Quran yachomwa moto Sweden

Quran yachomwa moto Sweden

Tumelaani Kitendo Hicho Baadaye Tutakwenda Mahakamani
 
Allah hawezi kujipigania ?

Why asimgeuze panya huyo mchoma quran

Au ampige makofi kutoka mbinguni
Yehova hawezi kujihubiria!!?..why mnapayuka hadharani Domo Pana na mijasho badala yeye mwenyewe ahubiri huko aliko tumsikie!!
 
Multicultural nations don't exist and if they exist they are doomed to fail
 
"Bula" lugha gani umeiandika hapo ?
Kwa sababu Allah hajanisaidia kuandika.

Kwa sababu hayupo.

Angekuwepo nisingekosea.

Kama unabisha na kusema Allah yupo, thibitisha yupo.
 
Yehova hawezi kujihubiria!!?..why mnapayuka hadharani Domo Pana na mijasho badala yeye mwenyewe ahubiri huko aliko tumsikie!!
Hakuna Allah wala Jehovah.

Wote hawa ni hadithi tupu za watu tu.

Kama unabisha, thibitisha Mungu wako yupo.
 
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.

Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden

Mwenzao kachoma koran wao wanachoma bendera
 
Back
Top Bottom