Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
ukiona mtu anakwambia sana kuwa, jambo hili halina shaka, neno hili halina shaka, anarudia rudia hayo maneno.Sasa ulitak waandike kwa miguu
Nakushauri wewe Tia shaka. 😁
ukiona mtu anakwambia sana kuwa, jambo hili halina shaka, neno hili halina shaka, anarudia rudia hayo maneno.Sasa ulitak waandike kwa miguu
Kobas mara nyingi hawapendi dini yao kukosolewa ila ndo ivo tena tayari tumeshaijua....zaman walikua wamejificha kwenye kuongea kiarabu na kutoa tafsiri ila saiv watu tunazama kwenye tafsiri moja kwa moja hatuhitaji tena watutafsirieukiona mtu anakwambia sana kuwa, jambo hili halina shaka, neno hili halina shaka, anarudia rudia hayo maneno.
Nakushauri wewe Tia shaka. 😁
MFano musa aliletewa tablet za mawe zilizo andikwa amri 10. za mungu .Hii hoja ni dhaifu Kwa watu wajinga hakuna nabii alieletwa kwa misingi ya kuangalia elimu yake, JE manabii wa mwanzo walijua kusoma na kuandika? JE kuliwazuia wao kutangaza neno la mungu na unabii?
Ilim AheraElimu gani sasa!!
Hawezi jitokeza hapa.
Jibu swaliWahi hospital mkuu
Hauna swali nzuri utauliza kijana jifunze dini Yako kwanza halaf ndo uparamie za wengineNataman nikutwange maswali mazuri lakini unakimbilia kwenye dhihaka najitahd sana kukwepa malumbano ya matusi ili tusitoke nje ya mada
Amri gani kati ya 10 za mussa ni primitive?MFano musa aliletewa tablet za mawe zilizo andikwa amri 10. za mungu .
Lakini kwa Muhammad ni maneno matupu bila ushahidi wa kimaandishi.
Hata hizo amri 10 . Za mungu Bado ni primitive sana ,
Haiwezekani zikatumika kwa ss , kama msingi wa maisha ya binadamu.
Biblia iliandikwa kipindi Cha YESU?Kobas mara nyingi hawapendi dini yao kukosolewa ila ndo ivo tena tayari tumeshaijua....zaman walikua wamejificha kwenye kuongea kiarabu na kutoa tafsiri ila saiv watu tunazama kwenye tafsiri moja kwa moja hatuhitaji tena watutafsirie
Biblia iliandikwa wakati YESU yupo?Kama unasema hakujua kusoma wala kuandika, tafsiri yake iliandikwa baada ya yeye kufariki....una uhakika gan hao walioandika hawakutia mikono?
Umeshindwa kujibu hoja unakimbilia kisiki cha bible.Biblia iliandikwa wakati YESU yupo?
We jamaa unafurahisha nimekuulza biblia iliandikwa wakati wa Yesu, baada ya kujibu ndio au hapana unaleta ngonjera zisizo hitajika.Umeshindwa kujibu hoja unakimbilia kisiki cha bible.
Bible ina pande mbili, kwa upande wa injili yesu hakuandika bible bali alileta injili yake kupitia injili yake wanafunzi pamoja na wataalam wengine waliandika waraka,barua pamoja na simulizi zinazomuhusu yesu kwa mfano kitabu cha luka ile ni research ambayo luka aliifanya na kumuandikia teofilo mtukufu na hakumaanisha kwamba rearch yake ni lazima iwekwe kwenye kitabu. Kwahiyo hivyo vitabu vikakusanywa na kuchambuliwa na kuwekwa kwenye kitabu kimoja
Usipoelewa hii basic itabid nikuepuke tu
Ndio iliandikwa wakati yesu hayupoWe jamaa unafurahisha nimekuulza biblia iliandikwa wakati wa Yesu, baada ya kujibu ndio au hapana unaleta ngonjera zisizo hitajika.
Kama ndio iliandikwa kpindi Yesu yupo itakua haina maneno ya kuongezewa lkn kama nayo iliandikwa baada ya Yesu unauhakika gani haijaongezewa maneno?
Kwanini Quran iwe imetiwa chumvi na biblia haijatiwa chumvi?Ndio iliandikwa wakati yesu hayupo
Quran imetiwa mikono na kuongezwa chumvi sana
Sasa mtu gani kaniambia hakuna shaka labda tuanzie hapoukiona mtu anakwambia sana kuwa, jambo hili halina shaka, neno hili halina shaka, anarudia rudia hayo maneno.
Nakushauri wewe Tia shaka. 😁
Hiyo chumvi wewe uliionjaje😃😀😄Kwanini Quran iwe imetiwa chumvi na biblia haijatiwa chumvi?