Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

View attachment 2782173
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.

Mama Samia tukimtazama kwenye runinga, anavutia, ni mwanamke anapendeza.

Sasa Queen,suka yako ya mabutu , heri hata ungevaa kilemba, haipendezi ulivyo.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!

Tupe raha Queen, pendeza kidogo.
Hata kusuka haitakiwi.

Kupendeza ni kuwa na TABIA njema, huruma ,Upendo, uchapa KAZI, maono,nk nk nk.

Kujipaka mikorogo, kuvaa mawigi,kuweka makucha marefu kama jini, kuweka kope bandia, kuvaa hovyo Si kupendeza, ni IBADA ya sanamu.

Usirudie tena kumpangia mke wa mtu mwonekano wake !
 
Hata kusuka haitakiwi.

Kumpendeza ni kuwa na TABIA njema, huruma ,Upendo, uchapa KAZI, maono,nk nk nk.

Kujipaka mikorogo, kuweka makucha marefu kama jini, kuweka kope bandia, kuvaa hivyo Si kumpendeza, ni IBADA ya sanamu.

Usirudie tena kumpangia mke wa mtu mwonekano wake !
Ukiwa hadharani wewe ni wetu na muonekano wake ni kwa ridhaa ya anotutumikia.
Full stop.
La sivyo mume wake amfugie nyumbani
 
Ila humu watu sio wa kuwaamini
emoji23.png
emoji23.png
nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni

Ila humu watu sio wa kuwaamini [emoji23][emoji23]nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni tofauti kabisa.
Niamini mimi bhana , kuna kiukwel fulani ivi ata kama ni kidogo😊😊
 
Mimi napenda zipendeze huduma anazosimamia na sio yeye ,kupendeza kwake binafsi jamii inanifaikaje
 
Ila humu watu sio wa kuwaamini [emoji23][emoji23]nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni tofauti kabisa.
Alafu umebadili picha ukapotea kabisa🤔
 
View attachment 2782173
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.

Mama Samia tukimtazama kwenye runinga, anavutia, ni mwanamke anapendeza.

Sasa Queen,suka yako ya mabutu au twende kilioni, heri hata ungevaa kilemba, haipendezi ulivyo.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!

Tupe raha Queen, pendeza kidogo.
Pengine ni maelekezo huwezi kujua
 
Je umewahi kumwambia kiongozi wa kiume apendeze? Yeye yupo pale kufanya kazi za kuhudumia wananchi siyo kufurahisha macho ya wanaomtizama.
 
Tusiingilie maisha binafsi ya mtu... Kuna mipaka umevuka umeleta utani ukumbuke anawatoto wakubwa, ndugu pia wanaona hii sio sawa.

Pia nafikiri ni mtu anaetingwa sana na ni mlambanaji sana...kuna watu busy sana hawapati muda wa kushinda saloon au kushinda na wasusi..

One of the best traits toka kwake ni hiyo.
Ukilitumikia taifa kisiasa, hakuna maisha binafsi.
Wasirra alipo changanya vifungo vya suti alichanwa live hapa mtandaoni.
 
Je umewahi kumwambia kiongozi wa kiume apendeze? Yeye yupo pale kufanya kazi za kuhudumia wananchi siyo kufurahisha macho ya wanaomtizama.
Pengine we mgeni JF.
Wassirra tulimchana alipo pishanisha vifungo vya suti.
 
View attachment 2782173
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.

Mama Samia tukimtazama kwenye runinga, anavutia, ni mwanamke anapendeza.

Sasa Queen,suka yako ya mabutu au twende kilioni, heri hata ungevaa kilemba, haipendezi ulivyo.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!

Tupe raha Queen, pendeza kidogo.
Mijitu mingine ina akili za kutosha kwenda haja tu... pengien hata kunawa vizuri haiwezi. Nchi ina matatizo makubwa lakini unakuta jitu linafanya utani wa kijinga muda wote.
 
Back
Top Bottom