QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Season 8 tayari nipo ndio naanza kusoma baada ya kuchangia buku 3 tu.
 
Acheni ubahiri kitu tayari kimetoka hicho kazi kwenu
Screenshot_20170730-222827.png
 
Hatimaye nimeimaliza ina page 420.
austin na amarachi walioana,job na julieth pia na marcelo alimuoa airine tamu kweli nunueni 3000 tu jamani.
hii kitu siipendagi ww umeshoma unakuja kutumalizia story ili iweje kama unataka kutusaidia kujua si uandike yote
ustarabu ni afya
Dah stori tamu sana Mukasha kasepa zake Australia, Ernest z dead yani full mauza uza hii kitu imeisha vizuri ikishawekwa humu na kuisha inabidi tufanye analysis wapi mtunzi kafanikiwa na wapi kafeli

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Naomba nitoe Ushauri kwa Sote tulokwisha Isoma

Haifai Kuwatamanisha watu humu kwa Kuwaelezea kilichomo ikiwa huna Uwezo wa Kuibandika hapa Basi Tutulie Mpaka ikishushwa humu na wenZetu wakaisoma Mpaka mwisho
Hapo sasa tutakuwa huru kuijadili na kuyajadili matukio yote yaliyomo

Vinginevyo tutakuwa na VIHERE HERE
 
Back
Top Bottom