Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

Wacha jaziba mbona ndani ya biblia Eva baada kuumbwa tu , Adam akamchukuwa kama mke wake , hata siku haikufika ?? Soma biblia kijana usihemkwe
𝗪𝗲𝘄𝗲 𝗸𝗶𝗮𝘇𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶. 𝗦𝗶𝗸𝘂𝗹𝗮𝘂𝗺𝘂 𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮𝗽𝗶𝗴𝘄𝗮 𝗸𝗮𝗳𝗮𝗿𝗮 𝗹𝗮 𝘁𝗲𝗻𝗱𝗲 𝘇𝗮 𝗯𝘂𝗿𝗲 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝗮𝗿𝗮𝗯𝘂 𝗔𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗻𝗮 𝗲𝘃𝗮 𝘄𝗮𝗹𝗶𝘂𝗺𝗯𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗼𝘁𝗼?
 
Wewe magimbi , kwani Biblia iliandika Adam au Eva walikuwa watoto au watu wazima ??
 
𝗨𝗸𝗶𝗸𝗶𝗮𝗻𝗴𝗮𝗹𝗶𝗮 𝘃𝗶𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗵𝗮𝗸𝗶𝗻𝗮 𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗶𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗵𝗮𝗮𝗯𝗮𝗻 𝗿𝗼𝗯𝗲𝗿𝘁
 
Hata unajua hata beti moja ya mashairi ya shaaban Robert, sheli sheli wewe ??
 

uongo! kabla ya Muhamad hakukuwa na islam, middle east kulikuwa na Christians, wayahudi na wapagani tu …
 
Kama Adamu alikua Mwislamu alishahidia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”
Na kama hakushaadia anapataje sifa za kua Mwislamu bila Shaada?
adriz Jagina Covax Busu la Kenge
Watasema aliabudu Mungu mmoja maana yake UIslam yaani kumpwekesha Mungu.Jamaa hawajawahi kujibu hilo swali kabisa zaidi wanakimbilia aliabudu Mungu mmoja na hizo sifa za kuwa muiIslam wanazikimbia na hata hiyo ya muiIsam wa kwanza kuwa Muhammad tena kwa kujitangaza mwenyewe.
 
Jibu swali sihitaji link hapa,nauliza kama Adamu,Nuhu,Musa,Yesu waliokuwepo kabla ya Muhammad walishadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?

usigeuke CCM au wewe ni Abdul mtoto wa Samuyu unatoa amri tu 😛 kama hujui english tafuta mkalimani .


Hakuna Mungu wa kuabudiwa ila Allah . ikiwa wakati wa Adam itakuwa walitamka Hakuna Mungu ila Allah na Adam ni mtume wa Allah , wakati wa Noah ita kuwa ni Noah rasulullah na wakati wa Yesu itakuwa yesu rasulullah na wakati wa Muhammad ni Muhammad rasulullah <<<<<< Amani iwaendee wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…