Wapi kwenye Biblia Muhammad ameitwa Roho wa kweli na wapi kwenye Quran Muhammad ameitwa Roho wa kweli naomba nioneshe!
Yaani Mungu yule yule kule amuite Roho wa Kweli na Baadae kwenye Quran asiitwe hivyo does this makes sense?
“Lakini akija, Roho wa Ukweli, atawaongoza katika ukweli wote. Hataongei kwa hiari yake; ataongea tu kile anachosikia, na atawaambia kile kinachokuja baadaye.”
“Roho wa Bwana utakaa juu yake—Roho wa hekima na uelewa, Roho wa ushauri na nguvu, Roho wa maarifa na hofu ya Bwana—”
“Atakuwa roho ya haki kwa aliyeketi kwenye hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wanaorudisha vita lango la milango.”
“[Mtumishi wa Bwana] ‘Huyu ndiye mtumishi wangu, niliyemteua, nimefurahi naye; nitamwekea Roho Wangu, naye ataleta haki kwa mataifa.’
si weka unasubiri kitu ganiTunaomba mtiririko wa Kuanzia aya ya 1 yaani 29:1 ili tujue muktadha wa Mwandishi alichokusudia usinyofoe aya moja tu na kuleta tafsiri zako binafsi!
Isaya 29Kwa mujibu wa Biblia ni ndio.
29:11 – “Yote haya yatakuwa kwenu kama maneno ya kitabu hiki kilichofungwa. Ikiwa mtu mwenye elimu atakipewa akisema, ‘Soma hiki,’ atajibu, ‘Siwezi kusoma, kwa sababu kimefungwa.’”
29:12 – “Kitabu hiki kitapewa kwa mtu asiye na elimu, na mtu atamwambia, ‘Soma hiki,’ naye atajibu, ‘Sina elimu.’”
haya tuambie inamhusu nani ?? Yesu ?? au Paulo ?? umenukuu biblia ipi ?? RSV , NIV au............................................Isaya 29
1 Ole wa Arieli, Arieli, mji ambao Daudi alifanya kituo chake ndani yake; ongezeni mwaka baada ya mwaka; sikukuu na zirudi wakati wake,
2 ndipo nitamwudhi Arieli; kutakuwapo maombolezo na kilio; naye atakuwa kwangu kama Arieli.
3 Nami nitapiga kimo juu yako pande zote, nitakuhusuru kwa ngome, nami nitajenga maboma yakuzunguke.
4 Nawe utashushwa, nawe utanena toka chini ya nchi, na maneno yako yatakuwa chini toka mavumbini; na sauti yako itakuwa kama sauti ya mtu mwenye pepo, ikitoka katika nchi, na matamko yako yatanong'ona toka mavumbini.
5 Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi membamba, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafula.
6 Naye atajiliwa na Bwana wa majeshi kwa ngurumo, na tetemeko la nchi, na sauti kuu, na chamchela, na tufani, na mwali wa moto uteketezao.
7 Na wingi wa mataifa wapiganao na Arieli, wote wapiganao naye na ngome yake, nao wamwudhio, watakuwa kama ndoto, na maono ya usiku.
8 Tena itakuwa kama mtu mwenye njaa aotapo, kumbe, anakula; lakini aamkapo, nafsi yake haina kitu; na kama mtu mwenye kiu aotapo, kumbe, anakunywa; lakini aamkapo, kumbe, anazimia, na nafsi yake inatamani; hivyo ndivyo utakavyokuwa huo wingi wa mataifa waletao vita juu ya mlima Sayuni.
9 Ngojeni mstaajabu; fanyeni anasa zenu na kuwa vipofu; wamelewa wala si kwa mvinyo; wamewaya-waya wala si kwa sababu ya kileo.
10 Kwa maana Bwana amewamwagieni roho ya usingizi, amefumba macho yenu, yaani, manabii; amefunika vichwa vyenu, yaani, waonaji.
11 Na maono yote yamekuwa kwenu kama maneno ya chuo kilichotiwa muhuri, ambacho watu humpa mtu aliye na maarifa, wakisema, Tafadhali ukisome hiki; akasema, Siwezi, kwa kuwa kimetiwa muhuri;
12 kisha chuo hiki apewa mtu asiye na maarifa, akaambiwa, Kisome hicho tafadhali, akasema, Sina maarifa mimi.
13 Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;
14 kwa sababu hiyo mimi nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, kazi ya ajabu na mwujiza; na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa.
15 Ole wao wanaojitahidi kumficha Bwana mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?
16 Ninyi mnapindua mambo; Je! Mfinyanzi ahesabiwe kuwa kama udongo; kitu kilichofinyangwa kimnene yeye aliyekifinyanga, Hakunifinyanga huyu; au kitu kilichoumbwa kimnene yeye aliyekiumba, Yeye hana ufahamu?
17 Je! Si muda mdogo uliobaki, na Lebanoni itageuzwa kuwa shamba lizaalo sana, na lile shamba lizaalo sana litahesabiwa kuwa msitu?
