QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Lege pita hata utusalmie tu inatosha[emoji18] [emoji18]
 
Someone tag me ikianza hiyo season 4. Nimeanza jana kuifuatilia nimeimaliza now. LEGE uko vizuri mkuu, angusha mambo tucheze LEGe kibashite style
 
Mpaka leo jamaa bado hajaleta tu...mpaka nishasahau ilipoishia..utamu wa Riwaya ushaisha sasa.
 
Lege atakuja atasema tatizo watu wanaongea sana habari zimefika jikoni so tutulie ye anaomba radhi huko
 
Bado yu msikitini anasali... Muda wa daku ukifika nshtue tuliunge...
 
LEGE ni MTU asiyeaminika kwasasa. Ni mbaya sana kupoteza uaminifu.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom