Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
mimi huwa nawaza hivi waandishi wa Mtume kuandika Quran, hawakuchomeka na kuedit wahai alipowa mtume Muddy kweli !!??
nina mashaka siwaamin hata kidogo. 😁
Hili ni swali la kipumbavu tatizo hamtaki kijufunza hata dini yenu lakni anahangaika na za wengine
 
Mwarabu ana elimu gani??
Nmekopi Chat GTO ili usilete janja janja, we umefanya nn na elimu Yako ya kukariri mpaka ujifananishe na waarabu?

Zamani (Enzi ya Dhahabu ya Uislamu – Karne ya 8 hadi 14)
1. Algebra – Imekuzwa na Al-Khwarizmi (kutoka Persia), baba wa algebra.
2. Astrolabe – Chombo cha kuangalia nyota na kupanga mwelekeo, kiliboresha safari na elimu ya anga.
3. Hospitali za kisasa – Al-Razi na Ibn Sina waliweka misingi ya hospitali za kisasa na tiba ya kisayansi.
4. Camera Obscura – Ibn al-Haytham alieleza jinsi macho yanavyofanya kazi, uvumbuzi wa msingi wa kamera.
5. Upasuaji wa jicho (Cataract surgery) – Al-Zahrawi alianzisha mbinu za upasuaji.
6. Maboresho ya ramli na navigation tools – Walisaidia sana maendeleo ya usafiri baharini.
7. Kitabu cha β€˜Canon of Medicine’ – Ibn Sina aliandika kitabu kilichotumika karne nyingi Ulaya kama msingi wa tiba.

Kizazi Kipya (Karne ya 20 hadi sasa)
1. Baridi kali (air conditioning) – Saudia Arabia: Imechangia uvumbuzi wa mifumo ya A/C inayofanya kazi vizuri kwenye mazingira ya joto kali.
2. Teknolojia ya odha ya maji (desalination) – UAE, Saudi Arabia na Qatar wamepiga hatua kubwa kwenye uvunaji wa maji ya bahari kuwa ya kunywa.
[7/27, 10:01 PM] Chat GTO: 3. Drones & Robotics (UAE, Qatar) – Mataifa haya yanawekeza kwenye robot, drones, AI kwa usalama na huduma za umma.
4. Smart cities (e.g. NEOM, Saudi Arabia) – Mradi wa jiji la kisasa linalotumia AI, renewable energy, na automation kwa kiwango cha juu.
5. Nuclear energy (UAE) – Barakah Nuclear Plant ni mradi mkubwa wa nishati ya nyuklia duniani Kiarabu.
6. Space Programs – UAE iliituma Hope Probe kwenda Mars (2020), mafanikio makubwa kutoka nchi ya Kiarabu.
7. Digital Islamic banking & fintech – Innovation kubwa kwenye benki zisizo na riba (Sharia-compliant).

Nchi kama UAE, Saudi Arabia, Qatar, Iran, Egypt na Turkey zinaongoza kwa teknolojia ya kisasa, huku zingine zikiendelea kuwekeza kwenye elimu ya sayansi na tech.
 
Hiyo kauli yako ya kitabu cha karatasi inaashiria ni kweli quran iliandikwa 1924 kwasababu enzi za mtume kulikuwa hakuna teknolojia ya karatasi na hata msamiati wa karatasi ulikuwa bado haupo ulimwenguni

Naomba niishie hapo
 
Hiyo kauli yako ya kitabu cha karatasi inaashiria ni kweli quran iliandikwa 1924 kwasababu enzi za mtume kulikuwa hakuna teknolojia ya karatasi na hata msamiati wa karatasi ulikuwa bado haupo ulimwenguni

Naomba niishie hapo
Wahi hospital
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…