Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Adamu gani nani kakwambia adamu ni muislamu muislamu wa kwanza ni Mohamedi haya huyooo adamu vpUlianza na nabii Adam, wewe unasema je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adamu gani nani kakwambia adamu ni muislamu muislamu wa kwanza ni Mohamedi haya huyooo adamu vpUlianza na nabii Adam, wewe unasema je?
Huoo ndio ujinga wa watu wanaoamini din mm sasa nataka kuona huoo mwisho wangu na Qur'an ni uongo wa mudi tuuDah nakupa pole sana ndugu yangu. Ukiamua kuishi maisha yako yote mpaka ukafa haujaisoma Quran basi ile siku yako ya kufa ndio utajua hujui
Adamu aliswali wap kakaUlianza na nabii Adam, wewe unasema je?
Kuswali manaake ni nini mkuu? Adam aliabudu Mungu moja ndo kuswali kwake kama Musa Ibrahimu Isa wote aliabudu Mungu moja.Adamu aliswali wap kaka
Adamu hakuwahi kuwa muislamu bhana Acha uongo na uzushi wako yaaan uislamu uje karne ya saba useme ety adamu mwongo mjing weweKuswali manaake ni nini mkuu? Adam aliabudu Mungu moja ndo kuswali kwake kama Musa Ibrahimu Isa wote aliabudu Mungu moja.
Adamu alisoma wap Qur'an adamu alienda lini maka kubusu jiwe adamu alifunga lini adamu aliwahi lini kufanya mambo ya Uislamu kakaKuswali manaake ni nini mkuu? Adam aliabudu Mungu moja ndo kuswali kwake kama Musa Ibrahimu Isa wote aliabudu Mungu moja.
Kwahiyo unanitisha?Dah nakupa pole sana ndugu yangu. Ukiamua kuishi maisha yako yote mpaka ukafa haujaisoma Quran basi ile siku yako ya kufa ndio utajua hujui
Mkuu you ur ignorant katika masuala ya uislamu, hata Muhammad saw uislamu aliukuta anasema mwenyewe alifuata dini ya nabii IbrahimuAdamu hakuwahi kuwa muislamu bhana Acha uongo na uzushi wako yaaan uislamu uje karne ya saba useme ety adamu mwongo mjing wewe
Kwahiyo unanitisha?
Kwahiyo mnamsubiri yule malaika wenu mwenye rungu lenye urefu wa kutoka mashariki hadi magharibi aje,awauliza maswali.humo kaburiniHata sikutishi ndugu yangu, wewe endelea maisha. Sisi pia tunasubiri hicho kifo. Siku hiyo itajulikana ukweli na uwongo; lakini kwa bahati mbaya hakuna reverse, ukishaondoka ndio umeondoka
Kwa mfano kuhusu roho,binadamu anapofariki,Qur'an imesema,hata watu wawe mbele ya mgonjwa,na roho inatoka,lakini haionekani ikitoka,mpaka leo,hakuna mwanasayansi,aliyeweza kuiona roho,ikitoka.Qur"an inasema,Wanakuuliza kuhudu roho,waambie hiyo ni elimu,ambayo hamkupewa na Mungu,na elimu mliopewa ni chache.Hata wasinge thibitisha ndio iko hivyo,
Muhammad mwongo tuuuHata sikutishi ndugu yangu, wewe endelea maisha. Sisi pia tunasubiri hicho kifo. Siku hiyo itajulikana ukweli na uwongo; lakini kwa bahati mbaya hakuna reverse, ukishaondoka ndio umeondoka
Sasa hiyoo si copy and paste usilamu umekop uislamu ni uongo wa mudi alikuwa mwongoo sanaKwa mfano kuhusu roho,binadamu anapofariki,Qur'an imesema,hata watu wawe mbele ya mgonjwa,na roho inatoka,lakini haionekani ikitoka,mpaka leo,hakuna mwanasayansi,aliyeweza kuiona roho,ikitoka.Qur"an inasema,Wanakuuliza kuhudu roho,waambie hiyo ni elimu,ambayo hamkupewa na Mungu,na elimu mliopewa ni chache.
Yapo mambo mengi,wanasayansi yamewashinda,wanabaki kusema,ni mabadiliko ya tabia nchi,au ugonjwa usiojulikana.
1: Naomba ushahidi kuhusu uislamu alioufanya Adam kwa kupitia nguzo kuu na nguzo za imani za uislamu.Ulianza na nabii Adam, wewe unasema je?
Kwan kuna dini imesema roho inaonekanaKwa mfano kuhusu roho,binadamu anapofariki,Qur'an imesema,hata watu wawe mbele ya mgonjwa,na roho inatoka,lakini haionekani ikitoka,mpaka leo,hakuna mwanasayansi,aliyeweza kuiona roho,ikitoka.Qur"an inasema,Wanakuuliza kuhudu roho,waambie hiyo ni elimu,ambayo hamkupewa na Mungu,na elimu mliopewa ni chache.
Yapo mambo mengi,wanasayansi yamewashinda,wanabaki kusema,ni mabadiliko ya tabia nchi,au ugonjwa usiojulikana.
Mtume mwenyewe hajawahi kuwa muislam mtuu kaishi miaka 40 anabudi masanamu afuu miaka 23 ndio kawa muislamu hivii huyuu mudi anaabudu nn1: Naomba ushahidi kuhusu uislamu alioufanya Adam kwa kupitia nguzo kuu na nguzo za ibada za uislamu.
2:Kupitia historia ya Adam na mtume unahisi nani alikuwa muislamu??
Hawezi kukupa ushahidi ety adamu muislamu wap adamu alienda msikitini huoo sindio uongo wa Qur'an1: Naomba ushahidi kuhusu uislamu alioufanya Adam kwa kupitia nguzo kuu na nguzo za imani za uislamu.
2:Kupitia historia ya Adam na mtume unahisi nani alikuwa muislamu??
Haya MkuuMuhammad mwongo tuuu
Yaaaan kumwamini mudi bora umuamini paulo nudi hata watuu wa kwaoo walijuaa meongoo ety aliwahi paaa kwenda mbinguniHaya Mkuu
Sio wa kwetu tu hata wewe utaulizwa tu; hicho kiburi chako ni hapa duniani tuKwahiyo mnamsubiri yule malaika wenu mwenye rungu lenye urefu wa kutoka mashariki hadi magharibi aje,awauliza maswali.humo kaburini