Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
Unapata taabu kidogo kasome vizuri nabii sio ajui kusoma na kuandika siohivyo muwemnaelewa inasomeka alikuwa hajui kusoma na kuandika .jifunze kujua neno alikuwa hajui .nazani umeelewa sasa tuendelee baada ya kuwepo kule pangoni alitolewa nakijumbe wa muumba akamwambia soma kwa jina lamola wako awali alishindwa ndipo kiumbe akambana ndipo akasoma ndivyo alivyojua kusoma baada ya hapo ndiopo kuraani iliteremshwa kifuani kwake sasa wewe unataka Mungu alete ubao kwa sisi tunaamini Mungu anapotaka kuumba aswala lolote hachukui nyundo wala ubao anatumia neno tu liwe kwa kuagiza au vyovyote vile sasa sijui nini kinamsumbua kwako kama ulizani utamuona mtume kavaa pensi nakibeg utasubiri yaani Mungu afundishe kama ulivyofundishwa wewe basi umechelewa ndimaana tunaambiwa quraani ni muujiza mmoja wapo ninaamna ilivyomfikia nabii huyu.
Una uhakika iliteremshwa kifuani kwake?
 
Hivi vile vitoto Visharifu vinasoma wapi ?

Mtoto hata dalasa la kwanza hajaanza:
Anakuwa na uwezo wa kuikariri Qurani yote:

Tena kwa Lugha zote za hii Dunia:
Akienda Ufaransa anashusha Aya na kuzitafsiri katika Lugha ya Kifaransa:

Lakini ukiwafuatilia mwishoni wanaishia kuwa waganga wa kuagua na kuroga tu:

Kwa ile akili ilibidi masharifu wapate Uprofesa haraka sana:

Tukichimba za ndani kabisa tunaona Sharifu ni ukoo mmoja wapo wa majini:

Kwahiyo hata Muhammadi alikuwa anashuka nondo kwa msaada wa Majini:

Kama hawa watoto wachanga Masharifu ambao uelewa wao wa Qurani unawazidi Maprofesa wa Quruani:
.....
Nisaa 79
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu.
Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.
Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume.
Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
............
Walitafuta Nabii wao baada ya kufukuzwa Mbinguni:
.........
(AL - JINN - 9)
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
NB: Nasi
 
Ukiwauliza huyo nasi ni nani watakwambia Allah..Alooh
 
Mbona hueleweki nini umeandika sasa🤣🤣🤣
 
Unahangaikq bure kikubwa hapo niuwelewq wako tu.imeandikwa sikuwaumbq majini na binaadam kwasababu nyingine bali nikwaniqbudu tu sasa binaadam wasiokuabudu Mungu hutwa majina mengi .utasikia laana kum. Mara shetani mkubwa.na kwamajini yaliohasi Mungu huitwa mashetani kwa hiyo siowote walihasi jitahidi kusoma tu
 
Usema mama yako asiolewe namimi alafu webinti mbona unawivu hivyo we binti nimalaya kwelikweli
Kijana una mbinu sana za kutafuta mabasha mtandaoni

Mimi sitoboi kisamvu naomba watafute wengine hizi laana za kula linda lenye vipele sizitaki
 
Nimekufuatilia hatua kwa hatua majibu yako. Kuna kitu utakuwa unachanganya au hatuelewi hapa.

1. Muhammad alipoambiwa na Gibril Soma.
- Hapa alikuwa anaambiwa asome maandishi yaliyoandikwa au akariri Aya anazosomewa na Gibril?

Jibu Hilo halafu nikupe Hadithi itakayokufunga.
Maandishi yalikuwepo ndio maana aliambiwa asome

Mbona andiko lipo wazi
Kama kulikuwa hakuna maandishi Sasa alikuwa anaambiwa asome Nini?
 
Sisi tunataka ushahidi kama hayo ni maneno ya Mungu Maalim,
yaani unataka quran hii tunayoihoji kama ni maneno ya mungu ijitetee yenyewe bila Ushahidi?
una uhakika aliyeshusha wahyi ni Gibril kwa niaba ya Mungu?
Manabii wengine waliongea na Mungu direct why mwamedi aongee kupitia Gibril?
Sisi tunaona kuna walakini katika utunzi wa Quran
Isije ikawa Bahira na Waraqah ndo walimkaririsha mtume!

Quran 2:2
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Quran 2:3
Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.
Quran 2:4
Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo.
Quran 2:5
Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa.
 
mtuhumiwa haitaji kujitetea mwenyewe lazima kuwe na ushahidi dhidi yake.Hadi anafariki Muhammad hakujua kama quran kitakuja kuwa kitabu hayo ni maneno ya machawa wakwe .hebu jaribu kufikirisha ubongo wako hata kidogo basi
 
Dini zote ni za wapumbavu

Hakuna dini hata Moja iliwahi kupinga utumwa Africa watu waliuzwa mamilion na wengine kuuawa na hizo dini zilikuwepo.

Za kuambiwa changanya na zenu.
 
Kijana una mbinu sana za kutafuta mabasha mtandaoni

Mimi sitoboi kisamvu naomba watafute wengine hizi laana za kula linda lenye vipele sizitaki
Ungejua nibwana wamama yako ungekaa kimya kidume kabisa we mdada tulia
 
Tafuta swali lingine
Sawa naomba jibu hapa

Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.

Anayeongea katika hizi aya ni nani..ni Allah,ni Gibril au wote?
 
Sahih Bukhari 4986
Abu Bakr As-Siddiq sent for me when the people of Yamama had been killed (i.e., a number of the Prophet's Companions who fought against Musailima). (I went to him) and found `Umar bin Al- Khattab sitting with him. Abu Bakr then said (to me), "`Umar has come to me and said: "Casualties were heavy among the Qurra' of the Qur'an (i.e. those who knew the Qur'an by heart) on the day of the Battle of Yamama, and I am afraid that more heavy casualties may take place among the Qurra' on other battlefields, whereby a large part of the Qur'an may be lost. Therefore I suggest, you (Abu Bakr) order that the Qur'an be collected." I said to `Umar, "How can you do something which Allah's Apostle did not do?" `Umar said, "By Allah, that is a good project." `Umar kept on urging me to accept his proposal till Allah opened my chest for it and I began to realize the good in the idea which `Umar had realized." Then Abu Bakr said (to me). 'You are a wise young man and we do not have any suspicion about you, and you used to write the Divine Inspiration for Allah's Messenger (ﷺ). So you should search for (the fragmentary scripts of) the Qur'an and collect it in one book." By Allah If they had ordered me to shift one of the mountains, it would not have been heavier for me than this ordering me to collect the Qur'an. Then I said to Abu Bakr, "How will you do something which Allah's Messenger (ﷺ) did not do?" Abu Bakr replied, "By Allah, it is a good project." Abu Bakr kept on urging me to accept his idea until Allah opened my chest for what He had opened the chests of Abu Bakr and `Umar. So I started looking for the Qur'an and collecting it from (what was written on) palme stalks, thin white stones and also from the men who knew it by heart, till I found the last Verse of Surat at-Tauba (Repentance) with Abi Khuzaima Al-Ansari, and I did not find it with anybody other than him. The Verse is: 'Verily there has come unto you an Apostle (Muhammad) from amongst yourselves. It grieves him that you should receive any injury or difficulty..(till the end of Surat-Baraa' (at-Tauba) (9.128-129). Then the complete manuscripts (copy) of the Qur'an remained with Abu Bakr till he died, then with `Umar till the end of his life, and then with Hafsa, the daughter of `Umar.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom