Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Kwa faida ya wengi. Ungejibu hoja zangu.

Tafuta muda, tafakar na uje na majibu. So far Jagina anaruka ruka tu na kuhamisha mada na copy and paste mada ndeeefu ambazo sio hasa majibu ya hoja zangu.

Na sijaona utetezi yakinifu.
Wasaidie vijana.
Okay I will be back, inshaallah.
 


This is crap
 


Mohamad siyo kwamba alipanga hadaa bali alitumika na sheatani ili kuwahadaa walimwengu kutengeneza ufalme wa shetani Duniani. Ndiyo maana baada ya kufanikiwa, shetani amewaita waislam na majini ni ndugu zake. Na Mohmad anakiri kuwa alifanikiwa kumfanya shetani kuwa rafiki yake.
 
Nataka nifungue Quraan at random ninukuu aya moja,yoyote:
Sad
11.Askari hawa wanaokanusha ni askari wenye kushindwa,kama walivyoshindwa wengineo miongoni mwa wapote ya watu waliokuwa kabla yao.

By the way,mtu akihitaji Quraan,kama yupo karibu hapa,apige hodi nyumbani kwangu,nitampa Quraan,bure.
 
Allah hayupo.

Yesu hayupo.

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.

Quran na Biblia ni hekaya za kutungwa.
Light of the Universe inakuongoza vyema kabisa.
Watu wengi wamelogwa na hizi Mila na desturi za waarabu na wayahudi Kwa kigezo cha dini.
Wanachukiana Kwa sababu ya kuamini uongo.
Ingia ndani mwako, ndipo Mungu halisi alipo, mengine mnajidanganya bure.
 
Mnaobishana mnamaliza energy zenu bure badala ya kutafuta pesa 😀
 
Hana jibu

Hakuna Mungu wa kuabudiwa ila Allah . ikiwa wakati wa Adam itakuwa walitamka Hakuna Mungu ila Allah na Adam ni mtume wa Allah , wakati wa Noah ita kuwa ni Noah rasulullah na wakati wa Yesu itakuwa yesu rasulullah na wakati wa Muhammad ni Muhammad rasulullah <<<<<< Amani iwaendee wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…