Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Sawa mtume mudi

Harper's Bible Commentary a
Inasema:

"Kama lipo jambo lolote katika uchunguzi wa Injili ambalo juu yake wataalamu wamekubaliana, ni kuwa kufika hapa (yaani Marko 16.8) Injili ya Marko inakoma.

Sehemu iliyobaki ya sura (yaani 16.9-20) ndio hiyo iitwayo "Kimalizio kirefu" cha Injili. Kimalizio hicho hakionekani katika nakla za miswada ya zamani, na ambacho ni nyongeza iliyopachikwa katika karne ya pili kutokana na maongezo ya Mathayo, Luka na Matendo...

ushahidi wa kale kabisa ulioandikwa juu ya Kufufuka (Yesu) haumo katika Injili bali katika barua ya kwanza ya Paulo kuwapelekea Wakorintho 15.3-8."

Maneno hayo ya Paulo aliyowaandikia Wakorintho na ndio mara ya kwanza kutajwa kufufuka kwa Yesu ni haya:

Kwa maana niliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maaandiko; na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala; badaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.

1 Wakorintho 15.3-8

Ikiwa kipande chote tangu mstari 9 mpaka mstari 20 katika sura 16 ya Injili ya Marko, kimepachikwa, basi kisa chote cha kufufuka Yesu kimebuniwa.

Mwenye kubuni kisa hichi ni Mtakatifu Paulo. Hivyo ndivyo tunavyoweza kuagua kutokana na kuisoma Biblia, kwani maandishi ya kwanza hayamo katika Injili bali yamo katika barua ya Paulo kwa Wakorintho.
 
Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.

Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?.

(Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na gomora nk)
Hizi zote Jibril alimfunulia Mohamed sio? Kwamba hakuwa anazijua na waarabu walikuwa hawazifahamu?.

(Hapa Nina maanisha visa ambazo haviko kwenye Torati, ) je zilishushwa na Allah kwa wahyi?.
Na Kwa ufafanuzi zaid Tourat ni kitabu kimoja alichoshushiwa Musa
Al-Isra 17:2
"Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya kuwa ni uongofu kwa Wana wa Israili...
Al-Ahqaf 46:12
"Na kabla yake kilikuwa Kitabu cha Musa kilichokuwa kiongozi na rehema"

2. Ni kitabu gani ambacho Nabii Issa alipewa?.

Quran 19 : 30
"Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Nabii."

Ilhali Injili iliandikwa na Wanafunz wa Yesu.

3. Kwanini ilichukua miaka 23 kukamilika wakat Quran yote ilishushwa siku moja usiku kwenye mwez wa ramadhan Laylatul-Qadr

(Lauhul-Mahfuz mpaka Baitul-'Izzah).

4. Ameshushiwa Mohamed ila walioiandika ni wafuasi wake baada ya yeye kufa.

Kwanini asingekusanya na kupanga aya zote na kukamilisha kitabu kamili yeye mwenyewe?.
Kama alivyodai kuwa amepewa Kitabu.

5. Muislam wa kwanza ni Mtume Mohamed.
Kama sio sahihi naomba mnijibu kwa kutumia Quran huku ukiweka pia akilini maana ya kusilimu na shahada.

Jagina Kazakh destroyer adriz gallow bird Covax hateeb10 na wengine niliowasahau naomba mnisaidie kujibu.

Pia kwasababu Quran ina amini kwenye Torati ,Zaburi na Injili.

Ina maana maneno yote ya vitabu hivi ni ya kweli kwasababu hauwez kuchagua baadhi na kuacha baadhi.

Kukataa haya naomba uniwekee aya ya Quran inayokanusha.
Kina mashaka makubwa sana yanaanzia kwenye uzushi wa kesema kwamba eti kimetelemshwa na kutumia hoja kutojua kusoma na kuandika kwa mwamedi kama kigezo cha kuaminiwa uma
 
Itakuwa husomi unarukia conclusion tu otherwise usingeandika hicho ulichokiandika . Mimi nakuletea ukweli wa hiyo isaya 29 na nini kimebadilishwa kuondoa ukweli wa kumhusu Nabii Muhammad , au ulitaka nini ?
Mbona huleti sasa?
Unaruka ruka kama maharage Isaya 29 nimekuweka yote nimekwambia onesha pameandikwa Muhammad ni mtume unaleta ngonjera ambazo hazipo,mara subiri nisubiri nini na ni kitendo cha kuonesha tu andiko simple?
😁😁
 
Yaan saa 6 hii usiku ndio nafika home. Nimetoka kwenye kadamsee.

