camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
mmedanganywa sana na mwamedi aisee!Hakuna sehemu ambayo utaikuta Injili ndani ya Quran as this is Injili.
Tunaamini kuwa kilikuwa ni kitabu ambacho yesu alipewa Kwa ajili ya watu wa zama zile kwahiyo sio relevant Kwa Sasa.
Tukirudi katika Quran tunaamini kuwa ni kitabu ambacho mtume alipewa Kwa ajili ya jamii yetu na Iko relevant mpaka Sasa.
Why? Ni Kwasababu Muhammad ndio alikuwa mtume wa mwisho kuletwa ulimwenguni na kama kungekuwa na marekebisho ya maandiko basi Allah angeleta nabii mwingine Kwa ajili ya umma huu wa Sasa.
Hawa wa kwenu kina mtume mwamposa na mwenzake nabii Tito uislamu hauwatambui.
Injili ni kitabu?