huyo dem tutampa masharti yetu kua kusije kukaundwa group la whatsapp na kama litaundwa iwe free maana asilimia ya watanzania wengi ni wananchi wa kawaida hasa kwa wakati huu tulio nao ,kuhusu vifurushi tutakua tukimuungia juu kwa juu ili iwe rahis kwake kumchimba mikwara au kumpetipeti mkuu lege.Asiwe mpenda pesa kama Nifah vinginevyo tutaanza kuuziwa huko whatsap!