Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUAMINI KITABU CHA UPUUUU
MBAAAVVVUUU KIASI HICHOO
Kabisaaa yaaaan
Alikuwa mkuraishi

Kiarab

Nabii suleima alikuwa na wake 700 na masuria 300

Nae alikuwa mwarab?

Hao waarab (Makuraishi) walikuwa wa kwanza kumpinga mtume mpaka Baba zake wadogo walimpinga.

Injili hapo zamani ndio kitabu kilicho mtabiri mtume wa mwisho na kutaja sifa zake, hata Bakhira alipo muona tu alimtambua tofauti na hao waarab wenzie walio mlea.
Walimuona mwongo tuu alikuwa mvivu wa kichunga kondoo jangwani
 
Mohamed alikuwa mvivu wa kuchungaaa kondoo akatunga dini uvivuuu tuuu
 
abudu

omba au fanya ibada kwa unyenyekevu mkubwa, hasa kwa Mungu


Swali langu limejikita zaidi kwenye mchakato mzima wa Adam kufanya:

sala

1:
ibada maalumu katika dini ya Uislamu inayochanganya visomo na vitendo fulani k.v. kurukuu na kusujudu na ambayo ni lazima kutekelezwa; mojawapo ya nguzo tano za Uislamu

2: maombi kwa Mwenyezi Mungu

Naona kina kitu wa changa

Ibada ya swala haikuwepo wakati wa Nabii Adam
 
Mohamed alikuwa mvivu wa kuchungaaa kondoo akatunga dini uvivuuu tuuu
Kina siku nilimwambia mtu humu kama Muhammad ni muongo na Qur an yake ni sawa

Sasa ili tuamini maneno yako wewe ambae sio mvivu tunga angalau Aya moja ili tuamini maana Muhammad (s,a,w) alituaminisha hivyo.
 
Kina siku nilimwambia mtu humu kama Muhammad ni muongo na Qur an yake ni sawa

Sasa ili tuamini maneno yako wewe ambae sio mvivu tunga angalau Aya moja ili tuamini maana Muhammad (s,a,w) alituaminisha hivyo.
Hata mm nina ayaaa zangu tena hata mamshinda mudi
 
Sasa unasemajee adamu ni muislamu
Kipendi chake swala haikufarandishwa, haimtoi kwenye uislam

Mfano: mtoto mdogo hasipo swali hatuwezi sema si muislam kwasababu hukum ya swala bado haija muwajibikia.

Tofauti na wale watoto wa kikafiri ambao tayari wazazi wao washa watoa kwenye uislam kwa kuwabatiza nk.

Kwasababu mtu yoyote anazaliwa akiwa muislam
 
Kipendi chake swala haikufarandishwa, haimtoi kwenye uislam

Mfano: mtoto mdogo hasipo swali hatuwezi sema si muislam kwasababu hukum ya swala bado haija muwajibikia.

Tofauti na wale watoto wa kikafiri ambao tayari wazazi wao washa watoa kwenye uislam kwa kuwabatiza nk.

Kwasababu mtu yoyote anazaliwa akiwa muislam
Kwaiyoo adamu alikuwa mtoto
 
Ibada ya swala haikuwepo wakati wa Nabii Adam
Naam! Taratibu umeanza kutumia akili na siyo mahaba!

1:Mpaka sasa Adam hajatekeleza mojawapo ya nguzo kuu ya dini si ndiyo??

2: Bado unaamini alikuwa muislamu??

3: Je,unakubali hizo nguzo kuu tano na za imani alianza kutumia mtume??

4:Je,Mungu alitumia kigezo gani kumpa mtume hizo nguzo na kuwasahau mitume wengine hata nguzo moja??

5:Ukitumia akili yako vizuri huoni kuwa uislamu ulianza wakati wa mtume?? Fuatilia vizuri historia ya mtume!
 
Alikuwa na Mmoja TU Sara,huyo mwingine alizalishwa TU,na alitimuliwa Ili kutovuruga penzi la ibra na Sara!!!
 
