Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Mtu mwenye akili timamu wala haitaji kuambiwa na kitabu chochote, huo ni ukweli ulio uchi
Hakuna ukweli wowote hapo, na tena ni kinyume chake.

Ujerumani ilikuwa bora zaidi kwa Angela Michael na hakuna Uingereza bora kushinda enzi za Magret Tharcher, unasemaje ndg mfagilia mfumedume?
 
Hao ni ruler or emperor kipind ambacho kina mapambano kwa sana ,hadith zinafuatwa ni matendo pomoja aliyosema.

Ina maana kama ni ruler enzi zile lazima awe upande wa mbele kweny vita ,sasa kaangalie kweny vita kama palikuwa na wanawake.

Kwanza hao wanawake walikuwa special group kama watoto ,hawatakiwa hata kushambuliwa kipind cha vita ,sasa wangewezaje kuongoza vita?
Unazidi kudhihirisha udhaifu wa wanawake, kama walikuwa kundi maalumu kama watoto huoni ni sababu tosha ya kutowapa nafasi nyeti hata leo!? Kwa maelezo yako ulihisi unawatetea kumbe ndo unapigilia msumali.
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Wewe unasema ukweli, Qur'an ndo inasema uongo.
 
Kama unamaanisha kumpigia chapuo mama, hii itakuwa kinyume chake, na hayo ni kati ya maandishi ya kipuuzi kabisa toka kwenye vitabu vya dini,

Yakiwa na nia ya kumnyanyapaa mwanamke na kuendekeza mfumodume.
Mama anaupiga mwingi... Wenye wivu mjinyonge
 
Back
Top Bottom