Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
- Thread starter
-
- #21
Hiki ni moja ya kichekesho katika Soka. Naona mnyama amesahau wakati anakula tano away, Nyumbani alikua anafanya nini. Vipers atatoa mechi moja ngumu sana kwa Mnyama.Kuna watu eti baada ya Vipers kufungwa 5 na Raja casablanca jana basi eti wameshajihesabia wana points zao sita toka kwa vipers. Lol.
All the Best MwananchiiAll the Best Yanga
Nakubaliana na wewe kabisa. Naamini Vipers wana-mindset ya kuamini wanamuweza simba, wanapaweza kwa Mkapa. Ogopa sana timu ya namna hiyo. Hii confidence effect yake ni kufa nyingi au kushinda.Kwani wao wamesahau walivyokuwa wanapiga hamsa jamaa?
Kilichowakuta Vipers ni karibu Mgeni, Sasa wamekaribishwa rasmi ligi ya makundi, na ile timu ni ukanda mwingine, lakini mechi yao na Simba ni ya kawaida sana kwao kwani ni ukanda mmoja timu zote mbili kila timu INA uwezo wa kupata matokeo iwe Kampala au Dar es salaam.
kwahio imani yako uto yupo njia salama kama mleta uzi alivotahadhalisha kwamba vinyesi mnajiamini sana na kwamba hakuna mtu wa kuwazuia kwenye kundi lenu? Na unaamini makolo hawana kabisa kikosi cha kupambana na kuvuka kundi lao kisa hawakusajili vizuri si ndio uto? Ila kumbuka mbumbumbuni kumeongezeka
Chama
Phili
Ntibanzokinza
Baleke na wengine wazuri ambao hawakuwepo last czon, na unakumbuka wazi simba ile ya kina sako na kibu denga ilivowatoa kamasi bingwa mtetezi berkane na orlando pirates kwa kikosi kile tu, je uto huoni kama ngada fc wana advantage kuliko hata wewe? Ukiangalia hata bettings wamewapa makolo odds zinazokaribiana na za timu mwenyeji leo hii! Ila uto sioni hili, by the way tupunguze matarajio sana.
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada hawawezi kuwa na akili kamwe!Kuna watu eti baada ya Vipers kufungwa 5 na Raja casablanca jana basi eti wameshajihesabia wana points zao sita toka kwa vipers. Lol.
Yanga ana ugeni wa kuwasha moto tu uwanjani kuliko ninyi Kolowizards [emoji2]Yanga bado ni Junior kwenye haya mashindano. Hata hapo alipofika inatosha. Mengine yatakayo tokea ni bonus tu.
Wewe Ni mgumu Sana kuelewa somo..umepewa shule ya bure kwamba punguza mihemuko..Wakati Yanga inafanya usajili nyinyi mlikuwa mnazurura tu na kupiga Picha na Manzoki, Sasa kila mtu atavuna alichopanda.
Katika total football, ubora wa Yanga upo kwenye formation yeyote ya ku-defence. Ni ngumu sana kuona Yanga hii ya Nabi inafungwa goli nyingi. Je, uta-score?Unashushaje matarajio kwa timu kama yanga labda uwe umerogwa
nyau sio ya kushusha matarajio, hutakiwi kuwa na matarajio kabisa
timu kama kombaini ya timu za shule kucheza umitashumita/umiseta
kabisaa wote matumbo joto.Ni siku ya Chungu na Tambu. Ila tu, itategemea na timu uliyochagua kuishabikia.
sema yooote ila nyau hakuna timu pale ukicheza mpira wa nguvu tu wanapotea woteKatika total football, ubora wa Yanga upo kwenye formation yeyote ya ku-defence. Ni ngumu sana kuona Yanga hii ya Nabi inafungwa goli nyingi. Je, uta-score?
Shida yangu, Uta-score mwananchii?
Mnayama falsafa yake ni kushambulia. Ila akikutana na timu ambayo wanatumia mipira ya juu saana na wapo aggressive. Mnyama hana jipya.
Siwalaumu, ila ni nature ya wachezaji waliopo. Mpinzani tumia wings kushambulia(Huwa tunaona madhaifu ya kina Tshabalala), Wakimbize, Piga cross ya juu. Utakuta Manula haya yeye haelewi kilichotokea.
Ila ukisema utembeze boli chini. Mnyama ataku-outshine, Mnyama atakutesa sana.
Napenda sana JF, Ni either ujifunze kwanza communication skills ndiyo ujinge, au jiunge JF ili ujifunze Communication Skills. Ila kwa namna yeyote ukiwa member humu, Utajifunza tu. Utake, Usitake.Hizi forum zetu kupata mtu mpya ni kazi sana.
Hebu fikiria hapa mtu kutoka malawi huko amejua kiswahili hapa ataelewa nini?
Ataona tunaongolea vitu ambavyo hawezi kupata rejea.
Sio TZ tuna dunia yetu hakika.
Bila kuathiri mafanikio ya Nabi, ila Nabi anafikirisha sana. Mechi ikiwa tough tu, huwa anachanganyikiwa. Ni ngumu sana kuja na mbinu mbadala kama tayari umechanganyikiwa.Msimu wa Nabi atuachie timu yetu umefika
Napenda sana na Naogopa sana Yanga linapokuja suala la majadiliano au ubishani wa mpira hapa nchini.Yanga ana ugeni wa kuwasha moto tu uwanjani kuliko ninyi Kolowizards [emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ilo lipo waziNatabiri Simba ataburuza mkia kwenye kundi lake
Nakubaliana na wewe umeandika bila kupelekeshwa na mihemko ya kishabiki lakini naomba nikupinge kidogo katika hii ayaHii ndiyo ile miezi ya manung'uniko pale msimbazi(Hawa jamaa hawana kelele sana kama wananchi). Naamini utakubaliana na mie, Simba linapokuja suala la kimataifa mentality yao ni kama Real Madrid, yaani ligi ya ndani anaweza kuwa wa kawaida ila kimataifa wana-spirit moja ya ajabu sana. Timu nyingi zina mengi ya kujifunza kutoka kwa Simba. Simba ikija kupata wachezaji bora, Nawaona fainali kabisa.