Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Kwa mujibu wa Qur’ani na Biblia, ni wazi kuwa:
👉 Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kwa wanadamu wote, kama rehema, mwongozo, na ujumbe wa mwisho wa Mwenyezi Mungu kwa ulimwengu mzim

Astagafurirah.
😁😁😁 kwamba Mohamed alisemwa katiba biblia?.
Hebu jiheshimu bro.

Na hapa umesema Mohamed ni roho 😂😂😂😂
"Hivyo, Roho wa Ukweli ni Mtume Muhammad (SAW), anayehitimisha kiongozi wa kweli wa vizazi vijavyo, si Roho Mtakatifu wa Agano la Kale wala Yesu mwenyewe."

Ndio maana Che mittoga na Infropreneur wanaona hauna akili.

Nionyeshe aya ya quran inayosema Mohamed ni roho.
Pia zingatia nafas ya Jibril.
 
Musa ni mwebrania au ni mpalestine?
Musa ni Muebrania. Aliyezaliwa utumwan Misri. Na aliwaongoza Waebrania wenzake kufika Kaanani ingawa Hakufika.
Kaanani ndio Palestine ya sasa.

Kwakuwa Hakuzaliwa Kaanani/palestina na hakuweza kufika. Hawez kuwa mpalestina.
 
Niliwawekea topic nzima inayohusu Muhammad SAW kutokewa na Jibril

USHUHUDA #1: Jina “Hira” katika Isaya 29:12

Waislamu kwa muda mrefu wamefasiri Isaya 29:12 kama dalili ya kinabii inayomrejelea Mtume Muhammad (ﷺ), hasa ufunuo wake wa kwanza alipokuwa amelala usingizi ndani ya Pango la Hira (Ghar Hira) katika Mlima Hira. Hata hivyo, hoja nyingi zilizotolewa awali zilitegemea zaidi vyanzo vya Kiislamu pekee, jambo lililowapa changamoto Waislamu katika mjadala na wanateolojia wa Kikristo wanaodai Aya hiyo isomwe kwa muktadha wake wa Biblia.

Utafiti huu unaonyesha kuwa Isaya 29 ina dalili nyingi ambazo, zikichambuliwa kwa kina, zinaashiria kwa uwazi mwanzo wa utume wa Mtume Muhammad (ﷺ) na mahali ulipoanzia. Aidha, wasomi wengi wa Biblia wanakubaliana kuwa maandiko ya Biblia yamehaririwa na kubadilishwa kwa muda mrefu, yakipitia nyongeza, uhamisho wa visa, na mabadiliko ya mpangilio wa kihistoria. Hali hii imeathiri muktadha wa maandiko mengi ya kinabii, ikiwemo Kitabu cha Isaya.

Kwa sababu hiyo, hoja kwamba Isaya 29:11–12 haiwezi kumrejelea Mtume Muhammad (ﷺ) kwa kisingizio cha “muktadha” si thabiti kisomi. Kinyume chake, ushahidi wa uhariri na mabadiliko ya maandiko unaacha uwezekano mkubwa kwamba Aya hizo zinahifadhi kumbukumbu ya kinabii kuhusu ufunuo wa Mtume wa Makka.

Ila nilikuwa nakuheshim ila naona haustahili.

Mnaamini Torati, Zaburi na Injili.

Quran inasema torat ni kitabu kimoja tu alichoshushiwa Mussa.

How come unasema Isaya ilimuongelea Mohamed. 😎😎😎.

Hebu nipe aya ya Quran inayosema Torat ina vitabu vingap.
 
Astagafurirah.
😁😁😁 kwamba Mohamed alisemwa katiba biblia?.
Hebu jiheshimu bro.

Na hapa umesema Mohamed ni roho 😂😂😂😂
"Hivyo, Roho wa Ukweli ni Mtume Muhammad (SAW), anayehitimisha kiongozi wa kweli wa vizazi vijavyo, si Roho Mtakatifu wa Agano la Kale wala Yesu mwenyewe."

