Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Uislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .

Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)

Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.

Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
Mudi huyu huyu aliyeluwa akibaka watoto wa miaka 9?
 
Uislamu ni dini mpya ya mungu muarabu mwenye kuongea kiarabu na kusikia kiarabu ...uislamu ni dini ya KIARABU ... DINI YOYOTE INAYO NASIBISWA NA LUGHA MOJA TU HIYO SIYO DINI YA MUNGU WALA MITUME WA KWELI ..

UISLAMU NI DINI MPYA NDIYO MAANA ILI UMUABUDU ALLAH WA UISLAMU NI LAZIMA KUTUMIA KIARABU . NI USHIRIKINAULIO DHAHILI KABISA ...
kwani watu wote mwanzo walikuwa wakiongea lugha ipi kwa mujibu wa biblia ??
 
Mudi huyu huyu aliyeluwa akibaka watoto wa miaka 9?
Mudrick wa Real madrid ndio alifanya hivyo ?? na yule aliyekamatwa na kijana teenager wa kiume ,alfajiri ,kwenye vichaka vya bustani ya Gesthemane ,akiwa na chupi kaiweka begani , Jee alimwoa yule kijana ??
 
Kumbe na mimi nikishahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Yashua Hamashiach -Allah.
Nakua tayari Mwislamu,sasa kwanini mnalazimisha tumwamini mtume wenu Muhammad na sisi ni wafuasi wa Yesu?
😁😁😁
Kila wakati una mtume wake .

Huyo yesu muda wake uliwisha na hakuletwa kwa ajili ya watu wote

Na Yesu amekwisha sema wazi “Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya lsraeli (Matt. 15:24)

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Mathayo 10.5-6
 
Allah anayemuomba Allah.

Qurani 33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu."

Na eti ukimsalia mtume unaondolewa dhambi za siku 10 😁😁😁😁 yaan mtume anaswaliwa. Kwanini aswaliwe?.
Yeye si mtume? Au ana madhambi? .

Tulishajibu mara zaidi ya milioni humu , kusalia unajua maana yake au unafikiri ni kuswali kama mnavyofanya kanisani ??
 
Nionyeshe wap Mtume amesimamia Quran.

Quran 25 : 4-6
Aya ya 4: "Na wamesema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uzushi alio uzua, na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa wamekuja na dhulma na uwongo."
Aya ya 5: "Na walisema: Ni hadithi za watu wa kale alizo ziandikisha, naye anasomewa asubuhi na jioni."
Aya ya 6: "Sema: Ameteremsha (Qur'ani hii) yule anaye jua siri zilizomo mbinguni na katika ardhi. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."

Kumbuka aliyeandika Quran sio Mohamed. Yeye hakujua kusoma wala kuandika. Na ilikusanywa na kuwekwa pamoja kwa miaka 20 baada ya yeye kufariki.
Hiyo aya ya tano umeielewa au umepita tu na tafsiri zako!?..mtume akiletewa aya anawaambia waandike,wakishaandika anawaambia wamsomee aone kama wameandika ndicho,kama huo siyo usimamizi wa uandishi ni nini?
 
Jagina tuachane na swali la kwanza. Hebu nijibu la 3.

Kwanini ikichukua miaka 23 kukamilika wakat Quran ilishushwa yote kwa siku moja kwenyw mbingu ya kwanza.?.

Quran ni janja janja tu ya mohamed. Hakuwah kupata wahyi ila ni ndoto zake .
Akiamka anasema nimeoteshwa
Kwanza unakubali kuwa utatu mtakatifu ni uzushi tu , na haumo ndani ya biblia kama nilivyokuonyesha kwa aya ambazo wewe ulidai ndizo zinazoonyesha utatu mtakatifu ??
 
Thibitisha Mungu yupo.

Thibitisha una akili.

Ulisema mimi sina akili, Sawa.

Sasa wewe mwenye akili, ithibitishe hiyo akili uliyonayo.
Umesema sawa huna akili , nijadiliane na mtu ambaye hana akili ??
 
Jagina pita na hapa mkuu

Qurani inaposema:


Sema: Je, nichukue mlinzi mwingine asiye kuwa Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi, anayelisha wala halishwi? Sema: Nimeamrishwa niwe wa kwanza kusilimu [aslama] (Kwake). Wala usiwe miongoni mwa washirikina. (Qurani 6:14 – Pickthall)

Sema: Hakika Mola wangu ameniongoza kwenye njia iliyonyooka, dini iliyo sawa, mila ya Ibrahim aliye mnyofu; wala hakuwa miongoni mwa washirikina. Sema: Hakika swala zangu, ibada zangu, uhai wangu na mauti yangu ni kwa Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote. Hana mshirika. Hayo ndivyo nilivyoamrishwa, nami ni wa kwanza wa Waislamu (Wa ana awwalu al-muslimin). (Qurani 6:161–163 – Sale)

Hana mshirika. Hayo ndivyo nilivyoamrishwa, nami ni wa kwanza wa Waislamu. (Qurani 6:163 – Rodwell)

Sema (Ewe Muhammad): Hakika mimi nimeamrishwa kumuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia dini Yake peke Yake. Na nimeamrishwa niwe wa kwanza miongoni mwa wale wanaosilimu (wanaojisalimisha Kwake). (Qurani 39:11–12 – Pickthall)

Maana yake ya msingi na iliyo wazi ni kwamba Muhammad ameagizwa awe Mwislamu wa kwanza MIONGONI MWA WATU WAKE.

