Duuuh huyu dada alivaa uhusika kweli
Mwanaume alikuwa mbea yule warumi kasingiziwa
ooooooh my beautiful lady....I will cry for you till my last beath!
Ahahahhaj mimi mwenyewe nilitaka kusema hvyo hvyo
Hahaha kwel tamthilia zimewaharibu mpk mmekua na maneno ya uongo kama ya tamthilia, hahah
Jamani nisije nikachanganya madesa...maana enzi zile fulu kuangalia matamthilia.Second chance ni ile ya kina mamushka,Pacco na preta
Jamani nisije nikachanganya madesa...maana enzi zile fulu kuangalia matamthilia.Second chance ni ile ya kina mamushka,Pacco na preta
Binamu ngoja nikufate pm
Nashangaa wanavyosema eti wabongo tu ndo wambea, yule nae mbongo? Ebu watuache mie na Dinazarde wangu tuendeleze lisebene
Mbona hujaja?
Nimekutako jam balaa mi nipo narudi mwz maana niliogopa ningekutafuta na nilivyochoka ungecheka mpaka kuzimiaa na jf usingeia wiki nzima
Ungekuja bhana, juzi nilionana na binamu yangu mwingine wa humu, tukapiga umbea mpaka bhasi
Ungecheka mno mpaka nikajiona choo cha cha stendiii ninavyokujuaaaa heeeeeeeeeeee
Apa nacheka mpaka bhasi apa, una vituko binamu, kwan ukoje sasa ivi
Binam nina nundu usoni si nikajigonga kwenye lifti mwenzio pale Rombo uso umejaa kama puto,macho sasa yameingia ndani yamekua kama ya ofisa nkai wa kwenye arrow ya kikorea,nikasema warumi atavunjika mbavu huyu na alivyo mbea naweza pigwa picha kisirisirii ukanitoe kwa shigongo