Ushawahi kusoma kufuatilia maandiko ya Vedas kutoka dini ya wahindu ambayo ni kongwe kuliko Islam?
Hizi hapa ni comparison of scientific facts kutoka vitabu viwili yani Quran na Vedas.
View attachment 3221963
Je ni kitabu kipi ambacho ni more accurate? Let the audiences judge.
1. Umbo la dunia: Sayansi inataja umbo la dunia kuwa ni duara kama tufe.
Vitabu hivi viwili ambavyo vinadaiwa vineandika habari za sayansi vinatoa majibu gani.
Quran inasema umbo la dunia ni flat wakati Vedas inasema ni duara.
View attachment 3221964
Hoja hii inatiwa mkazo kutoka kwenye aya zaidi ya moja katika kila kitabu.
View attachment 3221965
2. Dunia ni kitovu cha ulimwengu kilicho tulia na vitu vyote vilivyopo angani huvizunguka jua?
Majibu ya Sayansi kwenye hili swali yanasema dunia ndio hulizunguka jua.
Quran inasema ni jua ndio huzunguka dunia.
Wakati Vedas inaenda sawa na Sayansi kwa kusema dunia huzunguka jua.
View attachment 3221972
3. Mwanga wa mwezi
Kwa mujibu wa Sayansi mwanga wa mwezi kutokana na reflection ya jua.
Sayansi ya Quran inasema ni mwezi ndio unaotoa mwanga.
Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221979
Aya zingine za msisitizo
View attachment 3221980
4. Ulimwengu unajongea au upo tuli?
Sayansi inaeleza kuwa ulimwengu una jongea (movable)
Kwa Sayansi ya Quran inasema ulimwengu upo fixed haujongei
Lakini Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221983
5. Kuzama kwa jua
Sayansi inaeleza kuwa dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake kutoka west kwenda east ndio tunapopata matokeo ya kuzama kwa jua.
Sayansi inafafanua kuwa position ya jua ipo fixed.
Tuangalie Quran yenyewe inasemaje kwenye hili
View attachment 3221986
Sayansi inatuambia jua linazama kwenye ukingo wa matope
Lakini Vedas inatoa maelezo yaleyale sawa na Sayansi.
6. Mzunguko wa maji
Sayansi inasema ni mchakato wa asili ambao huhusisha mabadiliko ya hali ya maji kutoka katika dunia hadi katika atmosphere na kurudi tena katika dunia.
View attachment 3221991
Quran inasema Mungu hushusha mvua kutoka kwenye mawingu na tena kwa vipimo maalum.
Lakini ukija kwenye Vedas utaona description ipo related na Sayansi.
Mpaka hapo utaona ni kitabu kipi chenye uhalali wa kusema kipo accurate na Sayansi.