Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
Surat Al-Hadid - 57:27
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

ثُمَّ قَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِرُسُلِنَا وَقَفَّيْنَا بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ ۖ وَجَعَلْنَا فِى قُلُوبِ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوهُ رَأْفَةًۭ وَرَحْمَةًۭ ۖ وَرَهْبَانِيَّةً ٱبْتَدَعُوهَا مَا كَتَبْنَـٰهَا عَلَيْهِمْ إِلَّا ٱبْتِغَآءَ رِضْوَٰنِ ٱللَّهِ ۖ فَمَا رَعَوْهَا حَقَّ رِعَايَتِهَا ۖ فَـَٔاتَيْنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ مِنْهُمْ أَجْرَهُمْ ۖ وَكَثِيرٌۭ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ

Tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Kisha tukawafuatishia (Manabii) wengine juu ya nyayo zao, na tukamfuatisha Isa bin Maryamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia mioyoni mwa waliomfuata huruma na rehema. Na monamo walizusha utawa, hatukuwaandikia wao, isipokuwa kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuizingatia ipasavyo. Basi tukawapa walioamini miongoni mwao ujira wao, na wengi wao ni waasi.”
Hujajibu swali langu
Mtume alishushiwa quran tunaiona
Yesu naye alileta injili

Swali langu lipo hapo
Hiyo injili aliyokuja nayo nabii isa iko wapi? Mkitaka kusoma injili ya issa huwa mnafungua sura gani ili kujifunza hiyo injili?
 
Kama Yesu ni Issa bin Maryam na kama kuna Injili yake, naomba kifungu kinachotaja "wanafunzi wake mkuu". Na pia Yesu alifundisha wanafunzi wake namna ya kuimba maarufu kama "sala ya Bwana". Naomba kifungu kutoka katika Injili aliyotelemshiwa Issa bin Maryam akifundisha "sala ya Bwana"

Ukinipa leo naretard.
Kwani mimi nimekwambia yesu ni Isa bin maryam😃😀😄
 
Hujajibu swali langu
Mtume alishushiwa quran tunaiona
Yesu naye alileta injili

Swali langu lipo hapo
Hiyo injili aliyokuja nayo nabii isa iko wapi? Mkitaka kusoma injili ya issa huwa mnafungua sura gani ili kujifunza hiyo injili?
Kwani nani kakwambia sisi tunatumia Injil siku hizi
 
Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.

Tafsiri:;;

Ewe Nabii! Hata tungeli kuteremshia dalili ya ujumbe wako iliyo andikwa katika karatasi, na wao wakaiona kwa macho yao, na wakahakikisha kwa kuiwekea mikono yao juu yake, basi pia wangeli sema kwa chuki tu: Hichi tunacho kigusa si chochote ila ni uchawi tu.

Nb. Sasa Watuambie pia Quran ni kitabu chenye ujumbe ndani yake na tunaigusa je, ni uchawi?
 
Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.

JE, NI QURANI YA AINA GANI ILITEREMSWA KWA SABABU KITABU CHA KARATASI HAKIKUTOKA KWA ALLAH??

Hapa allah anathibitisha kuwa Muhammad hawezi kusoma na kuandika.
👇
قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا الَّذِي لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ النَّبِيِّ الْأُمِّيِّ الَّذِي يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَكَلِمَاتِهِ وَاتَّبِعُوهُ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ

AL - A'RAAF - 158
"Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka"

Karibuni kwa mjadala japo najua uzi hautadumu huu ila ile ya Covax inapeta tu.

Kazi kwenu mods😁😁😁
View attachment 3420905
Wataalamu wa historia karatasi zimeanza kutengenezwa lini?
Kwanini neno karatasi lipo kwenye Quran?
Kuna siku unaweza kuona neno Ipad kwenye Quran
 
Surat Al-Hadid - 57:27
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

ثُمَّ قَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِرُسُلِنَا وَقَفَّيْنَا بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ ۖ وَجَعَلْنَا فِى قُلُوبِ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوهُ رَأْفَةًۭ وَرَحْمَةًۭ ۖ وَرَهْبَانِيَّةً ٱبْتَدَعُوهَا مَا كَتَبْنَـٰهَا عَلَيْهِمْ إِلَّا ٱبْتِغَآءَ رِضْوَٰنِ ٱللَّهِ ۖ فَمَا رَعَوْهَا حَقَّ رِعَايَتِهَا ۖ فَـَٔاتَيْنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ مِنْهُمْ أَجْرَهُمْ ۖ وَكَثِيرٌۭ مِّنْهُمْ فَـٰسِقُونَ

Tafsiri yake kwa Kiswahili:

“Kisha tukawafuatishia (Manabii) wengine juu ya nyayo zao, na tukamfuatisha Isa bin Maryamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia mioyoni mwa waliomfuata huruma na rehema. Na monamo walizusha utawa, hatukuwaandikia wao, isipokuwa kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuizingatia ipasavyo. Basi tukawapa walioamini miongoni mwao ujira wao, na wengi wao ni waasi.”
Bwana Mkubwa, naomba kifungu kutoka kwenye Injili ya Issa bin Maryam kikiwataja wanafuzi wake.
 