Ndio maana Che mittoga na Infropreneur wanaona hauna akili.

Nionyeshe aya ya quran inayosema Mohamed ni roho.
Pia zingatia nafas ya Jibril.

Nabii Muhammad Katika Unabii wa Biblia – Sehemu ya 1​

Neno “Muhammed” katika Biblia ya Kiebrania ya Agano la Kale:
ה ח ז פ , מ מ ת מ ד י ם; ז ה ד ו ד וֶה ר ע י , ב נ ו ת י ר ו ש ל ם

Tafsiri:
Kinywa chake ni kitamu sana; ndio, yeye ni Muhammed. Huyu ndiye mpenzi wangu, na huyu ni rafiki yangu, enyi binti za Yerusalemu.

1. Song of Songs 5:10
“Mpenzi wangu ni mweupe na mwenye rangi nyekundu, kiongozi kati ya elfu kumi.”

Ufafanuzi wa kihistoria:

  • Muhammed alikuwa kiongozi wa jeshi lenye nguvu ya elfu 10,000 alipokuwa akikimbilia Meka.
  • (Saheeh Bukhari, 59:574: Narrated Ibn ‘Abbas)
  • Nabii aliondoka Medina akienda Meka akiwa na wanajeshi wake elfu 10 katika mwezi wa Ramadan, miaka 8.5 baada ya hijra. Wote walikuwa wakifunga, na walipofika mahali palipoitwa Al-Kadid, waliendeleza kufunga.

2. Song of Songs 5:10 (Tafsiri ya Maelezo ya Mwili)
Mpenzi wake alikuwa na mchanganyiko mzuri wa rangi nyeupe na nyekundu, uso wake ulikuwa wenye mvuto.

  • (Masnad Imam Humbal, no 944)
  • Al-Bara’ alisema: “Rasulullah (s.a.w) alikuwa na urefu wa wastani, mabega mapana, ndevu nene, na mwonekano mwekundu kidogo.”
  • (Sunan e Nasai, vol 3, no 1533)

3. Song of Songs 5:11
Nywele za Muhammad hazikuwa nyembamba sana wala nyembamba sana za kuzungusha, bali zilikunja kidogo na nyeusi kama kunguru.

  • (Shumail e Turmazi, Vol 1, no 1)

4. Uhusiano na Deuteronomy 33:2
Bwana alitoka Si’nai, akainuka kutoka Se’ir, akang’aa kutoka mlima Pa’ran (milima karibu na Meka), na alikuja na maelfu kumi ya watakatifu. Kutoka mkono wake wa kulia, ncha ya moto ilikwenda kwao.

  • Mahesabu ya Paran yanahusiana na Ismaili na Waismaili, na Paran linahusiana na milima karibu na Meka (Hijaz).
  • “Jangwa la Paran” linafafanuliwa kama Hijaz katika tafsiri ya Kiarabu ya Biblia ya Samaria.

Hitimisho:

  • Methali za Wimbo wa Wimbo na sehemu za Biblia zinaashiria sifa na historia ya Nabii Muhammad.
  • Sifa zake – mwili wake, uso, nywele, na uongozi wa jeshi – zinaridhisha ushahidi wa unabii huu wa Biblia kumtaja Muhammad.

Mbona unapakazia , hiyo aya uliyoleta inasema ,

Quran 33:59 in Swahili (Kiswahili):

"Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu

Isome vizuri please , bila jaziba , halafu jaribu kuandika kwa mpangilio , usichanganye changanye kila topic
Ni typing error.

Ila alikusudia kusema aya hii.

Msisitizo weka pale waliposema "ni Halali kwako ww tu na sio kwa waumini wengine".

Quran 33 : 50.
Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehem.
 
Astagafurirah.
😁😁😁 kwamba Mohamed alisemwa katiba biblia?.
Hebu jiheshimu bro.

