USITHUBUTU KUOA
Senior Member
- Dec 23, 2021
- 136
- 352
Nadhani Allah anajua lugha zote ndio maana hata nyie mnaswali Kwa kiswahili huku mkitumai kuwa anawasikiliza.Allah anaongea kiarabu?
Nadhani Allah anajua lugha zote ndio maana hata nyie mnaswali Kwa kiswahili huku mkitumai kuwa anawasikiliza.Allah anaongea kiarabu?
Mkuu,Sababu ni kama zifuatazo
1. Ilikuwa ni lugha ya mtume ambaye alikuwa mwarabu na jamii ya kwanza kuwafikishia ujumbe wa Quran walikuwa ni wao waarabu
2. Kiarabu kina utajiri mkubwa sana wa misamiati.
Hii inasaidia kuondoa confusion na kuzuia kupeleka ujumbe usiolengwa.
Mfano mbuzi= mnyama
mbuzi= kifaa Cha kukunia nazi
Hakuna ujinga huo kwenye kiarabu.
Vipi nyie upande wenu torati, Injili na zaburi zilikuja Kwa kiswahili?
unaweza kunithibitishia hili maalim?Hahahah hiyo original sidhani kama utaipaita Kwasababu Kuna mwenzako alisema
Wachambuzi walikaa wakachakata torati, Injili na zaburi wakaifanya ikawa bible.
Tunaposema kuchakata Kwa muktadha huu tunamaanisha kuchukua yanayotupendeza na kuachana na yasiyotupendeza
Mind you torati, Injili na zaburi ni maandiko kutoka Kwa mungu.
Mimi sijawahi kumuomba allah mkuu niombe radhiNadhani Allah anajua lugha zote ndio maana hata nyie mnaswali Kwa kiswahili huku mkitumai kuwa anawasikiliza.
Kitabu cha shetani na shetani akajilani kwenye kitabu chake mwenyewe 🤔🤔 akajisema kwa ubaya wake akawafahamisha waislamu jinsi ya kujikinga naye katika kitabu chake mwenyewe.shetani alijua akimshushia kitabu mtu aliyeenda shule maswali na kuhoji kutakuwa kwingi sana na hatimaye mtu ambaye angetumika kuipokea quran na kuwaletea wanadamu wapotee angemkatalia shetani. So shetani alichofanya ni kumtafuta mtu ambaye ni mjinga maamuma kalume kenge na ndipo akampata mudi na kwa kuwa mudi alikuwa mjinga basi alipokea tu kitabu kutokea kwa shetani na yeye akawapata wafuasi wajinga wajinga na na mpaka leo tunao hapa JF wajinga wengi sana wana wa ibilisi
Hahahah hiyo original sidhani kama utaipaita Kwasababu Kuna mwenzako alisema
Wachambuzi walikaa wakachakata torati, Injili na zaburi wakaifanya ikawa bible.
Tunaposema kuchakata Kwa muktadha huu tunamaanisha kuchukua yanayotupendeza na kuachana na yasiyotupendeza
Mind you torati, Injili na zaburi ni maandiko kutoka Kwa mungu.
Itafika siku utamuomba ila utakua ushachelewa kama haitobadilika sasa hiviMimi sijawahi kumuomba allah mkuu niombe radhi
Nakuelewa sana lakini madhara yake ni kama yafuatayoMkuu,
Ndiyo, Neno la Mungu Biblia humo kuna Injili, na Torati na Zaburi na vitabu vingine, vipo kwa kiswahili. Ni kusudi la Mungu Neno lake lijulikane kwa watu wote, hivyo karibia lugha zaote duniani zimefikiwa na Neno la Mungu, Biblia.
Waandishi waliopokea ujumbe wa Mungu, waliandika kwa lugha zao ikiwemo kiebrania, kigiriki na kiaramu. Ila vimetafsiriwa kwa kila lugha sasa hivi unapata ujumbe kwa lugha yako.
Mkuu,Kitabu cha shetani na shetani akajilani kwenye kitabu chake mwenyewe 🤔🤔 akajisema kwa ubaya wake akawafahamisha waislamu jinsi ya kujikinga naye katika kitabu chake mwenyewe.
Hii ni maajabu
Sio Mimi hayo ni maneno ya wakristo wenzakounaweza kunithibitishia hili maalim?
kwamba injili iliyoshushwa kwa Issa bin Maryam ilichakachuliwa?
Sasa ulikuwa unakataa nini kuwa nyie mnaamini injili ni kitabu?
una uhakika injili ni kitabu maalim?
na Tunaposema taurat nayo inapatikana wapi ile orijino ya Musa?
Kumbuka Musa aliandika vitabu vitano,kati ya hivyo kipi kilishushwa?
je ni Mwanzo, Ni Kutoka,Ni Mambo ya walawi,Ni hesabu, Ni kumbukumbu la torati?
