Mustard Seed
Member
- Jan 30, 2025
- 64
- 74
Mkuu,Nani alivikusanya hivo vitabu 66 na kuvifanya kuwa kitu kimoja?
Ukileta majibu hapa basi tutapata uhalali wa kujudge ukusanywaji wa Aya za Quran ambazo zilikuwa kichwani Kwa maswahaba na kuwa kitabu kimoja
Sijui?, umtaje wewe kama mimi ninavyokutajia kwa uhakika walioandika Quran.
Soma Biblical Canonization, halafu utakuja na jina la mtu mmoja au wawili kama utapata!
Ila mimi nimepata majina ya watu watatu waliohusika kutuandikia Quran, tunaanza na Abu Bakr, tunafuata Uthman, wote wawili waliandikiwa nakala na mtu mmoja(Zayd Ibn Thabit), na halafu maswahaba ambayo Muhamadi aliwaacha kama reference, waliikataa hiyo qurani ya Zayd, lakini ndiyo inayotumika Hadi leo.
Namkumbuka pia mtu mmoja aliyekuwa anamsaidia muhamadi kuandika qurani, Abdullah bin Sarh, unajua kwa nini Muhamadi alitaka kumuua huyo mwandishi?