Kabisaaa yaaaanMTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUAMINI KITABU CHA UPUUUU
MBAAAVVVUUU KIASI HICHOO
Walimuona mwongo tuu alikuwa mvivu wa kichunga kondoo jangwaniAlikuwa mkuraishi
Kiarab
Nabii suleima alikuwa na wake 700 na masuria 300
Nae alikuwa mwarab?
Hao waarab (Makuraishi) walikuwa wa kwanza kumpinga mtume mpaka Baba zake wadogo walimpinga.
Injili hapo zamani ndio kitabu kilicho mtabiri mtume wa mwisho na kutaja sifa zake, hata Bakhira alipo muona tu alimtambua tofauti na hao waarab wenzie walio mlea.
Naona kina kitu wa changaabudu
omba au fanya ibada kwa unyenyekevu mkubwa, hasa kwa Mungu
Swali langu limejikita zaidi kwenye mchakato mzima wa Adam kufanya:
sala
1: ibada maalumu katika dini ya Uislamu inayochanganya visomo na vitendo fulani k.v. kurukuu na kusujudu na ambayo ni lazima kutekelezwa; mojawapo ya nguzo tano za Uislamu
2: maombi kwa Mwenyezi Mungu
Mtu wa kwanza kuwa muislamu nani?Mkuu you ur ignorant katika masuala ya uislamu, hata Muhammad saw uislamu aliukuta anasema mwenyewe alifuata dini ya nabii Ibrahimu
Sasa unasemajee adamu ni muislamuNaona kina kitu wa changa
Ibada ya swala haikuwepo wakati wa Nabii Adam
Kina siku nilimwambia mtu humu kama Muhammad ni muongo na Qur an yake ni sawaMohamed alikuwa mvivu wa kuchungaaa kondoo akatunga dini uvivuuu tuuu
Hata mm nina ayaaa zangu tena hata mamshinda mudiKina siku nilimwambia mtu humu kama Muhammad ni muongo na Qur an yake ni sawa
Sasa ili tuamini maneno yako wewe ambae sio mvivu tunga angalau Aya moja ili tuamini maana Muhammad (s,a,w) alituaminisha hivyo.
Mmmmmmmmmh Adam hakuwah kuwa muislamu wala haujuiii uislamuAdam
Kipendi chake swala haikufarandishwa, haimtoi kwenye uislamSasa unasemajee adamu ni muislamu
Kwaiyoo adamu alikuwa mtotoKipendi chake swala haikufarandishwa, haimtoi kwenye uislam
Mfano: mtoto mdogo hasipo swali hatuwezi sema si muislam kwasababu hukum ya swala bado haija muwajibikia.
Tofauti na wale watoto wa kikafiri ambao tayari wazazi wao washa watoa kwenye uislam kwa kuwabatiza nk.
Kwasababu mtu yoyote anazaliwa akiwa muislam
Naam! Taratibu umeanza kutumia akili na siyo mahaba!Ibada ya swala haikuwepo wakati wa Nabii Adam
Ushawahi kusoma kufuatilia maandiko ya Vedas kutoka dini ya wahindu ambayo ni kongwe kuliko Islam?
Ushawahi kusoma kufuatilia maandiko ya Vedas kutoka dini ya wahindu ambayo ni kongwe kuliko Islam?
Hizi hapa ni comparison of scientific facts kutoka vitabu viwili yani Quran na Vedas.
View attachment 3221963
Je ni kitabu kipi ambacho ni more accurate? Let the audiences judge.
1. Umbo la dunia: Sayansi inataja umbo la dunia kuwa ni duara kama tufe.
Vitabu hivi viwili ambavyo vinadaiwa vineandika habari za sayansi vinatoa majibu gani.
Quran inasema umbo la dunia ni flat wakati Vedas inasema ni duara.
View attachment 3221964
Hoja hii inatiwa mkazo kutoka kwenye aya zaidi ya moja katika kila kitabu.
View attachment 3221965
2. Dunia ni kitovu cha ulimwengu kilicho tulia na vitu vyote vilivyopo angani huvizunguka jua?
Majibu ya Sayansi kwenye hili swali yanasema dunia ndio hulizunguka jua.
Quran inasema ni jua ndio huzunguka dunia.
Wakati Vedas inaenda sawa na Sayansi kwa kusema dunia huzunguka jua.
View attachment 3221972
3. Mwanga wa mwezi
Kwa mujibu wa Sayansi mwanga wa mwezi kutokana na reflection ya jua.
Sayansi ya Quran inasema ni mwezi ndio unaotoa mwanga.
Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221979
Aya zingine za msisitizo
View attachment 3221980
4. Ulimwengu unajongea au upo tuli?
Sayansi inaeleza kuwa ulimwengu una jongea (movable)
Kwa Sayansi ya Quran inasema ulimwengu upo fixed haujongei
Lakini Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221983
5. Kuzama kwa jua
Sayansi inaeleza kuwa dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake kutoka west kwenda east ndio tunapopata matokeo ya kuzama kwa jua.
Sayansi inafafanua kuwa position ya jua ipo fixed.
Tuangalie Quran yenyewe inasemaje kwenye hili
View attachment 3221986
Sayansi inatuambia jua linazama kwenye ukingo wa matope
Lakini Vedas inatoa maelezo yaleyale sawa na Sayansi.
6. Mzunguko wa maji
Sayansi inasema ni mchakato wa asili ambao huhusisha mabadiliko ya hali ya maji kutoka katika dunia hadi katika atmosphere na kurudi tena katika dunia.
View attachment 3221991
Quran inasema Mungu hushusha mvua kutoka kwenye mawingu na tena kwa vipimo maalum.
Lakini ukija kwenye Vedas utaona description ipo related na Sayansi.
Mpaka hapo utaona ni kitabu kipi chenye uhalali wa kusema kipo accurate na Sayansi.
Ila sayansi ipo kwenye quran tu?
Haipo kwenye zaburi, taurati wala injili?
Qur an 099 "The earthquake"Vip kuhus kuhusu kufanyika kwa tetemeko la arch na kupatwa kwa jua na mwez