R.I.P Isabel Arroyo (Lorena Rojas) wa Second Chance

ooooooh my beautiful lady....I will cry for you till my last beath!
 
Jamani nisije nikachanganya madesa...maana enzi zile fulu kuangalia matamthilia.Second chance ni ile ya kina mamushka,Pacco na preta
 
Ile ya mamushka nilikua nacheka balaa wale watoto wake lo,halaf yule aliesingizia kazaa na apolo anaitwq babra alikua ananiua vituko vyake wale wanaigiza jamaniii tuachenj utanii
 
walter na ule mshingo wake sasa anavyogeuza geuza shingo lake na ile mimacho
ila umbea pale phd

Nashangaa wanavyosema eti wabongo tu ndo wambea, yule nae mbongo? Ebu watuache mie na Dinazarde wangu tuendeleze lisebene
 
Last edited by a moderator:

Wale ni wambea first class binamu weeeeeeeeeeeee hata robo hatuwafikii ushaiona storm over paradise ya Nicoulas
 
Last edited by a moderator:
Apa nacheka mpaka bhasi apa, una vituko binamu, kwan ukoje sasa ivi

Binam nina nundu usoni si nikajigonga kwenye lifti mwenzio pale Rombo uso umejaa kama puto,macho sasa yameingia ndani yamekua kama ya ofisa nkai wa kwenye arrow ya kikorea,nikasema warumi atavunjika mbavu huyu na alivyo mbea naweza pigwa picha kisirisirii ukanitoe kwa shigongo
 
Aa aaaah, Sasa ulikuwa unafanya nn? Umezid umbea binam yangu, na umeongozana na msukuma?
 
Back
Top Bottom