Kaka bible imeandikwa na mkono wa yesu?Mkuu,
Unasahau kwamba mada hii inahusu uandishi wa Quran, na kwamba Hadi sasa tunashangaa kwamba muhamadi hakujua kusoma Wala kuandika, hivyo Kuna mtu aliyemwandikia hii qurani mnayoisoma, na pia aliandika baada ya muhamadi kufa, hivyo haijulikani kama aliandika sahihi ama la?
Unasahau kwamba sababu iliyofanya qurani iandikwe ilikuwa Abu Bakr ameona maswahaba walikuwa wamekariri maneno ya muhamadi wanakufa sana kwenye vita, hivyo akahofu kwamba maneno yataootea yote, waliobaki ndiyo wakakusanya wanachokumbuka na kuandika na Zaidi?
Unasahau kwamba kilichomfanya Uthman aitishe kuandikwa upya qurani ni pale alipoona Waislamu wameanza kuwa na qurani nyingi tofauti, hivyo watafute mmojawapo na zingine zikatazwe na kuchomwa moto?
Unasahau kwamba qurani ya Uthman ilikuwa tofauti na qurani ya Abu Bakr, kwa sababu Zaid anasema Kuna Aya alizisahau mwanzoni na sasa akazikumbuka?
Unasahau...?
Mkuu,Nakuelewa sana lakini madhara yake ni kama yafuatayo
1. Kuna lugha hazijakamilika katika misamiati kitu ambacho kinaweza kubadili maana halisi. Mfano mzuri hichi kiswahili Kuna baadhi ya maneno ya kingereza hayana kiswahili chake
Quran haisomwi Kwa lugha yeyote isipokuwa kiarabu.
2. Kutengeneza uniformity katika swala, ndio maana taratibu za swala zinafanana duniani kote. Vipi kama mchina aje kuswali TZ akute mnaswali Kwa kiswahili?
Ni sawa.Mimi sijawahi kumuomba allah mkuu niombe radhi
Mkuu,Sio Mimi hayo ni maneno ya wakristo wenzako
Lakini kama yesu alishushiwa Injili hii bible imetoka wapi?
Kwa Imani yangu Mimi najua mussa alishushiwa torati, haya ya mwanzo, walawi na kutoka siyafahamu labda unielekeze.
Alafu Kwa Imani yako Injili ni nini?
Kuna kitu nataka kujifunza
Ww injili unajua màanake?naipataje injili ya Issa bin Maryam mkuu?
unaelewa maana ya Injili kweli maalim?
Akijibu nitagSababu ni kama zifuatazo
1. Ilikuwa ni lugha ya mtume ambaye alikuwa mwarabu na jamii ya kwanza kuwafikishia ujumbe wa Quran walikuwa ni wao waarabu
2. Kiarabu kina utajiri mkubwa sana wa misamiati.
Hii inasaidia kuondoa confusion na kuzuia kupeleka ujumbe usiolengwa.
Mfano mbuzi= mnyama
mbuzi= kifaa Cha kukunia nazi
Hakuna ujinga huo kwenye kiarabu.
Vipi nyie upande wenu torati, Injili na zaburi zilikuja Kwa kiswahili?
Quran lazima isomwe Kwa kiarabu.Mkuu,
Hapa umepotea kabisa, unatoa hoja isiyo na mashiko.
Hakuna neno la kiingereza ambalo halina kiswahili chake, ni kwamba wewe haujui kiswahili kwa ukamilifu. Pia, lugha hukua,inaweza kukopa misamiati na kutohoa kutoka lugha zingine. Kadri unavyoleta Neno la lugha ya kigeni,ni rahisi kulitafutia Neno linaloendana kimaana kwenye lugha ya kiswahili.
Hiyo ya uniformity sio sahihi, inalazimisha watu kujifunza lugha nyingine mpya, ambayo LAZIMA aelewe kwanza hiyo lugha ndiyo ataelewa yanayofundishwa kwenye hiyo dini. Ni rahisi watu kudanganywa, na wakashindwa kuhoji sababu lugha yenyewe hawaielewi.
Nani alivikusanya hivo vitabu 66 na kuvifanya kuwa kitu kimoja?Mkuu,
Bible ni nini? Ni Neno la kiingereza lenye maana, mkusanyiko wa vitabu. Vitabu vyenyewe ndiyo vipo Torati, Injili na Zaburi (hivi ndiyo vitabu pekee ambavyo muhamadi alikuwa amevisikia watu wanataja), lakini Mungu aliwavuvia watumishi wake wengi, na ndiyo humo kuna vitabu vingi zaidi, jumla viko 66.
Quran lazima isomwe Kwa kiarabu.
Kuswali tunaswal
" watu kujifunza lugha nyingine mpya, ambayo LAZIMA aelewe kwanza hiyo lugha ndiyo ataelewa yanayofundishwa kwenye hiyo dini. "
Kwenye uislamu tu ndo linashida? Ila tukifundishwa physics Kwa kingereza ni sawa😂