eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mtoto anaweza kupata damu ta hedhi
Nadhani hapo kuna umuhimu wa kutafsiri mtoto ni nani kwa muktadha wa jamii husika. Labda tuanze na jamii yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto anaweza kupata damu ta hedhi
Huoo ndio ukweli kabisa uislamu bila uarabu hakuna kituu1. Je ninyi ni watu wa jamii ya mtume au wa kipindi cha mtume?
2. Ilitafsiriwa. Je Kuruwan haiwezi kutafsiriwa?
3. Ingetafsiriwa kulingana na lugha inayotumika katika eneo husika, ili kila mtu aelewe kilichomo. Hiyo ni faida. Tofauti na sasa ambapo waislam wengi hawaelewi kilichoandikwa kwenye kurwan isipokuwa yale maneno machache ambayo huwa mnayarudia rudia kwa kuyaimba kila siku katika zile swala 5. Jambo ambalo si lenye afya kwa kutafakuli na kulisha ubongo.
4. Ndiyo lugha hutufanya tuwe wamoja ni kweli. Lakini linalowafanya watu wawe wamoja hata zaidi ni maudhui ya mafundisho, imani au itikadi. Kwa hiyo kitu kinachowaunganisha watu ni imani kwa muumba wao. Na si lugha. Kwa maana ukiangalia watu wanaokijua kiarabu cha kwenye kuruwan ambacho kinakufa kwa sababu kimepitwa na wakati ni wachache sana.
5. Mnaelewana kwa mambo au maneno yale machache mnayorudia rudia kila wakati. Lakini mtu akianza kuongea maneno mengi nje ya yale mnayokariri na kuimba, wengi hawata elewa. Ukweli ni kwamba waislam kwa idadi kubwa sana hawana vocaburaries (misamiati) mingi kwa sababu wao siyo native speakers wa kiarabu
6. Ni tafiti zinaonesha au ni hisia za waumini?
7. Wengi wanajihisi ni waumini safi ikiwa watatumia majina ya kiarabu. Hilo muarabu kafanikiwa sana. Hata kuna mmoja akawa ananiambia siku ya kiama wote mtajazana msikitini kujifunza kiarabu na kubadili majina yenu yawe ya kiarabu, ili mpata nafasi ya kuingia peponi.
Binafsi nikiwatazama namna yenu ya kuabudu, naona kwanza uarabu pamoja na mila, desturi na tamaduni zake. Baadaye ndiyo naiona dini. Hivyo dini imefichwa au kufungwa ndani ya uarabu.
Mtoto ni mtu ambae hajafika 18 years huyoo mtotoNadhani hapo kuna umuhimu wa kutafsiri mtoto ni nani kwa muktadha wa jamii husika. Labda tuanze na jamii yetu
Wewe uliaza kuungiliwa ukiwa n miaka 9Kuanzia umri huwo ndio kama una watoto utanielewa zaid
Na ki biology
Kwa Jamii yetu mtoto ni mtu aliyeko chini ya umri 18Nadhani hapo kuna umuhimu wa kutafsiri mtoto ni nani kwa muktadha wa jamii husika. Labda tuanze na jamii yetu
Hivi nyinyi mbona mnapenda kukaza fuvu mkiambiwa yesu alizaliwa bila baba pia mtabisha,Wewe uliaza kuungiliwa ukiwa n miaka 9
Alizaliwa bila baba hizo story tuuuHivi nyinyi mbona mnapenda kukaza fuvu mkiambiwa yesu alizaliwa bila baba pia mtabisha,
Sasa aisha alivunja ungo na miaka 6Sija vunja ungo umri huo
Bwana mudi ni mbakajii na inabidi ashitakiwe afungwe jelaKwa Jamii yetu mtoto ni mtu aliyeko chini ya umri 18
Katika Uislam binti akisha vunja ungo tayari sio mtoto tena. Na mvulana aki balekh
Sasa itategemea binti amevunja ungo akiwa na umri gani ni kuanzia miaka 9. Ila ni wachache sana wengi kuanzia 12 na kuendelea
Wachache ambao wanafika mpaka 15
Sasa aisha alivunja ungo na miaka 6
Mary mama wa Yesu alipewa mimba ya Yesu akiwa na miaka 13 , unataka kumaanisha Mungu alimbaka huyu mtoto wa miaka 13? Nyie mna chuki zenu mada ni Qur"an vs sayansi mnaleta chuki zeni kwa Mtume wa Allah.mtukufuKama alimuoa Aisha akiwa na miaka 6 basi huo ulikuwa ni uvunjifu mkubwa sana wa haki za watoto. Maana mtoto kwa umri huo, alikuwa hajui kwa nini wamemtoa kwa mama yake na kumpeleka aishi na mtu mwingine. Inasikitisha sana.
Mary mama wa Yesu alipewa mimba ya Yesu akiwa na miaka 13 , unataka kumaanisha Mungu alimbaka huyu mtoto wa miaka 13? Nyie mna chuki zenu mada ni Qur"an vs sayansi mnaleta chuki zeni kwa Mtume wa Allah.mtukufu
Wewe umeonyesha udhibitisho gani kwamba Aisha( ra) slikua na miaka 6, bangi ni hatari ukivuta usije jf mpaka ishe kichwani mwako.Tuache mihemko pembeni. Onesha uthibitisho wa kwamba Mariam alikuwa na miaka 13 alipopata mimba. Lakini pia Aisha wa miaka 6 ni tofauti kabisa na Mariam wa miaka 13. Licha ya kwamba wote ni watoto
Wewe umeonyesha udhibitisho gani kwamba Aisha( ra) slikua na miaka 6, bangi ni hatari ukivuta usije jf mpaka ishe kichwani mwako.
Mery hakutajwa kama ako na miaka 13 ila alikuwa bicra bicra anaweza kuwa hata na miak30Tuache mihemko pembeni. Onesha uthibitisho wa kwamba Mariam alikuwa na miaka 13 alipopata mimba. Lakini pia Aisha wa miaka 6 ni tofauti kabisa na Mariam wa miaka 13. Licha ya kwamba wote ni watoto
Si quruan imesema si umesema ni kitabu hakina shaka sasa unaikana quruan sioWewe umeonyesha udhibitisho gani kwamba Aisha( ra) slikua na miaka 6, bangi ni hatari ukivuta usije jf mpaka ishe kichwani mwako.
Kwaiyooo unakAtaaaaa mtume hajamuona aisha na miaka 6Wewe umeonyesha udhibitisho gani kwamba Aisha( ra) slikua na miaka 6, bangi ni hatari ukivuta usije jf mpaka ishe kichwani mwako.
Hebu tuainishie hata Kwa kifupi Tu huo uchafu na usodoma ..Ni kweli. Ni sawa na biblia kitabu cha watasha na wayahudi kinachotukuzwa wakati kimejaa uchafu kama vile usodoma