Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.
Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weakness, hatutakiwi kuwa emotional.
Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and composed.
Sasa Mkuu wa Mkoa anataka kumweka mtu kwenye pochi yake!
Hii imekaaje tena kiutawala?
Na ni pochi ipi hiyo?