Bro. Utetezi wako una mashaka.
Lakini Nitasoma comment huko mbelebi . Ila kwakuwa hii ni comment ndio ya kwanza nasoma . Na umejibu swali moja .

La kwamba nani Muislam wa kwanza.

Na ambalo hujajibu kwa Quran kwamba je ? Unaweza kuwa muislam kama haujafanya
1. KISILIMU
2. SHAHADA

AU ww unapingana na huu mstari wa Quran ambayo hauna shaka .

Kasome

Surah Al-An'am (6:163)
: "Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu (walio jisalimisha kwa Mwenyezi Mungu)."

Surah Az-Zumar (39:12)
: "Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa Waislamu."

Surah Al-An'am (6:14)
: "Sema: Je, nimfanye mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi? Naye ndiye anaye lisha wala halishwi. Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu..."

2. Nionyeshe mtume yoyote zaid ya Mohamed aliyefanya SHAHADA.
Kwa Biblia na Quran.

(Ukinjonyesha Ntakutumia 1 Million Tsh. Ambayo iko kwa uwezo wangu. Tuwasiliane PM)

Nguzo ya kwanza ya Uislam ni Shahada
Na Shahada ni hii

"Ash-hadu an la ilaha illa Allah, wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.
Maana: "Nashuhudia kuwa hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu (Allah), na nashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu."

Sitak maneno. Niwekee kwa Biblia au Quran nani alisema haya nje ya Mohamed.

Nalala sasa . Nikiamka. Ntajibu comment zote.
وَإِذۡ قَالَ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ يَٰبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ إِنِّي رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡكُم مُّصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيَّ مِنَ ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَمُبَشِّرَۢا بِرَسُولٖ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِي ٱسۡمُهُۥٓ أَحۡمَدُۖ فَلَمَّا جَآءَهُم بِٱلۡبَيِّنَٰتِ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ مُّبِينٞ

Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

Hapo ☝️☝️ Yesu (Amani iwe juu yake ) amechukua shahada kuwa Yeye mwenyewe ni Mtume na akawabashiria habari njema za ujio wa Mtume

Kuhusu Kuwa Muislamu wa kwanza hiyo Aya umeielewa vibaya.
 
Mbona huleti sasa?
Unaruka ruka kama maharage Isaya 29 nimekuweka yote nimekwambia onesha pameandikwa Muhammad ni mtume unaleta ngonjera ambazo hazipo,mara subiri nisubiri nini na ni kitendo cha kuonesha tu andiko simple?
😁😁
Tulia , hapa naendesha gari siwezi kukoncentrate. Nitalets tu kuwa na subira
 
Mkuu Castle_Lite majibu ya maswali uliyouliza yapo isipokuwa nimekuwa mzito kidogo siku hizi kwasababu watu wengi hawaulizi kwa malengo ya kufahamu bali kwa malengo ya kukejeli na kutukana sasa mimi najiepusha sana siku hizi, kama unataka kujua naweza kukueleza yote uliyotaka kujua.
 
وَإِذۡ قَالَ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ يَٰبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ إِنِّي رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡكُم مُّصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيَّ مِنَ ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَمُبَشِّرَۢا بِرَسُولٖ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِي ٱسۡمُهُۥٓ أَحۡمَدُۖ فَلَمَّا جَآءَهُم بِٱلۡبَيِّنَٰتِ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ مُّبِينٞ

Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

Hapo ☝️☝️ Yesu (Amani iwe juu yake ) amechukua shahada kuwa Yeye mwenyewe ni Mtume na akawabashiria habari njema za ujio wa Mtume

Kuhusu Kuwa Muislamu wa kwanza hiyo Aya umeielewa vibaya.

Mnachekesha sana aisee.

Hii ni Quran na sio maneno ya Biblia.

Yaan Baada ya miaka 600+ ndio Mtu aote tu na aseme Yesu alisema hivyo.
Wakat mashahidi wake na wanafunz wake hawajawah sema kuhusu huyo ahmad.

Huon kuwa ni ujanja wa Mohamad kuandika vitu ili apate wafuasi?.
Tumia akili tu kidogo. Ni

Ni sawa na mm niandike kitabu alaf niseme Mohamed alinitaja.
Ww utaamini?.
 
Safi, halafu kwasasa teknolojia inawaweka uchi sana

Kuanzia tarehe moja naanza kushusha mawe humu

Sawa kaka. Nakukubali na nasubiria kwa hamu.
Pia na mm ntaanza kuzichambua hadith zao. Kwenye Quran wanaruka ruka tu. Kule kwenyw hadith watalog off au wabadili ID.

Sijaona mwenye akili ya kuzijibu hoja zangu so far.
 
Uislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .

Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)

Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.

Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
😂😂😂😂

💩💩💩💩💩💩
 
Mkuu Castle_Lite majibu ya maswali uliyouliza yapo isipokuwa nimekuwa mzito kidogo siku hizi kwasababu watu wengi hawaulizi kwa malengo ya kufahamu bali kwa malengo ya kukejeli na kutukana sasa mimi najiepusha sana siku hizi, kama unataka kujua naweza kukueleza yote uliyotaka kujua.

Kwa faida ya wengi. Ungejibu hoja zangu.

Tafuta muda, tafakar na uje na majibu. So far Jagina anaruka ruka tu na kuhamisha mada na copy and paste mada ndeeefu ambazo sio hasa majibu ya hoja zangu.

Na sijaona utetezi yakinifu.
Wasaidie vijana.
 
Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.

Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?.

(Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na gomora nk)
Hizi zote Jibril alimfunulia Mohamed sio? Kwamba hakuwa anazijua na waarabu walikuwa hawazifahamu?.

(Hapa Nina maanisha visa ambazo haviko kwenye Torati, ) je zilishushwa na Allah kwa wahyi?.
Na Kwa ufafanuzi zaid Tourat ni kitabu kimoja alichoshushiwa Musa
Al-Isra 17:2
"Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya kuwa ni uongofu kwa Wana wa Israili...
Al-Ahqaf 46:12
"Na kabla yake kilikuwa Kitabu cha Musa kilichokuwa kiongozi na rehema"

2. Ni kitabu gani ambacho Nabii Issa alipewa?.

Quran 19 : 30
"Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Nabii."

Ilhali Injili iliandikwa na Wanafunz wa Yesu.

3. Kwanini ilichukua miaka 23 kukamilika wakat Quran yote ilishushwa siku moja usiku kwenye mwez wa ramadhan Laylatul-Qadr

(Lauhul-Mahfuz mpaka Baitul-'Izzah).

4. Ameshushiwa Mohamed ila walioiandika ni wafuasi wake baada ya yeye kufa.

Kwanini asingekusanya na kupanga aya zote na kukamilisha kitabu kamili yeye mwenyewe?.
Kama alivyodai kuwa amepewa Kitabu.

5. Muislam wa kwanza ni Mtume Mohamed.
Kama sio sahihi naomba mnijibu kwa kutumia Quran huku ukiweka pia akilini maana ya kusilimu na shahada.

Jagina Kazakh destroyer adriz gallow bird Covax hateeb10 na wengine niliowasahau naomba mnisaidie kujibu.

Pia kwasababu Quran ina amini kwenye Torati ,Zaburi na Injili.

Ina maana maneno yote ya vitabu hivi ni ya kweli kwasababu hauwez kuchagua baadhi na kuacha baadhi.

Kukataa haya naomba uniwekee aya ya Quran inayokanusha.
Quran ni ufala wa Allah na shoga ake Muhammad.
 
وَإِذۡ قَالَ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ يَٰبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ إِنِّي رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡكُم مُّصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيَّ مِنَ ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَمُبَشِّرَۢا بِرَسُولٖ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِي ٱسۡمُهُۥٓ أَحۡمَدُۖ فَلَمَّا جَآءَهُم بِٱلۡبَيِّنَٰتِ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ مُّبِينٞ

Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

Hapo ☝️☝️ Yesu (Amani iwe juu yake ) amechukua shahada kuwa Yeye mwenyewe ni Mtume na akawabashiria habari njema za ujio wa Mtume

Kuhusu Kuwa Muislamu wa kwanza hiyo Aya umeielewa vibaya.
Huu uzushi Utakuwa umezushwa na mzushi mwenyewe wa karne ya sita
 
Mnachekesha sana aisee.

Hii ni Quran na sio maneno ya Biblia.

Yaan Baada ya miaka 600+ ndio Mtu aote tu na aseme Yesu alisema hivyo.
Wakat mashahidi wake na wanafunz wake hawajawah sema kuhusu huyo ahmad.

Huon kuwa ni ujanja wa Mohamad kuandika vitu ili apate wafuasi?.
Tumia akili tu kidogo. Ni

Ni sawa na mm niandike kitabu alaf niseme Mohamed alinitaja.
Ww utaamini?.
Uislam ni uzushi mkubwa ambao umejinasibisha na maandiko ya mayahudi ili kuungwa mkono
 
Mbona unapakazia , hiyo aya uliyoleta inasema ,

Quran 33:59 in Swahili (Kiswahili):

"Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu

Isome vizuri please , bila jaziba , halafu jaribu kuandika kwa mpangilio , usichanganye changanye kila topic
Soma ya ya 50
 
Back
Top Bottom