Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

Hiyo style yake ndo wengine anatuvutia kumuangalia...nilipanda nae flight Dar Dom mwezi March alikaa siti ya mbele yangu nilitamani nimsemeshe nilikua naangalia kichwa chake hadi tunafika. Kama unataka kuona wenye mawigi na misuko kila aina kasimame Makumbusho stendi pale utachoka mwenyewe
Hapo ulikuwa haungalii umbo la kichwa chake.Ulikuwa unauangalia u-RC wake kupitia twende kilioni yake.Angekuwa mtu usiyemfahamu wala usingepata wasaa wa kumkazia macho.Niamini.
 
mbona mrembo,
1697305714371.png
 
View attachment 2782173
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo.
Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hsjipendi lakini hsiba yake hadharani inabidi iboreke.
Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga.
Mama Samia tukimtazama kwenye runinga, anavutia, ni mwanamke anapendeza.

Sasa Queen,suka yako ya mabutu , heri hata ungevaa kilemba, haipendezi.
Hata leo sherehe kuuubwa mkoani Manyara, mabutu!
Aaah!

Tupe raha queen, pendeza kidogo.
Kwa hiyo kwako wewe kupendeza ni kuweka nywele na nyusi bandia au kujipaka foundation nab u fake mwingi
 
Back
Top Bottom