Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Tena bi Aisha ndo haifai kabisa kumsikiliza. Alimsingiza mengi mtume... Alidai aliwahi kupigwa naye. Alidai aliwahi kumwona mtume anavaa nguo zake na kumwona anakojoa amechuchumaa.
 
mbona malkia wa sheba aliiongoza KUSHI?[ETHIOPIA} na iliendelea mpaka mfalme suleiman akaisikia na akazaa na huyo mwanamke??
Sasa unaniambia mimi kwani nimekataa au ndo nakuambia sisi tutaendelea? Au huelewi
 
tuseme tu ukweli hata humu ndani ni nani anaweza kumheshimu Mwanamke? hata kama ana akili kama Mchwa.Hata Mwanamke pekee hawezi muheshimu Mwanamke mwenzake vp mwanaume anawezaje?
 
Hiyo ni Hadithi au Ayat ndani ya Quran
 
Hakuna ukweli wowote hapo, na tena ni kinyume chake.

Ujerumani ilikuwa bora zaidi kwa Angela Michael na hakuna Uingereza bora kushinda enzi za Magret Tharcher, unasemaje ndg mfagilia mfumedume?
Hata Golda Maire alikuwa Iron Lady wa Israel. Alikuwa mwanzilishi wa State of Israel na baadaye AKAWA Prime minister wa Israel wakati wa vita na waarabu. Lakini usi linganishe usiku wa mbalamwezi na mchana. Samia ni usiku wa mbalamwezi na kamwe hawezi kuwa mchana. Kama ameshindwa kuitoa nchi kwenye kiza cha kukatika umeme, ameshindwa kumaliza uhaba wa sukari na mambo madogo madogo kama hayo. Uta mlinganishaje na Iron ladies kama Thatcher, Angela Merkel, Golda Maire. Oh please!!
 
Hizo ni hadithi za abunuwasi. Nani kaandika hayo maneno? Kwanza ujue hayo ni mambo ya imani, mpk uamini. Sisi wengine kwanza hatukifahamu hicho kitabu.
 
Are we talking about women in general, or about Her Excellency, Samia Suluhu Hassan?

The topic is about the Islamic verse, that women can not lead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…