Ushawahi kusoma kufuatilia maandiko ya Vedas kutoka dini ya wahindu ambayo ni kongwe kuliko Islam?

Hizi hapa ni comparison of scientific facts kutoka vitabu viwili yani Quran na Vedas.
View attachment 3221963

Je ni kitabu kipi ambacho ni more accurate? Let the audiences judge.

1. Umbo la dunia: Sayansi inataja umbo la dunia kuwa ni duara kama tufe.
Vitabu hivi viwili ambavyo vinadaiwa vineandika habari za sayansi vinatoa majibu gani.
Quran inasema umbo la dunia ni flat wakati Vedas inasema ni duara.
View attachment 3221964

Hoja hii inatiwa mkazo kutoka kwenye aya zaidi ya moja katika kila kitabu.

View attachment 3221965

2. Dunia ni kitovu cha ulimwengu kilicho tulia na vitu vyote vilivyopo angani huvizunguka jua?

Majibu ya Sayansi kwenye hili swali yanasema dunia ndio hulizunguka jua.

Quran inasema ni jua ndio huzunguka dunia.

Wakati Vedas inaenda sawa na Sayansi kwa kusema dunia huzunguka jua.

View attachment 3221972

3. Mwanga wa mwezi

Kwa mujibu wa Sayansi mwanga wa mwezi kutokana na reflection ya jua.

Sayansi ya Quran inasema ni mwezi ndio unaotoa mwanga.

Vedas imeenda sawa na Sayansi.

View attachment 3221979

Aya zingine za msisitizo
View attachment 3221980

4. Ulimwengu unajongea au upo tuli?
Sayansi inaeleza kuwa ulimwengu una jongea (movable)

Kwa Sayansi ya Quran inasema ulimwengu upo fixed haujongei

Lakini Vedas imeenda sawa na Sayansi.
View attachment 3221983

5. Kuzama kwa jua

Sayansi inaeleza kuwa dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake kutoka west kwenda east ndio tunapopata matokeo ya kuzama kwa jua.

Sayansi inafafanua kuwa position ya jua ipo fixed.

Tuangalie Quran yenyewe inasemaje kwenye hili

View attachment 3221986

Sayansi inatuambia jua linazama kwenye ukingo wa matope

Lakini Vedas inatoa maelezo yaleyale sawa na Sayansi.

6. Mzunguko wa maji
Sayansi inasema ni mchakato wa asili ambao huhusisha mabadiliko ya hali ya maji kutoka katika dunia hadi katika atmosphere na kurudi tena katika dunia.

View attachment 3221991

Quran inasema Mungu hushusha mvua kutoka kwenye mawingu na tena kwa vipimo maalum.

Lakini ukija kwenye Vedas utaona description ipo related na Sayansi.

Mpaka hapo utaona ni kitabu kipi chenye uhalali wa kusema kipo accurate na Sayansi.

Kingine Qur'an sio kitabu Cha Sayansi, na ni makosa ya dhahiri kukilinganisha na Sayansi.

Qur'an ni muongozo kwa watu, na yanayosemwa na Qur'an ni kweli tu isiyo kuwa na shaka ndani.

Sayansi misingi yake ni dhaifu na onabadilika kila uchwao, lakini Qur'an haibadiliki.
 
Ila sayansi ipo kwenye quran tu?
Haipo kwenye zaburi, taurati wala injili?

Kwenye Qur'an hakuna Sayansi, bali Kuna muongozo kwa watu na ubainifu.

Ukiijua Qur'an huwezi kuilinganisha na hiyo elimu ya kubahatisha iliyo jengeka kwenye msingi wa dhana na majaribio.
 
Vip kuhus kuhusu kufanyika kwa tetemeko la arch na kupatwa kwa jua na mwez
Qur an 099 "The earthquake"

When the earth is shaken with it's (final) earthquake

And the earth discharges it's burdens

And man says "what is (wrong with it)

That day, it will report it's news

Because ur lord has commanded it ........ "To the end"
 
Back
Top Bottom