18 Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho chuo, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.
19 Wanyenyekevu nao wataongeza furaha yao katika Bwana, na maskini katika wanadamu watafurahi katika Mtakatifu wa Israeli.
20 Kwa maana mwenye kutisha ameangamizwa, naye mwenye dharau amekoma, nao wote watazamiao uovu wamekatiliwa mbali;
21 hao wamfanyao mtu kuwa amekosa katika neno, na kumtegea mtego yeye aonyaye langoni, na kumgeuza mwenye haki kwa kitu kisichofaa.
22 Basi, Bwana aliyemkomboa Ibrahimu asema hivi, katika habari za nyumba ya Yakobo; Yakobo hatatahayarika sasa, wala uso wake hautabadilika rangi yake.
23 Bali atakapowaona watoto wake, walio kazi ya mikono yangu, katikati yake, wao watalitakasa jina langu; naam, watamtakasa Mtakatifu wa Yakobo, nao watamcha Mungu wa Israeli.
24 Hao nao wakosao rohoni mwao watapata kufahamu, na hao wanung'unikao watajifunza elimu.
Aya ishawekwa naomba nioneshe katika unabii wa Isaya juu ya mji wa Arieli una mahusiano gani na Muhammad?si weka unasubiri kitu gani
Anza aya ya kwanza hapo ni unabii juu ya mji gani vile au hujui kusoma?haya tuambie inamhusu nani ?? Yesu ?? au Paulo ??
Uislamu ni dini ambayo Allaah ameichagua kama mfumo sahihi wa maisha kwa Wanadamu wote na tokea Nabii wa kwanza Baba yetu Aadam (Peace be upon Him ) alikuwa Muislamu na Manabii wote Musa , Yesu , Nuhu , Ibrahimu , Yakubu nk (Amani iwe juu yao wote ) dini yao ilikuwa ni Uislamu na walilingania katika Uislamu .
Sheria tu zilitofautiana kutoka na zama lakini misingi mikuu ile ile ambapo msingi mkuu unawaunganisha wote kuwafanya wawe Waislamu ni Tawheed maana yake kumpwekesha Mola muumba pekee kwa kumuabudia yeye tu bila kumshirikisha . Ndio maana hakuna Nabii akiyekuja kudai kuwa yeye ni Mungu au kiabudiwe kingine kinyume na Mungu muumba (Allaah)
Manabii wote walikuja kukingania watu waachane na maovu , wafanye mema kwa kumtii mola wao huo ndio Uislamu . Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allaah mola muumba kwa kumuabudu yeye pekee bila kumshirikisha kufuata maarisho yake na kuacha makatazo kama jinsi alivyoolekeza kupitia Manabii na wajumbe wake.
Ndio maana tunasema Uislamu ukikuwepo tokea mwanzo na Manabii wote walikuwa Waislamu sababu walikuwa kwenye misingi hiyo , tofauti ipo kwenye baadhi ya Sheria tu sawa na Leo I phone zote ni I phone zina sifa za kipekee kuitwa I phone pamoja na kuwa na matoleo tofauti kutokana na maboresho ila sifa za kipee zinazofanya kuwa I phone lazima zitabaki kama msingi
Nimekuambia nita proof read kila neno utakaloleta hapa.Kwa mujibu wa Biblia ni ndio.
29:11 – “Yote haya yatakuwa kwenu kama maneno ya kitabu hiki kilichofungwa. Ikiwa mtu mwenye elimu atakipewa akisema, ‘Soma hiki,’ atajibu, ‘Siwezi kusoma, kwa sababu kimefungwa.’”
29:12 – “Kitabu hiki kitapewa kwa mtu asiye na elimu, na mtu atamwambia, ‘Soma hiki,’ naye atajibu, ‘Sina elimu.’”
Aya ishawekwa naomba nioneshe katika unabii wa Isaya juu ya mji wa Arieli una mahusiano gani na Muhammad?
😁😁😁
haya tuambie inamhusu nani ?? Yesu ?? au Paulo ?? umenukuu biblia ipi ?? RSV , NIV au............................................
Nimekuambia nita proof read kila neno utakaloleta hapa.
Hebu karudie tena Kewa source yako. Maana maneno hakisi ni haya
Isaya 29 : 11
"Basi, kwenu nyinyi maono yote haya ni kama ujumbe ulioandikwa katika kitabu kilichofungwa kwa mhuri. Ukimpelekea mtu yeyote ajuaye kusoma, ukamwambia, “Hebu nisomee kitabu hiki,” atasema, “Siwezi kukisoma kwani kimefungwa kwa mhuri.”
Na isaya 29 : 12
"Kisha ukimpa kitabu hicho mtu asiyejua kusoma ukimwambia, 'Hebu nisomee hiki,' naye atajibu, 'Mimi sijui kusoma.'"
Ni tofauti kabisa na ulivyosema ww.
Jagina naona kama unatupotezea muda.
