Qur-an description about the clouds

Jibu maswali niliyo kuuliza.

Qur'an Kila siku naisoma na Nina ifatilia kwa ufupi ndio muongozo kwangu.

Sasa fanya kama nilivyo kuambia.
Sasa mm inanisaidia nn kaka afuu ni ya kiarabu kina faida gani
 
Hivi unaelewa hujajibu swali?

Unaelewa maana ya historical records?

Swali nimejibu, labda useme sijajubu vile unavyotaka wewe.

Najua ndio maana nimekuwekea na marejeo ya vitabu. Au ukitaka nikuonyeshe fuvu ?
 
Kijana huu unaleta utoto, nimekuwa ainishia chapter za kwenye hicho kitabu na nikaenda mbali zaidi nimekwambia katika theory, hivi kwanza hicho kitabu unacho hapo ? Kama huna kipakue mtandaoni utazame hizo chapter.
 
Vitabu vyote hivii havitufaii sisi wafrica ujinga tuuuu
Mwanangu umenena na una akili sana. Vimetupotezea muda na kupandikiza chuki na kutojiamini mbali na uvivu na utaahira kwa kiwango cha kaumu aka mass imbecilisation mwanangu.
 
Swali nimejibu, labda useme sijajubu vile unavyotaka wewe.

Najua ndio maana nimekuwekea na marejeo ya vitabu. Au ukitaka nikuonyeshe fuvu ?
Historical records ni nini?
 
Kijana huu unaleta utoto, nimekuwa ainishia chapter za kwenye hicho kitabu na nikaenda mbali zaidi nimekwambia katika theory, hivi kwanza hicho kitabu unacho hapo ? Kama huna kipakue mtandaoni utazame hizo chapter.
Hujaainisha on specific way. Umesema tu bila kuziweka hapa wote tukaziona.

Wapi umeziweka ili kila mtu aone hayo maeneo ambayo umesema yana mashaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…