Hiyo tu ndiyo maana yake.

Inamaanisha kuwa Muhammad ndiye Mwislamu wa kwanza miongoni mwa watu wake, na ameagizwa awe wa kwanza miongoni mwao. Kwa hiyo, haiipingani na aya nyingine. Muhammad si Mwislamu wa kwanza duniani kote, bali ni Mwislamu wa kwanza miongoni mwa watu wake.


Angalia pia kile kinachosemwa katika mojawapo ya aya hizi:


Sema: Je, nichukue mlinzi mwingine asiye kuwa Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi, anayelisha wala halishwi? Sema: Nimeamrishwa niwe wa kwanza kusilimu (Kwake). Wala usiwe miongoni mwa washirikina. (Qurani 6:14 – Pickthall)

Aya hii inamwambia Muhammad asiwe miongoni mwa washirikina. Washirikina walikuwa ni nani? Washirikina walikuwa ni Maquraysh, nao walikuwa watu wa Muhammad.

Kwa hiyo, ni wazi kabisa kwamba inaposemwa Muhammad awe Mwislamu wa kwanza, inamaanisha tu awe wa kwanza miongoni mwa watu wake.


Hivyo basi, aya zinazosema Muhammad ameagizwa awe Mwislamu wa kwanza hazipingani kabisa na aya hizi:


Isa alipogundua kukufuru kwao alisema: “Ni nani wasaidizi wangu katika (njia ya) Mwenyezi Mungu?” Wanafunzi wakasema: “Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu; tunamuamini Mwenyezi Mungu, na ushuhudie kwamba sisi ni Waislamu.” (Qurani 3:52)

Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mtu mnyofu, Mwislamu (musliman), wala hakuwa miongoni mwa washirikina. (Qurani 3:67 – Shakir)

Hawafanani wote; miongoni mwa Watu wa Kitabu wapo watu waadilifu, wanaozisoma aya za Mwenyezi Mungu wakati wa usiku na kumsujudia. Wanamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wanaamrisha mema na kukataza mabaya, na wanaharakia katika mema; hao ni miongoni mwa watu wema. Na kheri yoyote wanayoifanya haitakataliwa kwao; na Mwenyezi Mungu anawajua wamchao. (Qurani 3:113–115 – Shakir)

Mwenyezi Mungu atasema: “Ewe Isa mwana wa Maryam! Kumbuka neema Zangu juu yako na juu ya mama yako. Nilipokutia nguvu kwa Roho Mtakatifu ukawa unazungumza na watu katika utoto na utu uzima. Nikakufundisha Kitabu na Hikima, Taurati na Injili. Na ulikuwa ukitengeneza kutokana na udongo mfano wa ndege kwa idhini Yangu, kisha ukavuvia ndani yake ikawa ndege kwa idhini Yangu. Na ulikuwa ukiwaponya vipofu wa kuzaliwa na wakoma kwa idhini Yangu. Na ulikuwa ukiwatoa wafu kwa idhini Yangu. Na nilipozuilia Wana wa Israil wasikudhuru ulipowajia kwa dalili zilizo wazi, basi makafiri miongoni mwao wakasema: ‘Huu si chochote ila ni uchawi ulio wazi.’ Na nilipowavuvia wanafunzi wako waumini kwangu na kwa Mtume Wangu, wakasema: ‘Tumeamini, na ushuhudie kwamba sisi ni Waislamu.’” (Qurani 5:110–111)

Hakika hiyo ni kutoka kwa Sulayman, nayo ni: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. Msijivune juu yangu, bali njoni kwangu mkiwa mmejisalimisha (muslimeena). … Basi alipokuja akaambiwa: Je, kiti chako cha enzi ni kama hiki? Akasema: Ni kana kwamba ndicho hicho. Na Sulayman akasema: Tulipewa elimu kabla yake, nasi tulikuwa tumeshajisalimisha (wakunna muslimeena). … Akaambiwa: Ingia ukumbini. Alipoona alidhani ni maji, akafunua miguu yake. Sulayman akasema: Hakika huu ni ukumbi uliosawazishwa kwa vioo. Akasema: Mola wangu! Hakika nimejidhulumu nafsi yangu, nami najisalimisha (aslamtu) pamoja na Sulayman kwa Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote. (Qurani 27:30–31, 42, 44 – Pickthall)
 