Maswal yenye mantiki hujibu.
Unaruka ruka kutafuta kusema Mohamed alisemwa kwenye Biblia.
Hata waislam wenzako watakuwa wanakushangaa muda huu.
Hebu jikite kwenye hoja ambazo unaona kabisa majibu yake yana make sense.
Otherwise watu watahisi kweli hauna akili.
Kuna maswal meng juu haujajibu.
Hili pia umelianzisha mwenyewe na hauwez kulitetea.
Linaungana na yale mwengne oia ambayo haujayajibu
Hii topic ni ndefu sana kama unataka nitakuelezea kidogo kidogo inaweza kuchukuwa siku mbili au tatu , nitakuonyesha namna bibklia ilivyochakachuliwa kwa ushahidi
Umeanza hutaki ukweli lakini mimi nitaweka ushahidi wote potelea mbali ukikasirika uite utakavyo, kukubali na kukataa ni uamuzi wakoHizo ni porojo kama na hadith za wanazuon waliokuwa wanatafuta majina.
Nadhan tukienda huko siku 3 hazitosh.
Kuna hadith za kipumbavu sana za Kiislam ambazo ziko kwenye Sahih al-Bukhari,Sahih Muslim, Sunan Abu Dawood, Sunan al-Tirmidhi , Sunan al-Nasai na Sunan Ibn Majah hatujazigusa bado.
Ukigusa huko na sisi tutagusa huku.
Uthibitisho kwamba wewe una hiyo akili.wewe umesema sawa huna akili unataka uthibitisho wa kitu gani
Nakuanziia usije ukaniambia unanichosha wala usiniingizie mambo yasiyo kuwemo kwenye maandishi yangu mpaka nimalize hoja
Uaminifu wa Biblia: Mambo Muhimu ya Kuanza Nayo
1. Uhariri wa Biblia
- Biblia, katika sura tuliyo nayo leo, ni matokeo ya mabadiliko ya mara kwa mara tangu hatua za awali za kuandikwa kwake hadi kuingizwa kwenye kanoni rasmi.
- Hii imethibitishwa na watafiti wa biblia, wakiwemo watafiti wa msimamo thabiti (conservatives).
2. Tatizo la mfuatano wa kihistoria
- Moja ya matatizo makubwa ni mfuatano wa nasaba na matukio yaliyoelezwa na waandishi wa Agano la Kale.
- Mfano: nambari katika mfuatano wa nasaba wa Mwanzo 5 na 11 zilibadilishwa kwa makusudi ili kuongeza tarehe na kusababisha matatizo ya mfuatano wa kihistoria.
- Chanzo: L. Cosner & R. Carter, Textual Traditions and Biblical Chronology, JC 29/2 (2015), uk. 99-105.
3. Hakuna mfuatano wa kihistoria wa simulizi
- Utafiti wa kisasa wa biblia unaoshughulika na ukaguzi wa maandiko (textual criticism) unaonyesha:
- Hakuna mfuatano wa kihistoria wa simulizi za biblia.
- Sehemu fulani za maandiko zimepitia mpangilio upya wa kina na wa kina wa waandishi.
4. Mapengo katika mlolongo wa simulizi
- Katika korasi ya Deutero-Isaiah, watafiti wameliona mapengo katika mlolongo wa simulizi, jambo linalofanya uhusiano kati ya maandiko kuwa usio na mantiki.
- Chanzo: Continuity and Discontinuity: Chronological and Thematic Development in Isaiah 40-66, wahariri Lena-Sofia Tiemeyer & Hans M. Barstad, Göttingen: Vandenhoeck & Ruprecht, 2014.
5. Ushahidi wa kisayansi
- Urekebishaji huu wa mfuatano wa kihistoria si jambo la ajabu.
- Ushahidi wake umethibitishwa kwa mbinu za kisayansi, mfano Arkiolojia.
6. Mgawanyo wa mabadiliko ya kuhariri
- Kulingana na David A. Glatt, mabadiliko haya ya kuhariri simulizi ya Biblia yanagawanywa katika vikundi viwili:
- Maelezo ya tukio sawa kutoka kabla na baada ya tukio kuhamishwa.
- Taarifa za maandiko au kihistoria zinazoonyesha muktadha wa awali wa tukio, ambazo mtu aliyehusika kuhamisha tukio lazima awe amezijua.
Sasa wewe si unayo.Nimthibitishie asiye na akili 😛 😛 😛 😛 😛
Inaendela,Hizo ni porojo kama na hadith za wanazuon waliokuwa wanatafuta majina.
Nadhan tukienda huko siku 3 hazitosh.
Kuna hadith za kipumbavu sana za Kiislam ambazo ziko kwenye Sahih al-Bukhari,Sahih Muslim, Sunan Abu Dawood, Sunan al-Tirmidhi , Sunan al-Nasai na Sunan Ibn Majah hatujazigusa bado.
Ukigusa huko na sisi tutagusa huku.