Hujajibu swali langu
Mtume alishushiwa quran tunaiona
Yesu naye alileta injili

Swali langu lipo hapo
Hiyo injili aliyokuja nayo nabii isa iko wapi? Mkitaka kusoma injili ya issa huwa mnafungua sura gani ili kujifunza hiyo injili?
Hakuna sehemu ambayo utaikuta Injili ndani ya Quran as this is Injili.

Tunaamini kuwa kilikuwa ni kitabu ambacho yesu alipewa Kwa ajili ya watu wa zama zile kwahiyo sio relevant Kwa Sasa.

Tukirudi katika Quran tunaamini kuwa ni kitabu ambacho mtume alipewa Kwa ajili ya jamii yetu na Iko relevant mpaka Sasa.

Why? Ni Kwasababu Muhammad ndio alikuwa mtume wa mwisho kuletwa ulimwenguni na kama kungekuwa na marekebisho ya maandiko basi Allah angeleta nabii mwingine Kwa ajili ya umma huu wa Sasa.

Hawa wa kwenu kina mtume mwamposa na mwenzake nabii Tito uislamu hauwatambui.
 
Bwana Mkubwa, naomba kifungu kutoka kwenye Injili ya Issa bin Maryam kikiwataja wanafuzi wake.
Mimi sijabobea sana katika ukristo, na sio mkristo, siijui Injili Wala sijawahi kukiona kitabu Cha Injili.

Labda tuwaite watu wa Imani hiyo watusaidie
 
Hakuna sehemu ambayo utaikuta Injili ndani ya Quran as this is Injili.

Tunaamini kuwa kilikuwa ni kitabu ambacho yesu alipewa Kwa ajili ya watu wa zama zile kwahiyo sio relevant Kwa Sasa.

Tukirudi katika Quran tunaamini kuwa ni kitabu ambacho mtume alipewa Kwa ajili ya jamii yetu na Iko relevant mpaka Sasa.

Why? Ni Kwasababu Muhammad ndio alikuwa mtume wa mwisho kuletwa ulimwenguni na kama kungekuwa na marekebisho ya maandiko basi Allah angeleta nabii mwingine Kwa ajili ya umma huu wa Sasa.

Hawa wa kwenu kina mtume mwamposa na mwenzake nabii Tito uislamu hauwatambui.
Kwaiyo mkitaka kujua habari za injili huwa mnachukua biblia mnajifungia chumban ili mkisome?

Hizi dini hizi tuishi nazo tu
 
Mimi sijabobea sana katika ukristo, na sio mkristo, siijui Injili Wala sijawahi kukiona kitabu Cha Injili.

Labda tuwaite watu wa Imani hiyo watusaidie
We si umeweka "Injili ya Issa bin maryam" toka kwenye quran shehe wangu? Nimeomba kifungu kutoka kwenye Injili ya issa bin Maryam kutoka kwenye quran kinacho wataja wanafunzi/Maswahaba wake mkuu na sio kutoka kwenye Biblia kwani kwemye Biblia hakuna mtu anayeitwa Issa bin Maryam.
 
😂😂Naona hukuelewa, nimekwambia kuwa sisi tunaiijua Injili Kwa sababu imetajwa kwenye Quran. IMETAJWA, Elewa tena IMETAJWA kuwa ni kitabu alichopewa nabii Issa. Hakuna mafundisho ya Injili katika Quran.

Au kama hujaridhika na majibu haya naomba unioneshe sehemu nilosema Kuna mafundisho ya Injili kwenye Quran.

Si lazima mwandishi wa kitabu Fulani akitaja somo la hesabu ndani ya kitabu chake basi utegemee mulemule ndani ya kitabu chake utakuta mahesabu ya algebra na circle sababu si kitu ambacho alilenga kukifikisha katika jamii ila alitambua tu kuwa Kuna somo la hesabu
 
We si umeweka "Injili ya Issa bin maryam" toka kwenye quran shehe wangu? Nimeomba kifungu kutoka kwenye Injili ya issa bin Maryam kutoka kwenye quran kinacho wataja wanafunzi/Maswahaba wake mkuu na sio kutoka kwenye Biblia kwani kwemye Biblia hakuna mtu anayeitwa Issa bin Maryam.
Huyo jamaa anatupotezea muda tu
Walizoea kuipambania dini kwa jihad nowdays jihad ipo kwenye keyboard
 
We si umeweka "Injili ya Issa bin maryam" toka kwenye quran shehe wangu? Nimeomba kifungu kutoka kwenye Injili ya issa bin Maryam kutoka kwenye quran kinacho wataja wanafunzi/Maswahaba wake mkuu na sio kutoka kwenye Biblia kwani kwemye Biblia hakuna mtu anayeitwa Issa bin Maryam.
Aliyekuambia Injil ipo ndani ya Qur’an nani?
 
Wataalamu wa historia karatasi zimeanza kutengenezwa lini?
Kwanini neno karatasi lipo kwenye Quran?
Kuna siku unaweza kuona neno Ipad kwenye Quran
Karatasi zimegundulika karne ya 2, halafu iyo SI ni tafsiri ya kiswahili Kwan mnakua hamna akili hv?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom