Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Unasema ukweliMimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
Hii ni Qur'an au hadith? 🤔Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
Hadith ya wapi?Hii ni Qur'an au hadith? 🤔
Sijajua sasa, kichwa kinasema Qur'an, lakini hapo naona HadithHadith ya wapi?
Ya wapi?Sijajua sasa, kichwa kinasema Qur'an, lakini hapo naona Hadith
Ya wapi?Hiyo ni hadithi.
Hivi unanielewa kweli mkuu?Ya wapi?
Inabidi kuangalia na kipindi ambacho imetoka? Na mwaka tarehe na mtoaji? Na maslahi?Hadith jomba iyo ni wakati wa vita soma alama za nyakati ,mapokeo ya hadith,kipind gani imetoka?
Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.Inabidi kuangalia na kipindi ambacho imetoka? Na mwaka tarehe na mtoaji? Na maslahi?
Kama unamaanisha kumpigia chapuo mama, hii itakuwa kinyume chake, na hayo ni kati ya maandishi ya kipuuzi kabisa toka kwenye vitabu vya dini,Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
Hadith jomba iyo ni wakati wa vita soma alama za nyakati ,mapokeo ya hadith,kipind gani imetoka?
Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.
Ina maana kama ni ruler enzi zile lazima awe upande wa mbele kweny vita ,sasa kaangalie kweny vita kama palikuwa na wanawake.
Kwanza hao wanawake walikuwa special group kama watoto ,hawatakiwa hata kushambuliwa kipind cha vita ,sasa wangewezaje kuongoza vita?
Asante kwa ufafanuzi, nilikuwa nimeshaanza kuyadiscourage hayo maandiko.NI vyema kujifunza au kufanya utafiti wa jambo kabla kuliweka bayana......
Quran sio hadith