Na hapa umesema Mohamed ni roho 😂😂😂😂
"Hivyo, Roho wa Ukweli ni Mtume Muhammad (SAW), anayehitimisha kiongozi wa kweli wa vizazi vijavyo, si Roho Mtakatifu wa Agano la Kale wala Yesu mwenyewe."

Ndio maana Che mittoga na Infropreneur wanaona hauna akili.

Nionyeshe aya ya quran inayosema Mohamed ni roho.
Pia zingatia nafas ya Jibril.

Je, Roho Mtakatifu "husema" au "huhamasisha"?​

1. Neno la Kigiriki la "kusikia":

  • Kigiriki: akouo {ak-oo'-o}
  • Maana: kugundua sauti
  • Mfano: limetupa neno "akoustiki", sayansi ya sauti

2. Neno la Kigiriki la "kusema":

  • Kigiriki: laleo {lal-eh'-o}
  • Maana ya jumla: kutoa sauti
  • Maana maalum: kusema
  • Kawaida katika Injili ya Kigiriki, linatumika kwa: kutangaza kwa heshima na uzito (mfano, Mathayo 9:18)

3. Tofauti kati ya “kusema” na “kuwahamasisha”:

  • Kusema = kutolewa kwa sauti, mahubiri ya moja kwa moja
  • Kuhamasisha = kuingiza wazo ndani ya mtu bila kutumia sauti
  • Hitimisho: Paraclete (Roho Mtakatifu) atakuwa anayasikia na anayazungumza, si kuhamasisha

4. Muhamad (a.s) na unabii:

  • Lolote Muhammad alilolisikia kutoka kwa Jibril (a.s)
  • Ndilo alilosema moja kwa moja kwa wafuasi wake

Nabii Muhammad Katika Unabii wa Biblia – Sehemu ya 1​

Neno “Muhammed” katika Biblia ya Kiebrania ya Agano la Kale:
ה ח ז פ , מ מ ת מ ד י ם; ז ה ד ו ד וֶה ר ע י , ב נ ו ת י ר ו ש ל ם

Tafsiri:
Kinywa chake ni kitamu sana; ndio, yeye ni Muhammed. Huyu ndiye mpenzi wangu, na huyu ni rafiki yangu, enyi binti za Yerusalemu.

1. Song of Songs 5:10
“Mpenzi wangu ni mweupe na mwenye rangi nyekundu, kiongozi kati ya elfu kumi.”

Ufafanuzi wa kihistoria:

  • Muhammed alikuwa kiongozi wa jeshi lenye nguvu ya elfu 10,000 alipokuwa akikimbilia Meka.
  • (Saheeh Bukhari, 59:574: Narrated Ibn ‘Abbas)
  • Nabii aliondoka Medina akienda Meka akiwa na wanajeshi wake elfu 10 katika mwezi wa Ramadan, miaka 8.5 baada ya hijra. Wote walikuwa wakifunga, na walipofika mahali palipoitwa Al-Kadid, waliendeleza kufunga.

2. Song of Songs 5:10 (Tafsiri ya Maelezo ya Mwili)
Mpenzi wake alikuwa na mchanganyiko mzuri wa rangi nyeupe na nyekundu, uso wake ulikuwa wenye mvuto.

  • (Masnad Imam Humbal, no 944)
  • Al-Bara’ alisema: “Rasulullah (s.a.w) alikuwa na urefu wa wastani, mabega mapana, ndevu nene, na mwonekano mwekundu kidogo.”
  • (Sunan e Nasai, vol 3, no 1533)

3. Song of Songs 5:11
Nywele za Muhammad hazikuwa nyembamba sana wala nyembamba sana za kuzungusha, bali zilikunja kidogo na nyeusi kama kunguru.

