Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Season 2 ishatoka?katizame chuma kinaitwa Gangsters of London hutojuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Season 2 ishatoka?katizame chuma kinaitwa Gangsters of London hutojuta
Ya kiduanzi sana mwenyewe niliipiga chiniNikiachana nayo baada ya kuona haieleweki
Mi siku hizi naangalia zenye uhalisia, ila uongo uongo kama treason, jack ryan.
Ha ha hiyo Gangs of London hicho ndo kilifanya niipige chini, yan kati kati ya jiji yanatokea mauaji makubwa tena holela holela, alaf hakuna kinachoendelea habar imeishia hapo [emoji3]Mi siku hizi naangalia zenye uhalisia, ila uongo uongo kama treason, jack ryan.
Hizo natemana nazo
Na ganglands etc najua ni uongo maana UK sio rahisi bunduki kulia vile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamii forum hapa ukiona watu wanasifia series,nenda kaitafute uangalie sasa...unaweza hisi labda ni watu waliochanganyikiwa ndio walikuwa wanachangia.
Ha ha hiyo Gangs of London hicho ndo kilifanya niipige chini, yan kati kati ya jiji yanatokea mauaji makubwa tena holela holela, alaf hakuna kinachoendelea habar imeishia hapo [emoji3]
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ni series ya kawaida Sana..niliishia season 2Si kweli wala haina Ubora huo unaousema wewe. Nimeishia S2 episodes za mwanzoni.
Afadhali uangalie Alice in Borderlands kuliko hii series.
Ata iyo pia tulia utajione nini maana ya madawa ya kulevya Ila ukitaka mtelezo unatoka kapaNi series ya kawaida Sana..niliishia season 2
Angalia narcos au narcos Mexico ujionee..Nini maana ya madawa ya kulevya
Bonge moja ipo kwenye mizani ya prison B pale mwisho kifo cha Teresa alafu baadae kumbe ni mzima da wameua Sana hiiKatika series nzuri na zenye mwisho mzuri Queen of the South ni moja wapo.
Sio zile series unakuta ni kali sanaa ila ikiisha inakuacha kwenye cliffhanger mfano the last ship.
Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
Sana yaani chief... Iliisha nikiwa nimeridhika kabisa na vile wameimaliza.Bonge moja ipo kwenye mizani ya prison B pale mwisho kifo cha Teresa alafu baadae kumbe ni mzima da wameua Sana hii
muda mrefu tuSeason 2 ishatoka?
Visu na mapanga yanatembea mule si mchezokatizame chuma kinaitwa Gangsters of London hutojuta
Visu na mapanga yanatembea mule si mchezo
Mle ndani kuna mTanzania mwenzetumuda mrefu tu