Queen Sendiga, kuingizwa kwenye pochi inakuwaje?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.

Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weakness, hatutakiwi kuwa emotional.

Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and composed.

Sasa Mkuu wa Mkoa anataka kumweka mtu kwenye pochi yake!
Hii imekaaje tena kiutawala?

Na ni pochi ipi hiyo?
 
View attachment 2245689
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.
Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weaknes, hatutakiwi kuwa emotional.

Kwa hizo kauli chafu alipaswa kuwajibika...

NB: Tuweke kumbukumbu sawa... Wakuu wa mikoa/wilaya si waheshimiwa!!
 
View attachment 2245689
Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.
Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weaknes, hatutakiwi kuwa emotional.

Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and composed.

Sasa Mkuu wa Mkoa anataka kumweka mtu kwenye pochi yake!
Hii imekaaje tena kiutawala?
Na ni pochi ipi hiyo?
Mama alisema bila mikwara na makaripio,watumishi hujisahau.Wawakaripie Ila wasiwaue wala kuwafukuza kazi kiuonevu.
 
True!
Lakini katika standing orders zihusuzo communication between Govt officials , hii inaruhusiwa?
Kuna kipindi unakengeuka "kidogo" kwa manufaa ya umma. Lemme tell you, broda! We have been saying,... I will educate myself and use my education for the benefit of all..! Not enough for you?
 
Mkuu I get your point, lakini bibie akiniambia ataniweka kwenye kapochi kake!!
Yellewiii.......!

Sijui nimfuate nyumbni au ofisini!
 
Kwa wana upinzani wa kitanzania kila atakaejiunga na serikali kutimiza wajibu wa kujenga nchi yake anakuwa Automatically Enemy wenu.

Kwa hiyo Queen Sendiga tunajua nae ni muwindwa wa Wakaanga Sumu.
 
Pochi au papu...i anayejua kwa hakika aseme hapa.
Tangu lini mtu akaingizwa kwenye pochi? Na hiyo pochi ina ukubwa gani?
Itakuwa sawa na mfuko wa yule mgiriki ambaye alidai kuiweka serikali nzima ya mwalimu mfukoni.
 
Back
Top Bottom