  • (Shumail e Turmazi, Vol 1, no 1)

4. Uhusiano na Deuteronomy 33:2
Bwana alitoka Si’nai, akainuka kutoka Se’ir, akang’aa kutoka mlima Pa’ran (milima karibu na Meka), na alikuja na maelfu kumi ya watakatifu. Kutoka mkono wake wa kulia, ncha ya moto ilikwenda kwao.

  • Mahesabu ya Paran yanahusiana na Ismaili na Waismaili, na Paran linahusiana na milima karibu na Meka (Hijaz).
  • “Jangwa la Paran” linafafanuliwa kama Hijaz katika tafsiri ya Kiarabu ya Biblia ya Samaria.

Hitimisho:

  • Methali za Wimbo wa Wimbo na sehemu za Biblia zinaashiria sifa na historia ya Nabii Muhammad.
  • Sifa zake – mwili wake, uso, nywele, na uongozi wa jeshi – zinaridhisha ushahidi wa unabii huu wa Biblia kumtaja Muhammad.

Najua una source nying sana.
Utujibu na maswal mengne ambayo umeyaruka.

Ni dhahiri umekosa hoja utetez wa yale maswal yetu.

Turud kwenye hili .

Wanasema Mtume aliingia Makka na jeshi la watu elfu 10.
Ndio hoja yako

Kwanza neno linasema hivi.

Wimbo ulio bora. 5 : 10
"Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi"

Usahihisho:
Ni miongoni na sio Kiongozi.
(Neno lako umepotosha, hivyo kila neno utakaloandika nitahakiki mara 2 mbili kuanzia sasa).

Haya tuendelee.

Na
Neno “Muhammed” katika Biblia ya Kiebrania ya Agano la Kale:
ה ח ז פ , מ מ ת מ ד י ם; ז ה ד ו ד וֶה ר ע י , ב נ ו ת י ר ו ש ל ם
Machamadim ni kivumishi (adjective) kinachomaanisha "kitu cha kutamanika," "cha kupendeza," au "chenye thamani." Neno hili linatumika sehemu nyingine nyingi katika Biblia (kama Isaya 64:11 na Maombolezo 1:10)
Na kurejelea vitu vya thamani, siyo jina la mtu.

Na pia Wimbo ulio Bora ni shairi la mapenzi kati ya bwana arusi (Sulemani) na bibi arusi wake (Mshulami). Na Haina uhusiano na utabiri wa Mtume Mohamed.

Suleiman alikuwa ana muandikia mpenz wake.

Au huyo Mshulami ndio Mohamed? Yeye ni mwanamke?.
 
Je, Roho Mtakatifu "husema" au "huhamasisha"?​

1. Neno la Kigiriki la "kusikia":

  • Kigiriki: akouo {ak-oo'-o}
  • Maana: kugundua sauti
  • Mfano: limetupa neno "akoustiki", sayansi ya sauti

2. Neno la Kigiriki la "kusema":

  • Kigiriki: laleo {lal-eh'-o}
  • Maana ya jumla: kutoa sauti
  • Maana maalum: kusema
  • Kawaida katika Injili ya Kigiriki, linatumika kwa: kutangaza kwa heshima na uzito (mfano, Mathayo 9:18)

3. Tofauti kati ya “kusema” na “kuwahamasisha”:

  • Kusema = kutolewa kwa sauti, mahubiri ya moja kwa moja
  • Kuhamasisha = kuingiza wazo ndani ya mtu bila kutumia sauti
  • Hitimisho: Paraclete (Roho Mtakatifu) atakuwa anayasikia na anayazungumza, si kuhamasisha

4. Muhamad (a.s) na unabii:

  • Lolote Muhammad alilolisikia kutoka kwa Jibril (a.s)
  • Ndilo alilosema moja kwa moja kwa wafuasi wake

Sawa . Kwahiyo Roho ni mohamed.
Na je Jibril ndio alimuambia Mohamed visa vya wana wa Israel?.
 
