Quick Reminder: Ewe Shabiki wa Simba na Yanga punguza matarajio

Waambie mashabiki wa yanga sisi tushazoe huko Caf champions league ni wazoefu ila wale upande wa pili wameanza kuwaambia wana habari kwamba kule baridi inawasumbua ili hata wakipigwa wapate kisingizio.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Nikivaa viatu vyako naona bado tupo kwenye same lane.

Ni kweli mentality pekee haitoshi, ila ni mwanzo wa kila mafanikio.

Ndiyo maana nimesema Simba akipata wachezaji bora, kwa mentality yake namuona fainali kabisa, ila kwa sasa ana avarage players tu.
 
Yanga aendelee kujitafuta tu, ila kwa sasa lolote litakalotoea walipokee vyema kabisa.
 
Kwa kigezo cha wachezaji bora basi tukubali hata yanga pia sio wa kuwalaumu maana kwa kipindi cha miaka takribani minne simba akiwa anafanya vizuri kumbuka alikua na mfadhili ambae alikua anawezesha suala la kumudu kuwa na wachezaji bora wakati huo wote tunajua hali aliyokua nayo yanga baada ya manji kupigwa pin na mamlaka. Tukisema tufanye ulinganisho wa yanga na simba kimataifa basi ziangaliwe rekodi zao kwa hii miaka miwili tangu GSM amebeba jukumu la ufadhili completely haitakua sawa kuilinganisha simba ya mo, miquisone, chama, kagere na boco wakiwa kwenye ubora wao na yanga ya kutembeza bakuli uwanjani, yikpe, moringa n.k
 
Taratibu yale yaliyonenwa mwanzo yanaenda kutokea.
 
Simba ikija kupata wachezaji bora, Nawaona fainali kabisa.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…