Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
Umeshindwa kujibu hoja unakimbilia kisiki cha bible.

Bible ina pande mbili, kwa upande wa injili yesu hakuandika bible bali alileta injili yake kupitia injili yake wanafunzi pamoja na wataalam wengine waliandika waraka,barua pamoja na simulizi zinazomuhusu yesu kwa mfano kitabu cha luka ile ni research ambayo luka aliifanya na kumuandikia teofilo mtukufu na hakumaanisha kwamba rearch yake ni lazima iwekwe kwenye kitabu. Kwahiyo hivyo vitabu vikakusanywa na kuchambuliwa na kuwekwa kwenye kitabu kimoja

Usipoelewa hii basic itabid nikuepuke tu
Kwahiyo kumbe bible ni kitabu Cha wachambuzi wa mambo mbalimbali enzi hizo.
 
Kwahiyo kumbe bible ni kitabu Cha wachambuzi wa mambo mbalimbali enzi hizo.
Hayo ni mawazo yako ila kwenye quran mmeambiwa muwasikilize watu wa kitabu,wakristo(injili) ili mpate kujifunza

Hiyo quran yako inaitambua bible sasa wewe ni mufti wa wapi mpaka unaleta hoja dhaifu
 
Hayo ni mawazo yako ila kwenye quran mmeambiwa muwasikilize watu wa kitabu,wakristo(injili) ili mpate kujifunza

Hiyo quran yako inaitambua bible sasa wewe ni mufti wa wapi mpaka unaleta hoja dhaifu
Uislamu unamtambua nabii Issa na Injili yake lakini sio bible. Bible ni Injili kidogo alafu uhuni mwingi ndio maana Kila dhehebu na bible yake
 
Hayo ni mawazo yako ila kwenye quran mmeambiwa muwasikilize watu wa kitabu,wakristo(injili) ili mpate kujifunza

Hiyo quran yako inaitambua bible sasa wewe ni mufti wa wapi mpaka unaleta hoja dhaifu
Dah mpaka sasa timu kobaaz mabusha wanarukaruka tu wameshindwa kabisa kuja na hoja maana kwenye ukweli uwongo hujitenga shetani alimshushia mudi kitabu chake cha kishetani kwa kuwa mudi hakujua kusoma wala kuandika na hivyo shetani akajua wazi maamuma mudi kalume kenge huyu hatoweza hoji chochote.
 
Hiyo kauli yako ya kitabu cha karatasi inaashiria ni kweli quran iliandikwa 1924 kwasababu enzi za mtume kulikuwa hakuna teknolojia ya karatasi na hata msamiati wa karatasi ulikuwa bado haupo ulimwenguni

Naomba niishie hapo

Yaa ni kweli. Walikuwa wakiandika kwenye scroll
 
Dah mpaka sasa timu kobaaz mabusha wanarukaruka tu wameshindwa kabisa kuja na hoja maana kwenye ukweli uwongo hujitenga shetani alimshushia mudi kitabu chake cha kishetani kwa kuwa mudi hakujua kusoma wala kuandika na hivyo shetani akajua wazi maamuma mudi kalume kenge huyu hatoweza hoji chochote.
Yesu alikuwa na elimu Gani bwana kobazmabusha?
 
Kipind Cha mtume kulikua hakuna karatas
Mkiwa wabishi muwe na kumbukumbu jana niliwauliza kwann neno karatasi limetumika kwenye quran(kitabu cha karatasi) nawakati enzi za mtume hakukuwa na karatasi?
Leo umekubali kwamba enzi hizo hakukua na karatasi,
Jibu lako hilo linathibitisha kwamba quran imeandikwa 1924 tena hapo egypt
 
Qur'an haikushushwa kama kitabu kutoka Mbinguni bali malaika JIBRIL (alayh salaam) ndiye aliyekuwa akimfundisha MTUME kisha yeye akihifadhi kichwani na kuwafundisha MASWAHABA zake.
Na MALAIKA alikuwa akija kumfundisha mara kwa mara kwa kipindi cha miaka 13.
Kwahiyo si kuwa Quran ilishushwa kwa wakati mmoja ikiwa kamili.

Lakin ilikuja kukusanywa na kuwekwa katika Mfumo wa kitabu kipindi cha uongozi ( Ukhalifa/Calphate) wa UTHUMAN BIN AFFAN( Allah amuwie radhi)

Kwahiyo ni kweli MTUME hakuwa akijua kusoma wala kuandika na hii ni hekma ya MOLA MLEZI kwani yeye ni mjuzi juu ya viumbe wake
Lau MTUME (sala na salamu zimuendee) angekuwa akijua kusoma au kuandika basi Makafiri wangekuja na hoja kuwa Kitabu hiki yaani QUR'AN ameitunga Muhammad ( swala na salamu zimuendee). na si kuwa kimetoka kwa MOLA MLEZI.
Over.
hoja ya kusoma na kuandika inapoteza uhalali pale tu kitabu kinapohusishwa.Muhammadi wa watu hadi anakufa hakujua kama kuna kitabu kinaitwa quran.Kama hakukuwa na visible book hoja ya kusoma na kuandika inakufa kabisaa.
ieleweke wazi kuwa watu wasiojua kusoma na kuandika wana uwezo mkubwa sana wa kukariri kwa hiyo hapo hakuna muujiza
 
Ali Imran
Kama Yesu ni Issa bin Maryam na kama kuna Injili yake, naomba kifungu kinachotaja "wanafunzi wake mkuu". Na pia Yesu alifundisha wanafunzi wake namna ya kuimba maarufu kama "sala ya Bwana". Naomba kifungu kutoka katika Injili aliyotelemshiwa Issa bin Maryam akifundisha "sala ya Bwana"

Ukinipa leo naretard.
 
Hiyo injili inapatikana kwenye sura gani kwenye quran
Surat Al-Hadid - 57:27
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

ثُمَّ قَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِرُسُلِنَا وَقَفَّيْنَا بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ ۖ وَجَعَلْنَا فِى قُلُوبِ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوهُ رَأْفَةًۭ وَرَحْمَةًۭ ۖ وَرَهْبَانِيَّةً ٱبْتَدَعُوهَا مَا كَتَبْنَـٰهَا عَلَيْهِمْ إِلَّا ٱبْتِغَآءَ رِضْوَٰنِ ٱللَّهِ ۖ فَمَا رَعَوْهَا حَقَّ رِعَايَتِهَا ۖ فَـَٔاتَيْنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ مِنْهُمْ أَجْرَهُمْ ۖ وَكَثِيرٌۭ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ

Tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Kisha tukawafuatishia (Manabii) wengine juu ya nyayo zao, na tukamfuatisha Isa bin Maryamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia mioyoni mwa waliomfuata huruma na rehema. Na monamo walizusha utawa, hatukuwaandikia wao, isipokuwa kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuizingatia ipasavyo. Basi tukawapa walioamini miongoni mwao ujira wao, na wengi wao ni waasi.”
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom