Aa aaaah, Sasa ulikuwa unafanya nn? Umezid umbea binam yangu, na umeongozana na msukuma?
Ile ni ya kina cantalisia, Pedro Jose, Salvador na mzee Walter!
Eee nimemuaibishajeee akasema itabidi niwe nasafiri nae nisiwe nashangaa,basi tukaenda kariakoo nikavaa zile taiti zenye mfuko zimeandikwa utajiju nikaficha simu yangu na tablet na mkoba nikaubana kwapanii yaan nilikua nimejiandaa si utaniii basi ungechekajeee weweee
alidanja on Feb 16th..aged 44.. but she even looked younger than Wema Sepetu..
AHAhaahah, yani binamu umenichekeshaje?? Khaaa
Jamani nisije nikachanganya madesa...maana enzi zile fulu kuangalia matamthilia.Second chance ni ile ya kina mamushka,Pacco na preta
Daaa, zile swagg zake za masketi charanga, herein ndefu na nywele nyingi ilinivutia sanaa.RIP
Sasa huko Isenjele ni Tanzania?usikute unatutajia maeneo ya sudan ya kusiniWajomba/shangazi zenu wa kule Isenjele wakifariki muwe mnakuja kututangazia pia