Nabii Muhammad Katika Unabii wa Biblia – Sehemu ya 1​

Neno “Muhammed” katika Biblia ya Kiebrania ya Agano la Kale:
ה ח ז פ , מ מ ת מ ד י ם; ז ה ד ו ד וֶה ר ע י , ב נ ו ת י ר ו ש ל ם

Tafsiri:
Kinywa chake ni kitamu sana; ndio, yeye ni Muhammed. Huyu ndiye mpenzi wangu, na huyu ni rafiki yangu, enyi binti za Yerusalemu.

1. Song of Songs 5:10
“Mpenzi wangu ni mweupe na mwenye rangi nyekundu, kiongozi kati ya elfu kumi.”

Ufafanuzi wa kihistoria:

  • Muhammed alikuwa kiongozi wa jeshi lenye nguvu ya elfu 10,000 alipokuwa akikimbilia Meka.
  • (Saheeh Bukhari, 59:574: Narrated Ibn ‘Abbas)
  • Nabii aliondoka Medina akienda Meka akiwa na wanajeshi wake elfu 10 katika mwezi wa Ramadan, miaka 8.5 baada ya hijra. Wote walikuwa wakifunga, na walipofika mahali palipoitwa Al-Kadid, waliendeleza kufunga.

2. Song of Songs 5:10 (Tafsiri ya Maelezo ya Mwili)
Mpenzi wake alikuwa na mchanganyiko mzuri wa rangi nyeupe na nyekundu, uso wake ulikuwa wenye mvuto.

  • (Masnad Imam Humbal, no 944)
  • Al-Bara’ alisema: “Rasulullah (s.a.w) alikuwa na urefu wa wastani, mabega mapana, ndevu nene, na mwonekano mwekundu kidogo.”
  • (Sunan e Nasai, vol 3, no 1533)

3. Song of Songs 5:11
Nywele za Muhammad hazikuwa nyembamba sana wala nyembamba sana za kuzungusha, bali zilikunja kidogo na nyeusi kama kunguru.

  • (Shumail e Turmazi, Vol 1, no 1)

4. Uhusiano na Deuteronomy 33:2
Bwana alitoka Si’nai, akainuka kutoka Se’ir, akang’aa kutoka mlima Pa’ran (milima karibu na Meka), na alikuja na maelfu kumi ya watakatifu. Kutoka mkono wake wa kulia, ncha ya moto ilikwenda kwao.

  • Mahesabu ya Paran yanahusiana na Ismaili na Waismaili, na Paran linahusiana na milima karibu na Meka (Hijaz).
  • “Jangwa la Paran” linafafanuliwa kama Hijaz katika tafsiri ya Kiarabu ya Biblia ya Samaria.

Hitimisho:

  • Methali za Wimbo wa Wimbo na sehemu za Biblia zinaashiria sifa na historia ya Nabii Muhammad.
  • Sifa zake – mwili wake, uso, nywele, na uongozi wa jeshi – zinaridhisha ushahidi wa unabii huu wa Biblia kumtaja Muhammad.

Kwahiyo Suleiman alikuwa anamuandikia maneno ya kimapenz Mohamed?.

Kwamba mpenz wangu ... 😂😂😂😂 mweupe na rang nyekundu.

Uko sawa kweli bro?.
 
Ni typing error.

Ila alikusudia kusema aya hii.

Msisitizo weka pale waliposema "ni Halali kwako ww tu na sio kwa waumini wengine".

Quran 33 : 50.
Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehem.

Si typing error usijaribu kumsaidia , soma vizuri maelezo aliyoyatoa baada aya aliyoitoa .
 
Kwahiyo Suleiman alikuwa anamuandikia maneno ya kimapenz Mohamed?.

Kwamba mpenz wangu ... 😂😂😂😂 mweupe na rang nyekundu.

Uko sawa kweli bro?.
Unafikiri kupenda kitu ni vipi ?? au unawaza mengine ?? kwani ukiwa unampenda Yesu unakuwa unampenda vipi ?? Umechanganyikiwa ??
 
wapi nilikuandikia kuwa nabii suleiman akimuandikia barua ya mapenzi muhammad ?? Umechanganyikiwa ??

