Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Mtu mwenye akili timamu wala haitaji kuambiwa na kitabu chochote, huo ni ukweli ulio uchi
Hakuna ukweli wowote hapo, na tena ni kinyume chake.

Ujerumani ilikuwa bora zaidi kwa Angela Michael na hakuna Uingereza bora kushinda enzi za Magret Tharcher, unasemaje ndg mfagilia mfumedume?
 
Yule ulikuwa puppet wa Rais halisi
Hakuna ukweli wowote hapo, na tena ni kinyume chake.

Ujerumani ilikuwa bora zaidi kwa Angela Michael na hakuna Uingereza bora kushinda enzi za Magret Tharcher, unasemaje ndg mfagilia mfumedume?
 
Waanaume wenyewe kina nani? Kigwangala? Msukuma?
 
Unazidi kudhihirisha udhaifu wa wanawake, kama walikuwa kundi maalumu kama watoto huoni ni sababu tosha ya kutowapa nafasi nyeti hata leo!? Kwa maelezo yako ulihisi unawatetea kumbe ndo unapigilia msumali.
 
Wewe unasema ukweli, Qur'an ndo inasema uongo.
 
Kama unamaanisha kumpigia chapuo mama, hii itakuwa kinyume chake, na hayo ni kati ya maandishi ya kipuuzi kabisa toka kwenye vitabu vya dini,

Yakiwa na nia ya kumnyanyapaa mwanamke na kuendekeza mfumodume.
Mama anaupiga mwingi... Wenye wivu mjinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…