Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko pamoja na mimi.Huyu mama ni mrembo sana. Kama atasoma hii comment yangu namshauri aendelee kubaki hivyo hivyo, binafsi nampenda sana. wewe muanzisha mada endelea kudanganyika na wadada/wamama wenye muonekano bandia.
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Sasa Queen,suka yako ya mabutu , heri hata ungevaa kilemba, haipendezi ulivyo.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!
Mtoto wa Majengo Mbeya. Mpwa wa Nyirenda aliyepandisha bendera Kilimanjaro
Watu msiokuwa na uelewa sawa sawa, wala hamjui picha zote zipo mtandaoni.We Jamaa unatakiwa uwe mahabusu, kwanza umetumia picha ya mtu kwa maslahi yako binafsi bila ridhaa ya muhusika, pili umefanya shambulio la aibu kwa kumuanika mtu hadharani ,bila kujali cheo chake wala wafuasi wake. Jtahidi kuwa na mipaka
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hii ni stupid thinking.Tusiingilie maisha binafsi ya mtu... Kuna mipaka umevuka umeleta utani ukumbuke anawatoto wakubwa, ndugu pia wanaona hii sio sawa.
Pia nafikiri ni mtu anaetingwa sana na ni mlambanaji sana...kuna watu busy sana hawapati muda wa kushinda saloon au kushinda na wasusi..
One of the best traits toka kwake ni hiyo.
Tunamjua kama RC,kwani Ana cheo kingine nyuma ya pazia? nikikonect dots na madudu ya SumbawangaMSILOJUA HUYO NI AMONG OF TOP FEMALE [emoji3103] Officers
Usichojua ni kua natural hair ina style nyingi sana na nzuri mno kuliko nywele za twende kilioni kama mwanafunzi.MNapenda watu waongo sana;
Wavae wigi
Wajichubue ndio muone anapendeza.
Sendige anq uzuri wa asili.
Ninaamini huyu mwanamke atakuwa mkwwli sana hata kwa mahusiano yake.
Mwacheni aishi maisha yake.
Usichojua ni kua natural hair ina style nyingi sana na nzuri mno kuliko nywele za twende kilioni kama mwanafunzi.
It's a unique matter. Hiyo ndiyo brand yake na way of her life style. Ummy mwalimu bila shaka ni mama wa kiislam lakini havai hijabu kama kina mama wengine viongozi wa serikali yeye anafunga kitambaa tu. Walikuwepo kina mama mkapa yeye hata msiba mkubwa wa kitaifa aliacha kichwa wazi huku ni first lady. Hata hivyo queen sendiga ni mrembo na ana sura nzuri, still ni pisi kali na anavutia kama mwanamkeView attachment 2782173
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.
Mama Samia tukimtazama kwenye runinga, anavutia, ni mwanamke anapendeza.
Sasa Queen,suka yako ya mabutu , heri hata ungevaa kilemba, haipendezi ulivyo.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!
Tupe raha Queen, pendeza kidogo.
Wanafanya nini stand?Ila stendi ya makumbusho inaongoza kwa warembo jaman,mpka huwa najiuliza Hawa n watu kwel au wengine mizuka[emoji848]
Naungana na kauli yakoShe looks so beautiful kwa style yake hiyo hiyo, sio mawigi fekero fekero Nop!