Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #121
Mijitu mingine ina akili za kutosha kwenda haja tu... pengien hata kunawa vizuri haiwezi. Nchi ina matatizo makubwa lakini unakuta jitu linafanya utani wa kijinga muda wote.
Halafu jinga kama wewe una uthubutu wa ku comment.Mijitu mingine ina akili za kutosha kwenda haja tu... pengien hata kunawa vizuri haiwezi. Nchi ina matatizo makubwa lakini unakuta jitu linafanya utani wa kijinga muda wote.
Mwanangu Jidu umeyakanyaga!Naona kura ya maoni inaniendea kombo!
Kumbe kibaya kwangu ni nyota ya jaha kwa mwingine!Mwanangu Jidu umeyakanyaga!
Stupid thinking?Hii ni stupid thinking.
Seriksli toka uhuru, ina standards za appearance of public officials.
Waziri hawezi kwenda ofisini na jeans, na mbunge vile vile hawezi kwenda bungeni na jeaneans na T shirt.
Kwa wanawake ikoje?
Asante sanaNapenda sana wanawake design hiyo. Natural 😍
Mimi na jua!Stupid thinking?
sasa umesema mwenyewe standards ya appearance of public officials hairuhusu
Je wewe na yeye nani anajua vyema kuhusu appearance ya kazi yake??
Kipindi yupo kijana nilipigaView attachment 2782173
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.
Mama Samia tukimtazama kwenye runinga, anavutia, ni mwanamke anapendeza.
Sasa Queen,suka yako ya mabutu au twende kilioni, heri hata ungevaa kilemba, haipendezi ulivyo.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!
Tupe raha Queen, pendeza kidogo.
Kuchanganya vifungo hujafuata taratibu za kuvaa, ni kosa. Na kosa ni sawa kulikemea.Pengine we mgeni JF.
Wassirra tulimchana alipo pishanisha vifungo vya suti.
We polisi uchwara wa darasa la saba.We Jamaa unatakiwa uwe mahabusu, kwanza umetumia picha ya mtu kwa maslahi yako binafsi bila ridhaa ya muhusika, pili umefanya shambulio la aibu kwa kumuanika mtu hadharani ,bila kujali cheo chake wala wafuasi wake. Jtahidi kuwa na mipaka
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wigi uvaliwa na wasiojiaminiKwa hiyo hataki kuvaa hata wigi kwa hofu ya upepo wa mlima Kilimanjaro utalipeperusha?
Sio kweli kuwa natural ni tabia ya mwanamke anaejitambua.Kuna namna anatamani aonekane kuficha mambo flani chini ya kapeti kwa lengo la kumfumbaza macho mwajiri wake ..... na anafanya ivo hku akijua nini anacho kifanya .... hujawahi kumwona tajiri ana vaa hovyo ili asijulikane kama anazo? .....