Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hahahahaha...yaani nimecheka mpaka natamani kulia hapa....pengine haijuiPochi ya Queen huijui kweli?
Iko mahali gani?!Pochi ya Queen huijui kweli?
Kwa hizo kauli chafu alipaswa kuwajibika...View attachment 2245689
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.
Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weaknes, hatutakiwi kuwa emotional.
Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and composed.
Sasa Mkuu wa Mkoa anataka kumweka mtu kwenye pochi yake!
Hii imekaaje tena kiutawala?
Na ni pochi ipi hiyo?
Mama alisema bila mikwara na makaripio,watumishi hujisahau.Wawakaripie Ila wasiwaue wala kuwafukuza kazi kiuonevu.View attachment 2245689
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.
Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weaknes, hatutakiwi kuwa emotional.
Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and composed.
Sasa Mkuu wa Mkoa anataka kumweka mtu kwenye pochi yake!
Hii imekaaje tena kiutawala?
Na ni pochi ipi hiyo?
Sasa kuwaweka watumishi kwenye kapochi ka huyo muhushimiwa, hilo likoje?Mama alisema bila mikwara na makaripio,watumishi hujisahau.Wawakaripie Ila wasiwaue wala kuwafukuza kazi kiuonevu.
Jus' a very simple figurative language.Take it easy,boss!Sasa kuwaweka watumishi kwenye kapochi ka huyo muhushimiwa, hilo likoje?
True!Jus' a very simple figurative language.Take it easy,boss!
Kuna kipindi unakengeuka "kidogo" kwa manufaa ya umma. Lemme tell you, broda! We have been saying,... I will educate myself and use my education for the benefit of all..! Not enough for you?True!
Lakini katika standing orders zihusuzo communication between Govt officials , hii inaruhusiwa?
Mkuu I get your point, lakini bibie akiniambia ataniweka kwenye kapochi kake!!Kuna kipindi unakengeuka "kidogo" kwa manufaa ya umma. Lemme tell you, broda! We have been saying,... I will educate myself and use my education for the benefit of all..! Not enough for you?
Girls, especially big girls,have got their own ways of doing their good things.Have a lil' patient,fella!Mkuu I get your point, lakini bibie akiniambia ataniweka kwenye kapochi kake!!
Yellewiii.......!
Sijui nimfuate nyumbni au ofisini!
Itakuwa sawa na mfuko wa yule mgiriki ambaye alidai kuiweka serikali nzima ya mwalimu mfukoni.Pochi au papu...i anayejua kwa hakika aseme hapa.
Tangu lini mtu akaingizwa kwenye pochi? Na hiyo pochi ina ukubwa gani?
Kwa hiyo pochi mi naenda kwa hiari yangu!Pochi ya Queen huijui kweli?