Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
😆🤣🤣 Dini ya mchongo sana hiyo.Nani alimuona au kumsikia huyo "jibril"? Hakuna evidence. Ni dini ya TRUST ME BRO.
😆🤣🤣 Dini ya mchongo sana hiyo.Nani alimuona au kumsikia huyo "jibril"? Hakuna evidence. Ni dini ya TRUST ME BRO.
Sawa najua hilo,mpaka umeenda kugugo maana ya hahaha enhee ndio nakuuliza huo Unabii wa Mji wa Ariel una uhusiano gani na Muhammad?Ariel = "Lion of God,
Umejibu nini kwenye hizo posti?Ndiyo nimeanza kukuletea historia ya hiyo Isaiah kwa jumla nafikiri umeona post 172 , 173 na 180 naendelea kutayarisha zaidi
Ukweli?Mbona unakuja kwenye hitimisho hata sijaanza bado kwani hii niliileta zamani na ina pages nyingi tu ni uchunguzi kuhusu hiyo isaiah29 Uwe na subira Kama unautafuta ukweli
Itakuwa husomi unarukia conclusion tu otherwise usingeandika hicho ulichokiandika . Mimi nakuletea ukweli wa hiyo isaya 29 na nini kimebadilishwa kuondoa ukweli wa kumhusu Nabii Muhammad , au ulitaka nini ?Sawa najua hilo,mpaka umeenda kugugo maana ya hahaha enhee ndio nakuuliza huo Unabii wa Mji wa Ariel una uhusiano gani na Muhammad?
Nataka majibu yenye logic bob!
😅😅
Umejibu nini kwenye hizo posti?
Maana nimeona tena unaanza kukana kwamba unabii wa isaya na kitabu chake ni fake na bla bla nyingi hujajibu swali bob nauliza tena Unabii juu ya mji wa Arieli una mahusiano gani na Muhammad
Ukweli?
Ukweli kuhusu nini na kila kitu kimejieleza hapo?
Kuna ukweli gani zaidi ya ukweli uliopo kwa ushahidi wa kimaandiko?
Naomba unapouleta ukweli wako usitoke nje ya Isaya 29 tafadhari!
Kuliko ya Mungu aliyejitia nyama?😆🤣🤣 Dini ya mchongo sana hiyo.
Wewe jamaa una akili sana, Huwa sichoki kusoma comment zako, una fikiria ,nikisoma comments zako lazima niongeze kitu kipyaAllah ni Mzimu wa kabila la Kiarabu tu:
Ukitaka kuwasiliana na Mzimu wa Kabila Fulani ni lazima utumie Lugha ya Hilo Kabila:
Mfano
Kabila la Wanyakyusa huongea na Mzimu wao kwa Lugha ya Kinyakyusa tu:
Na ni Mwiko (Haramu) kutumia Lugha yoyote Ile isipokuwa Kinyakyusa:
Waarabu wakaandika kitabu Cha namna ya kumwabudu Mzimu wao na kushawishi na kulazimisha makabila mengine wamwabudu:
Mzimu ambao ili ukuelewe ni lazima uwasiliane nao kwa Lugha ya Kiarabu tu, na pia ni lazima Uusujudie ukitizama Uarabuni Saudi Arabia:
Ukiongea Kiarabu huku umesujudu kuelekea Malawi haukusikii:
Ukisoma hapa kwa kuweka ushabiki pembeni utaelewa vizuri:
🤣🤣🤣Mola wa HAKI au wa amani??
Safi, halafu kwasasa teknolojia inawaweka uchi sanaNdugu yangu Covax .
Haujaonekana na haujajibu hoja zangu siku nying sana.
Najua unasoma na unapita kimya kimya.
Najua unasubiria upepo utulie ili uje na hoja zako.
Nikuambir tu kuwa Ukiendelea kuchambua Biblia na sisi tutaendelea kuchambua Uislam.
Maandishi haya yatakuwepo na watu watasoma na kuona dini ipi ni ya magumashi.
Uwe unanitag ndugu ,Nina hoja nyingne 2. Nazitunza for future use.
Save the best for the Last.
Mtumishi naomba uwe unanitagi kwanye kila mada yako:Safi, halafu kwasasa teknolojia inawaweka uchi sana
Kuanzia tarehe moja naanza kushusha mawe humu
UISLAMU NI JANGA SIKIA HUYU MUARABU AKIKUELEZEA HILO. Huku kwetu bado mmebaki na hilo janga kwa sababu hamjui lugha za kimataifa
View: https://youtu.be/gDM_kfrBuZg?si=O-yc-vdhTV3woucg
Pia naomba nitajie Qurani mzuri ya Kiswahili ya Kudownlodi kwenye Playstore:Uwe unanitag ndugu ,
Hilo andiko la Mathayo 28:19 "Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa Wanafunzi.." unalielewa lakini we Kobaz? I can boldly claim mimi ni Mwanafunzi wa Yesu kupitia andiko hilo. Yeyote anayempokea Yesu, anafanyika kuwa Mwanafunzi wa Yesu na siyo wa mtu fulani aliyemhubiria injili. Kwahiyo ni sahihi kwa Paulo kuitwa Mwanafunzi wa Yesu hata kama hakuwa miongoni mwa wale 12.
Unajijibu mwenyewe 😝😝😝Wewe jamaa una akili sana, Huwa sichoki kusoma comment zako, una fikiria ,nikisoma comments zako lazima niongeze kitu kipya
Barikiwa sana
Sawa kakaMtumishi naomba uwe unanitagi kwanye kila mada yako:
Najifunza mengi kupitia Nondo zako Kali:
Astagafurirah.
😁😁😁 kwamba Mohamed alisemwa katiba biblia?.
Hebu jiheshimu bro.
Na hapa umesema Mohamed ni roho 😂😂😂😂
"Hivyo, Roho wa Ukweli ni Mtume Muhammad (SAW), anayehitimisha kiongozi wa kweli wa vizazi vijavyo, si Roho Mtakatifu wa Agano la Kale wala Yesu mwenyewe."
Ndio maana Che mittoga na Infropreneur wanaona hauna akili.
Nionyeshe aya ya quran inayosema Mohamed ni roho.
Pia zingatia nafas ya Jibril.
Aadamu ndio alishahidia maana alimkubali AllaahKama Adamu alikua Mwislamu alishahidia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”
Na kama hakushaadia anapataje sifa za kua Mwislamu bila Shaada?
adriz Jagina Covax Busu la Kenge
Hilo andiko la Mathayo 28:19 "Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa Wanafunzi.." unalielewa lakini we Kobaz? I can boldly claim mimi ni Mwanafunzi wa Yesu kupitia andiko hilo. Yeyote anayempokea Yesu, anafanyika kuwa Mwanafunzi wa Yesu na siyo wa mtu fulani aliyemhubiria injili. Kwahiyo ni sahihi kwa Paulo kuitwa Mwanafunzi wa Yesu hata kama hakuwa miongoni mwa wale 12.
Waafrika tuna safari ndefu sanaUislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .
Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)
Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.
Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
Kulikuwepo na Uislamu yaani wale waliokuwa wanafuata mafundisho ya Yesu ya kweli ambao hayachanganywa na utatu na upotoshaji mwingine wanahesabika walikuwa katika Mila ya Uislamu.uongo! kabla ya Muhamad hakukuwa na islam, middle east kulikuwa na Christians, wayahudi na wapagani tu …