Haujasema.
Ni swali nimeuliza.
Wimbo ulio bora ni barua ya Suleimani kwa mpenz wake.

Basi naomba nikuulize.
Mpenz aliyeandikiwa ile barua ni Mtume Mohamed?.
Kama sio. Kwanini umetoa kunukuu kuwa aliyekuwa anasemwa ni mtume?.
 
Haujasema.
Ila Wimbo ulio bora ni barua ya Suleimani kwa mpemz wake.

Basi naomba nikuulize.
Mpenz aliyeandikiwa ike barua ni Mtume Mohamed?.
Kama sio. Kwanini umetoa kunukuu kuwa aliyekuwa anasemwa ni mtume?.

Unafikiri kupenda kitu ni vipi ?? au unawaza mengine ?? kwani ukiwa unampenda Yesu unakuwa unampenda vipi ?? Au humpendi Yesu ?? Umechanganyikiwa ??
 
Usipanic bro.
Jibu swali

Neno umeleta ww. Wimbo ulio bora.

Sura nzima ile ni Suleiman alikuwa anamuandikia barua mpenz wake. Ambaye anampenda.

Je mpenz wake aliyekuwa anampemda ni mtume Mohamad?.
 
Unaleta mjadala wa kijinga, we ndio unaona haina shaka ila sie wengine tunaona ni upuuzi mtupu
 
Roho wa Kweli ni Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake):

  1. Roho Mtakatifu alidaiwa kuwa tayari yupo pamoja nao, lakini hilo lina mashaka. Mfano: walipotaka kumchagua mwanafunzi wa 12 walipiga kura (bahati nasibu), jambo linaloonyesha kuwa hawakuwa na uongozi wa Roho. Lakini katika kukusanya mali, walidai Roho yupo.
  2. Katika Biblia, Manabii wa kimwili (wenye nyama na damu) mara nyingi waliitwa “Roho”.
  3. Yesu aliwaonya wanafunzi wake juu ya Masihi wa uongo watakaokuja baadaye wakijifanya yeye. Lakini kama wangemjua Yesu kwa sura, umbo na hata harufu, wangedanganywaje? Na Masihi wa uongo hataweza kufanya miujiza kama ya Yesu. Hivyo, unabii huu unawahusu vizazi vya baadaye.
  4. Kwa hiyo, Yesu aliposema kuhusu kuja kwa Roho wa Kweli atakayekuja kufundisha ukweli wote uliosalia, huu ni unabii wa wakati ujao kwa vizazi vya mwisho—unaomlenga Mtume Muhammad.
Wapi kwenye Biblia Muhammad ameitwa Roho wa kweli na wapi kwenye Quran Muhammad ameitwa Roho wa kweli naomba nioneshe!
Yaani Mungu yule yule kule amuite Roho wa Kweli na Baadae kwenye Quran asiitwe hivyo does this makes sense?
 
Sawa . Kwahiyo Roho ni mohamed.
Na je Jibril ndio alimuambia Mohamed visa vya wana wa Israel?.

Kwa mujibu wa Biblia ni ndio.

29:11 – “Yote haya yatakuwa kwenu kama maneno ya kitabu hiki kilichofungwa. Ikiwa mtu mwenye elimu atakipewa akisema, ‘Soma hiki,’ atajibu, ‘Siwezi kusoma, kwa sababu kimefungwa.’”

29:12 – “Kitabu hiki kitapewa kwa mtu asiye na elimu, na mtu atamwambia, ‘Soma hiki,’ naye atajibu, ‘Sina elimu.’”
 
Tunaomba mtiririko wa Kuanzia aya ya 1 yaani 29:1 ili tujue muktadha wa Mwandishi alichokusudia usinyofoe aya moja tu na kuleta tafsiri zako binafsi!
 
Back
Top Bottom