Sindio uongo jibu swali adamu alifunga aliswali alienda maka hujajibuuMaana ya uislam ni kujisalimisha kwa Allah.
Mtu yoyote duniani anazaliwa akiwa muislam hata kama wazazi wake sio waislam baada ya hapo,
Wazazi wake ndio wanaamua kumbatiza na nk. Ili kumuingiza katika dini yao.
Hizo nguzo ulizo zitaja hapo,
hata kabla mtume hajapewa utume hazikuwepo.
Zililetwa taratibu mpaka zika kamilika, kiufupi kila Nabii alikuwa anapewa utaratibu wake wa ibada huu ulioutaja ni wa Muhammad (s,a,w) sio wa Adam.
Etyy malaika mwenye rungu ila mudi ni mjanja akawatishaa kabisaaSio wa kwetu tu hata wewe utaulizwa tu; hicho kiburi chako ni hapa duniani tu
Hoja ziko nyingi kwanza kusema Qur'an imeshuswaa uongoo huooo uislamu ni uongo tuuuThibitisha kwa hoja
Sasa kiongozi wa uislamu basi ni adamu sio mudiQur an 7: 11-24 Surat Al- A'raf
Utengenezaji wa ndege...utengenezaji wa magari....utengenezaji wa nyuklia hivyo vimezungumzwa?Hakuna kisicho zungumziwa
Tunachokosea ni kutaka kuprove science kutoka katika Quran, Quran ni kitabu Cha waumini sio Cha kulinganisha au kupiganisha na vingine kinajitegemea chenyewe hakihitaji hayo. Kingine hio science na elimu zote chanzo chake ni Mwenyezi Mungu ndio alimfundisha binadamu na viumbe vinginevyo vyote kwahio UNASEMA Quran ni ya Mwenyezi Mungu na science pia ni yake kilichofanyika katika Quran ni kutoa ishara TU na kumuhabarisha binadamu kuwa mfanyaji wa tunayoyaona yup
Ni muongo amewadanganya,hakufuata dini ya Ibrahim,manake huyo ibra hakuwahi hata na kuwa 4Mkuu you ur ignorant katika masuala ya uislamu, hata Muhammad saw uislamu aliukuta anasema mwenyewe alifuata dini ya nabii Ibrahimu
Hahaha hahah haha uongoUtengenezaji wa ndege...utengenezaji wa magari....utengenezaji wa nyuklia hivyo vimezungumzwa?
Muhammad hajawah pia kuwa muislamu maan yeye mika 40 kabudu sanamu miaka 23 ndio katanga uislamuNi muongo amewadanganya,hakufuata dini ya Ibrahim,manake huyo ibra hakuwahi hata na kuwa 4
Mohammad alisilimu?Sio wa kwetu tu hata wewe utaulizwa tu; hicho kiburi chako ni hapa duniani tu
Kati ya Quran na Aristotle, Archimedes, Pythagoras, Hipparchus ni nani alianza kuwepo?Qur an ni kitabu kinacho elezea mambo yote ya sayansi kabla ya wavumbuzi kuzaliwa na ndio maisha tunayo ishi hasa kwanini tusiamini.
🤣🤣🤣🤣Wamatumbi katika moja na mbili baada ya kushiba ugimbi.
Hajawahi kusilimu yule mjanja sana asee alisilimu wapMohammad alisilimu?
Qur'an imekuja hata afrika tushaelimika kitambo sana Qur'an ni ya juzi juzi tuu mwaka 60AdKati ya Quran na Aristotle, Archimedes, Pythagoras, Hipparchus ni nani alianza kuwepo?
Quran imeanza kuandikwa mwaka 609AD wakati hao wanasayansi walishagundua vitu vingi na kuja na theories na principles kibao miaka mingi kabla ya kristo (BC)
Bonge la comment i like it.Kati ya Quran na Aristotle, Archimedes, Pythagoras, Hipparchus ni nani alianza kuwepo?
Quran imeanza kuandikwa mwaka 609AD wakati hao wanasayansi walishagundua vitu vingi na kuja na theories na principles kibao miaka mingi kabla ya kristo (BC)
Yaaan kabla ya kristo watu walishagundua vitu leo hii useme ety Qur'an imegundua vitu una akili au matope miujiza aliofanya kristo hiyoo Qur'an haifiki hata theruthi 1Bonge la comment i like it.
For sureQuran ni zaidi ya sayansi.
Vip kuhus kuhusu kufanyika kwa tetemeko la arch na kupatwa kwa jua na mwezHakuna kisicho zungumziwa
Na kuheshima sanaa ila sidhani kama unaweza usijue Renaissance re birth of knowledge ulikuepo mwaka gani? Sawa tuambie Bc waligundua nini mkuu?Kati ya Quran na Aristotle, Archimedes, Pythagoras, Hipparchus ni nani alianza kuwepo?
Quran imeanza kuandikwa mwaka 609AD wakati hao wanasayansi walishagundua vitu vingi na kuja na theories na principles kibao miaka mingi kabla ya kristo (BC)
Kwaiyoo wataka useme vitu vyote vimegunduliwa na Qur'an kakaNa kuheshima sanaa ila sidhani kama unaweza usijue Renaissance re birth of knowledge ulikuepo mwaka gani? Sawa tuambie Bc waligundua nini mkuu?