Ukisikia Mola Mlezi:
Jua kuwa ni Jini:
Mola atakuwaje Mlezi wakati hana mwana:
Analea nini sasa:
Au analea Majini
Kanisani kwenu mnalea nini hapa

1766916913171.png
 
kwani watu wote mwanzo walikuwa wakiongea lugha ipi kwa mujibu wa biblia ??
MUNGU AANGALII MATAMSHI NDIYO MAANA UWEZI KUMDANGANYA MUNGU NA AKADANGANYIKA ...MUNGU ANATUMIA LUGHA YA MOYONI ....HIVYO MUNGU HANA LUGHA YA DINI ...LUGHA YOYOTE UNAYO TUMIA KWAKE NI SAWA.
 
Jagina pita na hapa mkuu

Yesu Mwislamu:

Luka 6:40 — Yesu, Maryam na waumini wote wa mwanzo waliitwa Mushlems (Waislamu):

“Ein talmeed na'leh 'al rabbo; shekken kal adam she’MUSHLAM yihyeh k’rabbo.”
Kal adam maana yake ni kila Adamu; kila mwanadamu.
Luka 6:40 (ukurasa wa 6)
40 Mwanafunzi hayuko juu ya Bwana wake (rabbo); lakini kila mwanadamu (adam) ambaye ni Mwislamu (kal adam she’Mushlem) huwa kama Bwana wake (yihyeh k’rabbo).

1- Katika Kiarabu cha mazungumzo (slang), ambacho ni lugha dada ya Kiaramu, SHE humaanisha daima, kila kitu, kila mtu, chochote (mfano: “treed she?” au “aawiz she?” — Unataka chochote?).

2- Kiarabu kimeandikwa na kuhifadhiwa zaidi, na ni tajiri zaidi, kuliko lugha ambazo karibu zimekufa kama Kisiria na Kiaramu.

3- kal adam she’MUSHLAM maana yake ni:

  • kal = kila. Katika Kiarabu ni kul.
  • adam = mwanadamu.
  • she’MUSHLAM = kila mwanadamu ambaye ni Mwislamu kikamilifu.
4- yihyeh ni sawa na Kiarabu Yahya. Yahya limetokana na Haya (uhai). Yahya maana yake ni “aliye hai”.

Kwa hiyo:

kal adam she’MUSHLAM yihyeh maana yake ni:

Kila mwanadamu anayejitoa maisha yake kikamilifu kuwa Mwislamu.

kal adam she’MUSHLAM yihyeh
 
UISLAMU NI JANGA SIKIA HUYU MUARABU AKIKUELEZEA HILO. Huku kwetu bado mmebaki na hilo janga kwa sababu hamjui lugha za kimataifa


View: https://youtu.be/gDM_kfrBuZg?si=O-yc-vdhTV3woucg


Jibu haya maswali kwanza ndio utuletee huyo dada yako

Unaongelea Mudi , huyu Mudrick alokuwa mchezaji wa Real Madrid ?? Alexander the Grace ni kiumbe gani hicho au ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito hayo ??
 
MUNGU AANGALII MATAMSHI NDIYO MAANA UWEZI KUMDANGANYA MUNGU NA AKADANGANYIKA ...MUNGU ANATUMIA LUGHA YA MOYONI ....HIVYO MUNGU HANA LUGHA YA DINI
Kwa mujibu wa biblia yako ?? au mchungaji wako ??
 
Uislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .

Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)

Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.

Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza 1111
 
Kwa mujibu wa biblia yako ?? au mchungaji wako ??
Ukitamka "shenzi" ila moyoni mwako ukikusudia maana "mungu atukuzwe" Mungu ukuhesabia kile kilicho thibiti moyoni mwako ... kwa hiyo wewe kwa akili zako mbuzi unataka kuniambia asiye jua kiarabu tayari huyo ni mtu wa motoni moja kwa moja 😁😁😁 akili zako mbovu kama waumini wa mwamposa
 
Ukitamka "shenzi" ila moyoni mwako ukikusudia maana "mungu atukuzwe" Mungu ukuhesabia kile kilicho thibiti moyoni mwako ... kwa hiyo wewe kwa akili zako mbuzi unataka kuniambia asiye jua kiarabu tayari huyo ni mtu wa motoni moja kwa moja 😁😁😁 akili zako mbovu kama waumini wa mwamposa
Wapi imeandikwa asiyejua kiarabu ni mtu wa motoni ??

Jibu swali

Kwa mujibu wa biblia watu wote mwanzo wakiongea lugha ipi ??
 
Back
Top Bottom